Amalrik TZ
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 341
- 303
[emoji3064]Huu ni ushauri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3064]Huu ni ushauri?
Utayari wako, what are you doing lately? Mwanafunzi, mwajiriwa, umejiajiri au upo idol? Are you so lonely?How I can change that emotions?
Mhhhh[emoji1787][emoji1787] Umeanza kuangalia Mkubwa angalia kila siku mpk zikukinai itajikuta umeacha automatic
Mitano tena [emoji23][emoji23][emoji23]Kwani ilani ya chama inathemaje?
Be blessed up [emoji120]Kama wewe ndiyo ungepewa ushauri huu. Ungejihisi vipi? Mtoa Mada kaweka jambo lake hapa ebu tusirichukulie mzaha. Yeye kathubutu kusema. Jibu lako lingesaidia wengi watakaosoma ulichoandika ambao hawajataka kukili suala hili.
Bora usiandike chochote kama uwezo wa kutoa msaada wa kifikra hauna
😂 😂 😂Mitano tena [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio nini sasa unasema?ukiacha unabaka, nondo 30
[emoji120]Umeelewa? Soma paragraph yangu ya mwisho, nimemaanisha ashughulishe ubongo wake na mambo mengine badala ya kuwaza ngono
Ndo kamaliza kitabu hapoHuu ni ushauri?
Bado natafuta kazi na muda mwingi sina ratba ya kufanya jambo flani hivyo naweza amka asubuhi nikiwa sina plan ya jambo la kufanya.Utayari wako, what are you doing lately? Mwanafunzi, mwajiriwa, umejiajiri au upo idol? Are you so lonely?
Ukiwa na muda wa ziada badala ya kuangalia ngono jaribu kufanya vitu vingine kama kucheza mpira, mazoezi, kuangalia mpira, movie, kutana na marafiki ubadilishane nao mawazo, na mambo kama hayo
Hapana hili halinipi faraja kwani kila baada ya kufanya jambo hili moyo wangu hujawa na kujilaumu na pia kitendo hiki kinapunguza ujasiri wangu.Usiache kufanya jambo likupalo faraja
Mwenzenu yamenifika shingoni nawaombeni ni wakimbie.Kwanini unataka kuhama Chama Chetu bila permission yoyote.
Bado tunakuhitaji mjumbe wetu wa CHAPUTA
Pole sana, jitahidi usikae mwenyewe muda mwingi, na hata ukikaa mwenyewe basi jiingize kwenye programs zingine hata kusoma novel, kufatilia habari mitandaoni, angalia mpira, au kutana na marafiki mbadikishane mawazo.Bdo natafuta kazi na muda mwingi sina ratba ya kufanya jambo flani hivyo naweza amka asubuhi nikiwa sina plan ya jambo la kufanya.
Nashukuru sana kwa ushauri wako.
Hakuna jipya lakini ttzo ni hisia ambazo zimejenga ngome imara ndani yangu. Hizo ndizo zinazonisumbua.Ndio basi tenaaaa [emoji3][emoji3]
Jiulize kuna jipya lipi hujaliona kwenye hizo video ,kama ni style ni zilizile kwanini urudie kuangalia
Na pia jipe shughuli za kufanya au kujifunza ili usiwe loosely