Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

Mbona mna shauri ujinga jibu ni kuwa aolewa basi kwisha, "SI VEMA MTU AKAE PEKE YAKE....utamalizia mwenyewe.

Mungu si mjinga kuumba jinsi mbili, ata hao wanaofanya porno wako wawili wa jinsi tofauti ukiacha hiyo mifrauni iloamua kupingana na kawaida/normal.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada mwenyewe kasema hataki mwanaume!
 
Wenye kunihukumu poa tu
Kila mwezi nikiwa heat huwa nawashwa kucheki ngono mtandaoni.
Nikishamaliza najuuta mpaka basi
Nikiwaza kugegedwa live naona hapana sio kwamba sitongozwi sema Mimi tu nimeamua sitoi papuchi yangu.
Nifanyeje wakuu niachane na dhambi hii?


Sent using Jamii Forums mobile app
Olewa ila kwa wew ndoa kudumu ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano maana ni mjuaji wa kila kitu hapa duniani.....wanaume hatuwataki watu wa aina yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu kutafuta kitu cha kujiweka busy pale unapokua heat..mfano badala ya porn angalia series ya kawaida.toka japo mtaani tembea tu kujirudisha kwenye hali ya kawaida.
Pika...we chukua hata nguo piga pasi.soma kitabu au gazeti.in short Fanya jambo lolote Litalokusahaulisha mawazo ya ngono na kuangalia porn.

Hata kubwa zaidi ni kufuta kila chanzo cha porn..kama kuna video kwenye simu futa..kwenye PC futa..CD vunja.

Nliwahi kuwa mhanga wa jaribu kama lako nkalishinda.hata bila ya mwanaume nipo okay.third year papuchi imefunikwa.

Ukiamua unaweza



Sent using Jamii Forums mobile app
Labda sio nyege

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye kunihukumu poa tu
Kila mwezi nikiwa heat huwa nawashwa kucheki ngono mtandaoni.
Nikishamaliza najuuta mpaka basi
Nikiwaza kugegedwa live naona hapana sio kwamba sitongozwi sema Mimi tu nimeamua sitoi papuchi yangu.
Nifanyeje wakuu niachane na dhambi hii?


Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tuanzie kwenye sentensi ya 2..
Hivi wanawake wanakuwa heat kipindi gani??
Kwenye siku za hatari??

Maana nna manzi hapa huwa mapenzi yake yapo kwenye circle...kuna kipindi cha mwezi huwa anakuwa kauzuu kuna kipindi anakuwa very sweet..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye kunihukumu poa tu
Kila mwezi nikiwa heat huwa nawashwa kucheki ngono mtandaoni.
Nikishamaliza najuuta mpaka basi
Nikiwaza kugegedwa live naona hapana sio kwamba sitongozwi sema Mimi tu nimeamua sitoi papuchi yangu.
Nifanyeje wakuu niachane na dhambi hii?


Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ushauri wangu kwanza tafuta mpenzi ambaye upo nae karibu... Pili jaribu kuji keep busy mara zote unapo jisikia hamu ya kutazama pono... Uambie moyo wako kuwa hutaki kuangalia pono na ukijisikia hamu mjulishe msela wako mkavunje amri ya sita
 
[emoji41]
lies_around_you-20190331-0001.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi wanauza izo cd za porno nikaangalie zikoje ndio nije kumshauri

Sent using Uncesored Device
 
Aiseee hapo kuacha labda uje umpate Mwanaume atayemaliza hizo nyege zako!
 
Back
Top Bottom