Naomba ushauri juu ya kupambana na mke wangu anayeninyanyasa kwa sababu anataka kutumia sheria kunifilisi


Pesa hutafutwa, uhai huwezi pata Mahali, lazima ana mwanaume nje na wala sio ndugu, anayefanya afanye ujinga huo lazima anamlala!

Kuja PM nikupe maelekezo rahisi ya kukamata hayo maujinga yake; then ukishayapata Nenda mahakamani mpe talaka, uza nyumba mgawane!

Huyo mwanamke ni mhalifu na hakufai, ila nahisi kuna maelezo ujatupa; hawezi tu Kuwa na Tabia ngumu hivyo bila na wewe Kuwa sehemu ya hayo matatizo!
 
kwanza anachukia hata watoto wandugu wanaopita kwetu kwenda masomoni.Pili anaomba hera labda laki 3 ghafla nje ya bajet na ukiwa huna anakufungia nje ya nyumba au atapasua vioo vya nyumba au atachana nguo zangu kwa wembe🥺🥺🥺🤔🙇🏿‍♂
 
Ww unajielewa kwl sasa mwanamke unandoa nae anakusumbuaje ss weny ndoa zao tuliwashnda walipo jarbu mizaa kutapeli mali ambayo wakutafuta, tatzo w umependa amna kingne acha uteseke
 
mfukuze ila usimpige
 
Story za ivi napendaga kusikiliza na upande wa pili anasemaje tujue nan mkorof
 
Yaani we jamaa inaonekana umesoma ila by nature tu huna akili (kumradhi kama nimekukera kwenye hili); yaani mwanamke hujaoa na wala haujapelekwa mahali anakutesa kwasababu gani? Unachaniwa nguo na kufungiwa nje na kimada tena kwenye nyumba yako mwenyewe?
Afu...... Huoni aibu kuja kuuliza maswali ya kipuuzi kama haya kwenye hadhira ya wanaume wenzako?
 
Huna akili
 
Nafikilia hivto lakini nafanyaje ili baadaye nisipoteze haki zangu hasa asset chache nikizowekeza mshahara wangu wakati yeye hakuwahi kuweka chochote?
Tafuta mganga mzuri ummalize kabisa huyo shetani,kuna mwamba hapo juu amekuambia katavi yupo mganga mzuri, hakika ndoa hazifai karne hii
 
FUKUZA FUKUZA FUKUZA

nime screenshot hii thread Mtoto wangu akikua tamuonyesha mfano wa Mwanaume dhaifu aisje kua boya
 
Pili anaomba hera labda laki 3 ghafla nje ya bajet na ukiwa huna anakufungia nje ya nyumba au atapasua vioo vya nyumba au atachana nguo zangu kwa wembe.
Kama ulivyofanya maamuzi ya kumleta kwako, fanya maamuzi ya kumtoa kwako.

Kuwa kiongozi, kwasasa unaongozwa, nafasi yako imepokwa.
 
Achana nae,cha kufia ni nini wakati unaona kabisa hamna kitu hapo. Mwanaume anaetarajia kuowa afikiri mara mbili maana yakikupata hakuna msaada zaidi ya kugawana mlicho nacho. Haiichiki kivipi?
 
Kamtie ndani kwa kukuibia laptop... Pesa fanya uhamishie akaunti nyingine. Piga chini na washirikishe serikali za mtaa akifanya vituko kuweka rekodi.
 
Wasukuma Huwa hawana mda na mambo ya sheria unauwawa aidha Kwa mapanga au Kwa dawa na Mali wanachukua.

Ndio maana huwezi sikia huo upuuzi Kwa Wasukuma.
 
Achana nae,cha kufia ni nini wakati unaona kabisa hamna kitu hapo. Mwanaume anaetarajia kuowa afikiri mara mbili maana yakikupa hakuna msaada zaidi ya kugawana mlicho nacho. Haiichiki kivipi?
Analilia Mali wakati huyo anaweza hata kumuua na Mali akazikosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…