Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

Wenye kunihukumu poa tu
Kila mwezi nikiwa heat huwa nawashwa kucheki ngono mtandaoni.
Nikishamaliza najuuta mpaka basi
Nikiwaza kugegedwa live naona hapana sio kwamba sitongozwi sema Mimi tu nimeamua sitoi papuchi yangu.
Nifanyeje wakuu niachane na dhambi hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
Olewa. Halafu ukishampata huyo usijibane, mpe hadi aseme 'up'. Na porn uache, itakuharibu akili.
 
Unasema ww hautoi papuchi. Kwahyo unataka kusema unatoa mtandao pendwa au Tigo pekee...?
 
hongera mkuu
Karibu kutafuta kitu cha kujiweka busy pale unapokua heat..mfano badala ya porn angalia series ya kawaida.toka japo mtaani tembea tu kujirudisha kwenye hali ya kawaida.
Pika...we chukua hata nguo piga pasi.soma kitabu au gazeti.in short Fanya jambo lolote Litalokusahaulisha mawazo ya ngono na kuangalia porn.

Hata kubwa zaidi ni kufuta kila chanzo cha porn..kama kuna video kwenye simu futa..kwenye PC futa..CD vunja.

Nliwahi kuwa mhanga wa jaribu kama lako nkalishinda.hata bila ya mwanaume nipo okay.third year papuchi imefunikwa.

Ukiamua unaweza

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji53] siku hizi umenisusa

Back
Top Bottom