Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

Sio rahisi kama anavyodhania. Watu tushajaribu sana. Tumeamua kuishi nayo tu.

Unakuta tupo hadi page ya 52 tunatafuta a perfect video. Yeye kizembe zembe tu anafikiri hawa wanaomshauri ndio hawaangalii au hawapigi?

Bila kuamua kutoka moyoni hawezi.
"Bila kuamua kutoka moyoni hauwezi"


Point hii ya kibabe sana na naenda kuifanyia kazi
 
Sio rahisi kama anavyodhania. Watu tushajaribu sana. Tumeamua kuishi nayo tu.

Unakuta tupo hadi page ya 52 tunatafuta a perfect video. Yeye kizembe zembe tu anafikiri hawa wanaomshauri ndio hawaangalii au hawapigi?

Bila kuamua kutoka moyoni hawezi.
Niliacha mwenyewe
 
At first addiction is maintained by pleasure, but intensity of this pleasure, gradually diminishes, and addiction is then maintained by avoidance of pain.

Ikiwa inamaana kwamba unapoanza inakuwa kama starehe tu, lakini inaenda ikipungua na sasa unakuwa unafanya kama sehemu ya kuepuka maumivu, mwanzoni ulikuwa ukiangalia picha moja tu unaridhika lakini siku hizi bila ya kuangalia video 20 haujatosheka. Na usipo angalia hata usingizi unaweza usipate, unakuwa kama haujisomi,

Usiseme kwanzia leo naacha, alafu basi, akili yako inajua huyu kima ananidangaya kwanza ameshajaribu mara nyingi ameshindwa.

Nini cha kufanya
Mental toughness
Futa video zote kwenye simu/ au pc
Clear history kwenye browser.
Andika sehemu hivi.
Kuanzia Leo tarehe 03/03/21 na kwa maisha yangu yote yaliyobaki
Hata nisikie hamu ya aina gani
Hata nikae peke yangu ndani kwa miaka mingapi
Hata niwe na stress Hadi kichwa kipasuke
Hata nikose usingizi mwezi mzima

Sitokaa nipigie tena punyeto wala kuangalia picha za ngono.


Utashangaa unapata hobi nyingine kabisa
Kama kuangalia siries, video za youtube za vichekesho au maswala ya anga za mbaali, au hata kucheza game au kusoma vitabu.
 
"Nilijenga uvumilivu ndani yangu".

Narudia kila saa kusoma comment yako. Shukran sana.
 
Usiache kufanya jambo likupalo faraja
Hii kitu ilinitesa sana, ila nimeacha abaada ya kuelekezwa na prof mmoja wa saikolojia, ngoja nikupe maujanja ya kuacha hii kitu, fanya yafuatayo....

Weka bajeti ya kununua gazeti kila siku, kama we mpenzi wa michezo nunua la michezo au lolote lenye habari upendazo. Kazi ya hilo gazeti ni kusoma kianzia mwanzo hadi mwisho pale tu unapokua huna shunghuli ya kufanya au hauko bize hii itaifanya akili yako kuzoea kujishughulisha na jambo flani pale tu unapokuwa huna cha kufanya tabia hii itaizoesha akili na utajikuta wewe ni mpenzi mkubwa wa kujosomea badala ya kupiga nyeto..... fanya zaoez hili kwa muda wa mwaka mmoja utarudi kuniambia utasahau kabisa hiyo kitu. Nb. Gazeti ninlazima kununua kila siku hapo sasa kuna ishu ya bajeti. But kama una nia ya kuacha utafanya tu 500 kwa gazeti moja sio ishu mkuu. Jaribu then itanitafuta kiniambia
 
MKUU YAANI UNATAKA USALITI CHAMA LETU PENDWA .......

FIKILIA VZR .....TUTAKUTAFUTA
 
Njia sahihi ya kukufanya uache hiyo nakushauri kisaikolojia

Kila ukianza kujichua muweke kwenye fikra Mama yako mzazi au dada yako Mudi utakata , kila ukitaka kugusa vuta hisia za mama basii hutarudia tena
Sio ndo atawai kupizz
 
kuangalia sio tatizo sana tatizo sana ni kupiga nyeto

ukiweza kuacha moja kati ya hayo basi utaweza kuacha lingine kirahisi
 
Nikwambie kitu mdogo angu....Umri na majukumu yatakufanya uache automatically......save the day.
 
Back
Top Bottom