Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

Ukitaka kuacha porno anza kufanya mapenzi.

Hakuna suluhisho.

Utafanya ila utapunguza. Kuna kipindi utaacha kabisa.
 
Hiki ni kisa cha kweli cha Bwana Alex.

"Mimi ni kijana ambaye nina miaka 26. Nimemaliza chuo miaka miwili iliyopita. Nilianza kuangalia picha na video za xxx tangu nipo sekondari.

Ndugu zangu tatizo moja linalonisumbua ni kuangalia video za xxx na mbaya zaidi linachangia tatizo lingine la kupiga punyeto, kwani kama nipo pekee yangu baada ya kuangalia xxx lazima nipige punyeto.

Nimejaribu sana kuacha na kupata suluhu ya kudumu lakini nimeshindwa.

Naweza nikaacha kuangalia zaidi ya wiki moja lakini baada ya hapo najikuta tena naangalia.

Naombeni msaada wenu wa kimazo wa namna ya kuacha [emoji120][emoji120][emoji120]."
 
Kama huwezi kupunguza muda wa kukaa mwenyewe basi itakuwa ngumu kuacha.

Sema jaribu kukaa siku nzima huku ukitengeneza picha ya kuchukia jambo hilo kwa kulifananisha na jambo jingine baya, taratibu taratibu utaanza kuacha.

Kuacha nyeto na porn ni mtihani mkubwa but inawezekana, haya mambo yana effects sana (gari linakuwa haliwaki automatically)
 
Kama wewe ndiyo ungepewa ushauri huu... Ungejihisi vipi? Mtoa Mada kaweka jambo lake hapa ebu tusirichukulie mzaha. Yeye kathubutu kusema. Jibu lako lingesaidia wengi watakaosoma ulichoandika ambao hawajataka kukili suala hili.

Bora usiandike chochote kama uwezo wa kutoa msaada wa kifikra hauna.

🤣🤣 Umeanza kuangalia Mkubwa angalia kila siku mpk zikukinai itajikuta umeacha automatic
 
Punguza kukaa mwenyewe kwanza, tafuta shughuli zikuweke bize halafu tubu kwa imani yako roho chafu zikutoke. Andika tabia ambazo hazina afya katika karatasi halafu bandika chumbani kwako kila siku asubuhi zisome hizo tabia utaziacha na kuzisahau muhimu uwe umedhamiria kutoka ndani mwako.

Hakuna malaika atashuka kutoka mbinguni kuja kuwaambia wanaadam fanyeni hivi maarifa yote Mungu wa mbinguni ameshawapa hivyo ni juu yenu muhakikishe mnazifuata kanuni zake tofauti na hapo ni maangamizi katika kizazi hadi kizazi.
 
Kama wewe ndiyo ungepewa ushauri huu. Ungejihisi vipi? Mtoa Mada kaweka jambo lake hapa ebu tusirichukulie mzaha. Yeye kathubutu kusema. Jibu lako lingesaidia wengi watakaosoma ulichoandika ambao hawajataka kukili suala hili.
Bora usiandike chochote kama uwezo wa kutoa msaada wa kifikra hauna
Exactly!
✌️
 
Back
Top Bottom