Naomba ushauri juu ya kupambana na mke wangu anayeninyanyasa kwa sababu anataka kutumia sheria kunifilisi

Hiyo ni red flag..
Piga chini haraka.
 
Kama hujakutana na wanawake aina ya aloelezewa hapo juu huwezi elewa.

Kumpiga huwezi, na ukimpiga ndo umejimaliza kabisa. Hio situation ya huyu jamaa omba sana usijikanyage ikukute, utakonda waseme umenyimwa ARV na uncle Trump
 
Pole sana ndugu, hapo tafuta mwanasheria mbobevu
 
Kama hujakutana na wanawake aina ya aloelezewa hapo juu huwezi elewa.

Kumpiga huwezi, na ukimpiga ndo umejimaliza kabisa. Hio situation ya huyu jamaa omba sana usijikanyage ikukute, utakonda waseme umenyimwa ARV na uncle Trump
🥺 Sasa mimi ntakutana nao wapi, khee
 
Tafuta mwanasheria ili mtengeneze mazingira ya kwamba aende kwao akatibiwe kichaa chake maana ni hatari kuishi nyumba moja na kichaa,hata usalama wa watoto mikononi mwake haupo. Kwa hivyo visa tuseme tu huyo ni kichaa na anaweza akakupika soup.
 
Labda ana hasira ya wewe kukaa nae mda mrefu bila ya ndoa halali.
Hata wakati wa mapenzi alikiwa na hali yakulipuka ovyo ila kwa sasa ndo naona ukatili WA Hali ya juu.Nianwezafanya maguvu nikaingia ndani nikalala lakini naona hatari kubwa kati yetu ndo maana anulizia njia Bora yakupambana
 
Aende kwao sasa
 
Ongea na wanasheria na akizidi mwambie kitaumana na kujikuta akipokea karatasi mbaya iitwayo talaka.
 
Hakuna biashara hapo,,
we kimbia beba vitu vyako tambaa.
Nyumba pangisha hana hati.
Au la piga mabanzi ya kutosha mpeleke kwao mtoto atakuja tu baadae,
Wangu nilipiga sana nikawa naishia polisi, siku nilivyotoroka home nikaacha kila kitu.
Alinitafuta Dar nzima hatukuonana.
Nilionana mtoto akiwa na miaka 8, sasa yuko 26 nakaa naye kibingwa tu.
Mama yake anaumwa huko sijui kalogwa yuko icu.
 
Very tight position na ukizubaa anaweza kuharakisha process kikatili

  • Ni kabila gani ?
  • kwao ni baba au mama mwenye sauti ?
  • Anao ndugu mnaowasiliana ?
  • kuna mtu au watu unaowajua wanaompa mawazo hayo ?
 
Hamisha hela kwenye acc yako
nyumba iunze kwa mama yako
Mwambie mama aende bank akakope hela
hiyo hela tumia kujenga nyumba nyumba nyingine bila yeye kujua
Bank watakuja kuitaifisha kwa kushindwa kulipa den lao.
Hapo atakuacha nenda kapnge miezi3
Nenda kwako ukiwa umezamilia kumuacha halafu oa mwwanamke mwingine
 
Usimpige acha kabisa hamisha vitu vyako vya maana baada ya kukamilisha hizo process zote
Hakikisha mnaandika tarehe za zamani sana za mauziano wewe na mama yako. hatatoboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…