Naomba Ushauri: Kati ya BMW 3 Series 2006 model na Subaru Legacy B4 Sports 2006 model

Mh how much did you sell it, it believe you sold it at a very cheap price
 
umekua mstaarabu boss...i salute unajua hata kama nchi ina njaa haimaanishi mambo yote yasimame kaka
 
umekua mstaarabu boss...i salute unajua hata kama nchi ina njaa haimaanishi mambo yote yasimame kaka
Waswahili wanasema hasiye kubali kushindwa si mshindani. Sasa mimi nimeona sikutumia ustarabu katika mawasiliano na Decentman, kwahiyo nimejirudi baada kujifanyia analysis binafsi.
 
Uko sahihi sana rafiki. Pia nilishauriwa hivyo na fundi mkuu wa noble motors. Basically bmw are high tech cars, full of sensors, very sensitive to minors faults. I short bmw are great cars for fat Cates.hahahah
Hahah kweli chief ndio maana wanaiita BLOW MY MONEY(BMW) kama huna huna fat wallet usijaribu Bmw,lkn ile gari ni heshima mtaani aisee.
 
Unaongelea BMW ipi mkuu ya kupitwa na subaru legacy?Labda kama unaongelea subaru wrx tena na yenyewe mara nyingine mpk iwe imefanyiwa tunning ya hatari la sivyo subaru haisogei.

Nikwambie kitu kimoja boss,watu wanasema Subaru inakimbia kuliko Bmw kwa sababu hakuna tajiri aliye tayari kukimbizana na cheap japanese sports car(subaru) kwa sababu ikitokea kitu kama ajali hio bmw gharama ya matengenezo sio mchezo aisee
 
You are right, umeongea point kwamba BMW huwa hazitumiki katika safari rally Kama Subaru. Subaru na BMW nyingi top speed ni between 140 na 150mph. Sema BMW engine power ni kati ya 125 mpaka 300 bhp, wakati engine power za Subaru ni kati ya 125 mpaka 200 bhp.
Subaru za mashindano zinakuwa special car designed for racing.
Kwahiyo Performance wise na jinsi BMW inavyo tengenezwa, kama inakuwa designed for racing Subaru haioni ndani.
 
Sawa mkuu wangu tuko pamoja kabisa kwenye hilo.
 
kuunganisha uzi..mimi ninatumia subaru legacy sport(hii haina turbo).
hii gari ina sifa zote ulizozitaja hapo juu.
tofauti na nyingine hii ina option ya auto manual(unaweza endesha kama auto au manual)
kwa upande wa spea parts, zipo zinapatikana. spea za subaru bei zake hazipishani sana na za Nissan. hata baadhi ya vifaa vinaingiliana.

Consuption 12-13km/litre

kwa ujumla ukiinunua subaru hutajutia (hasa kama matumizi yako yatakuwa ya kawaida)
 
Kwa nn ungechukua subaru mkuu?
Mkuu ningechukua kwasababu kwenye kila ulicho orodhesha kuanzia 1-6 when it comes to Subaru ni excellent.
Off road performances ziko poa
Fuel consumption iko poa
Spea ni za kumwanga
Comfortability ya hali ya juu haijaachwa na Beemer.
Na mengine mengi mazuri.
 
Umesema yote mkuu! Aksante..
 
Nilishawahi kuwa na gari moja heshima kubwa mtaani ila cha moto nilikiona ktk kuirun..
Ngoja nitafakari which way should i take between the two!
 
Nna bmw 330ci convertible,it is very confortable,reliable lkn ukija kwenye maintainance cost lazima ukubali Germany machine inatafuna hela.

Kubadili oil tu sio mchezo,usiombe taa ya gari igongwe utajuta.Ila spare zake ni mkataba sana.
Loh hatari...
 

Mkuu thnx kwa ushauri wako lakini pia thanks kwa kuwa muelewa. Tupo pamoja..
 
1.Utumiaji mafuta - subaru 2.0l
2. Speed - bmw
3. Kudumu/Uimara - subaru
4. Spea/Service - subaru
5. Comfortability- bmw
6. Kutulia barabarani - bmw

hapa ni kama vile ngoma droo..ila me nakushauri chukua subaru hiyo bmw itakusumbua kama alivyosema jamaa any anormally hata iwe ndogo vipi itakuwashia taa kwenye dashboard,na kwa kila diagnosis mzee unaweka mpunga chini which is very rare kwa gari kama subaru...chukua subaru mzee if its speed you want chukua ya 2.5l plus turbo...kwenye suala la spea zote ziko juu ingawaje bmw ipo juu zaidi.ila kwa hii dola naona inavyopanda jaribu kucheki crown na markx maybeeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…