padlock
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 329
- 505
POLE SANA ASEE, NUSU SHARI KUWA NA MTU WAKO SAHIHI KULIKO SHARI KAMILI KUENDEKEZA HIZO PICHA PICHA, MAANA ZINAATHIRI KISAIKOLOJIA SANA, U CAN NEVER SEE THE IMPACTS TODAY BUT LATER U SHALL SEE THE CONSEQUENCES. KAMA HUTAKI KUWA NA MTU BASI JIKITE KIROHO ZAIDI, ILA USIWAZE KUOLEWA MAANA SIDHANI KAMA UTAKBALI KULALA NA MUMEO SIKU ZOTE, AKHERI UWE SISTER TU.Wenye kunihukumu poa tu
Kila mwezi nikiwa heat huwa nawashwa kucheki ngono mtandaoni.
Nikishamaliza najuuta mpaka basi
Nikiwaza kugegedwa live naona hapana sio kwamba sitongozwi sema Mimi tu nimeamua sitoi papuchi yangu.
Nifanyeje wakuu niachane na dhambi hii?
Sent using Jamii Forums mobile app