Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakumiliki mpya ndio maana huna hamu nayo.Kweli Mkuu??niliwahi kumiliki BMW saloon,ila sina hamu nazo
Wangejua zinachafua mazingira kiasi iko then wasingekua wanazizalisha. Gari za dizeli zina nguvu na pia matumizi yake ya mafuta ni madogo ukilinganisha na petrol na vile vile bei ya mafuta ya diesel ni ndogo ukilinganisha na petrol. Sasa wewe unaposema private car itumie diesel napata shida kukuelewa, kwamba malori na mitambo hayachafui mazingira ndo unachomaanisha mkuu.Mkuu unanunuaje gari private inayotumia dizeli, huna habari kuhusu uchafuzi wa mazingira......private car inatakiwa itumie petroli, gesi au umeme, dizeli itumike kwenye malori na mitambo.
Diesel ni nishati nzito inayofaa kwenye mitambo mikubwa, dunia kwa sasa ina mwelekeo wa kubuni na kutumia nishati mbadala zisizoathiri mazingira, wewe bado unakomaa na gari ya dizeli........watu dizaini yako huwa mnakuwa very rigid hasa linapokuja swala la kufanya mabadiliko.Wangejua zinachafua mazingira kiasi iko then wasingekua wanazizalisha. Gari za dizeli zina nguvu na pia matumizi yake ya mafuta ni madogo ukilinganisha na petrol na vile vile bei ya mafuta ya diesel ni ndogo ukilinganisha na petrol. Sasa wewe unaposema private car itumie diesel napata shida kukuelewa, kwamba malori na mitambo hayachafui mazingira ndo unachomaanisha mkuu.
Ungemshauri tu na sio kumwambia unanunuaje gari ya diesel.
Na hatukosekani watu kama sisi, maana dunia ingekua na watu kama nyie mnapelekwa pelekwa si unaona kungekua hakuna challenges za mawazo mbalimbali.Diesel ni nishati nzito inayofaa kwenye mitambo mikubwa, dunia kwa sasa ina mwelekeo wa kubuni na kutumia nishati mbadala zisizoathiri mazingira, wewe bado unakomaa na gari ya dizeli........watu dizaini yako huwa mnakuwa very rigid hasa linapokuja swala la kufanya mabadiliko.
NDIO,LAKINI TOYOTA NAMILIKI NA HAZINA SHIDA,HATA BENZ NILISHAMILIKI ,HAIKUNISUMBUAHakumiliki mpya ndio maana huna hamu nayo.
“Hallier” ndio gari gani hio?Toyota Hallier vipi? Latest model.
Au ina changamoto zipi kwa wanaojua?
Kuna jamaa yangu ana fikiria kununua Hallier anahitaji ushauri.
Mzee kigogo,nimechukua hii machine yen engine ya 5.5 1vd FTV,kwa kweli ni balaa kabisa,sasa nataka test ya mzungu kuna option yakuchukua RR autobiography ya kuanzia 2014, nice ushauri mkuuBila kupepesa macho chukua LC Gxr 4.5L 1VD FTV engine. Hii ni moja ya engine bora kabisa za Diesel toka Toyota
Ilikuaje?Kweli Mkuu??niliwahi kumiliki BMW saloon,ila sina hamu nazo
Unatokea wapMkuu unanunuaje gari private inayotumia dizeli, huna habari kuhusu uchafuzi wa mazingira......private car inatakiwa itumie petroli, gesi au umeme, dizeli itumike kwenye malori na mitambo.