Naomba ushauri juu ya kununua gari

Naomba ushauri juu ya kununua gari

Mkuu unanunuaje gari private inayotumia dizeli, huna habari kuhusu uchafuzi wa mazingira......private car inatakiwa itumie petroli, gesi au umeme, dizeli itumike kwenye malori na mitambo.
Wangejua zinachafua mazingira kiasi iko then wasingekua wanazizalisha. Gari za dizeli zina nguvu na pia matumizi yake ya mafuta ni madogo ukilinganisha na petrol na vile vile bei ya mafuta ya diesel ni ndogo ukilinganisha na petrol. Sasa wewe unaposema private car itumie diesel napata shida kukuelewa, kwamba malori na mitambo hayachafui mazingira ndo unachomaanisha mkuu.

Ungemshauri tu na sio kumwambia unanunuaje gari ya diesel.
 
Diesel ni nishati nzito inayofaa kwenye mitambo mikubwa, dunia kwa sasa ina mwelekeo wa kubuni na kutumia nishati mbadala zisizoathiri mazingira, wewe bado unakomaa na gari ya dizeli........watu dizaini yako huwa mnakuwa very rigid hasa linapokuja swala la kufanya mabadiliko.
 
Na hatukosekani watu kama sisi, maana dunia ingekua na watu kama nyie mnapelekwa pelekwa si unaona kungekua hakuna challenges za mawazo mbalimbali.
The thing is wanatakiwa waache production ya hizo gari, kuna nchi gari za diesel hazitumiki kabisa. Ila kwa hapa bongo hio bado sana...we've got a long way to go.
 
Bila kupepesa macho chukua LC Gxr 4.5L 1VD FTV engine. Hii ni moja ya engine bora kabisa za Diesel toka Toyota
Mzee kigogo,nimechukua hii machine yen engine ya 5.5 1vd FTV,kwa kweli ni balaa kabisa,sasa nataka test ya mzungu kuna option yakuchukua RR autobiography ya kuanzia 2014, nice ushauri mkuu
 
Mkuu unanunuaje gari private inayotumia dizeli, huna habari kuhusu uchafuzi wa mazingira......private car inatakiwa itumie petroli, gesi au umeme, dizeli itumike kwenye malori na mitambo.
Unatokea wap
 
Mimi mwenzenu sijui ninadhida gan gari hii haijwah nichosha. Ila yangu Ni nyeusi
 
Attachments

  • images (62).jpeg
    images (62).jpeg
    21.9 KB · Views: 37
Back
Top Bottom