Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

Pole sana, jitahidi usikae mwenyewe muda mwingi, na hata ukikaa mwenyewe basi jiingize kwenye programs zingine hata kusoma novel, kufatilia habari mitandaoni, angalia mpira, au kutana na marafiki mbadikishane mawazo,

Ni lazima uweze kucontrol hisia zako na sio hisia zikuendeshe, usipoweza kufanya hilo jambo utakua mwanaume wa hovyo sana
"Ni lazima uweze ku control hisia zako usipoweza kufanya hivyo utakuwa mwanaume wa hovyo sana"

Asante sana hapa umezungumza jambo moja la ukweli na la maana sana hiyo quote imeamsha ari kubwa ya kutaka mabadiliko moyoni kwangu.

Be blessed [emoji120]
 
Jamani huyu mtu ni mgonjwa kama wagonjwa wengine anaomba ushauri mnaleta kejeli si sawa kabisa ,kama huna ushauri pita tu, waje wataalamu wa saikolojia watatoa suluhisho, wewe kama mzima shukuru Mungu,ila mimi naona hilo ni tatizo tena kubwa anahitaji msaada wa haraka sana.Hizo kejeli nendeni instagram hili jukwaa sio mahala pake.
 
Kama wewe ndiyo ungepewa ushauri huu... Ungejihisi vipi? Mtoa Mada kaweka jambo lake hapa ebu tusirichukulie mzaha.... Yeye kathubutu kusema. Jibu lako lingesaidia wengi watakaosoma ulichoandika ambao hawajataka kukili suala hili...
Bora usiandike chochote kama uwezo wa kutoa msaada wa kifikra hauna
kweli usemayo lakin hyo njia niliyompa ndo sahihi kwake
 
Aliekwambia kuangalia hzo mambo kuna ubaya nan..watu tunaangalia toka tuko primary had leo...hakuna mwanaume asieangalia hzo mambo kiongoz...ni vile ujicontrol usiwe regular.....

Yaan..punguza routine ya kuchek..labda kwa mwez mara moja si mbaya...

Tatzo lenu mnaskiliza sana maneno ya watu[emoji16]
 
Tatizo kwangu naangalia kila siku na kwa siku naweza kupiga nyeto zaidi ya mara mbili [emoji24]
 
1. Waza kuoa mke wa pili na watatu na wanne
2. Jilipue mwambie Baba/mama/ unapenda hako kamchezo
3. Waza ni wadada wangapi wanapenda uwape mimba na uwe serious kujenga familia ... wewee unaendekeza ayo mambo ili hali umemaliza chuo
4. Ivi umesoma chuo gani .... wakakulea ivoooo
5. Kuna jambo hujasemaaaaa liseme tukusaidieee
 
Wazo la kuoa lipo jikoni.
Siwezi waambia wazazi wangu vilevile siwezi kutaja jina la chuo nilichokisoma kwa sababu ya usalama wangu.

Jambo gani unahisi sijaliweka wazi?
 
Wengi wamemshauri jamaa awe bize lakini akiwa bize sawa akipata muda tu lazma atafanya tena na tena. Na nfo atakua muhanga zaid kwa kujifariji hafanyi mara kwa mara.

Iko ivi we jiamini kua unaweza kuacha anza kwa kupunguza rate ya kufanya kama wanavofanya wavuta sigara kama unafanya kila siku jibane ujitahidi kuruka siku kadhaa.

Endelea kuruka siku 2 2 hadi utajikuta unafanya mala moja kwa wiki mwisho utaona haina maana tena.
Nisikufiche ndgu nilikua muhanga pia ila njia iyo imenisaidia lakini mimi nilikua na manzi pia ko utamu niliokua naupata kwa bibie ni mala 2 zaidi ya nyeto.
Nilijenga uvumilivu ndani yangu mpaka nikaacha kabisaa na wala sitamani na izo video naona ni ushubwada na kujipotezea muda tu na kibaya zaidi ni kujiumiza kihisia na kujiletea majanga kiafya.
 
Back
Top Bottom