Naomba Ushauri: Kati ya BMW 3 Series 2006 model na Subaru Legacy B4 Sports 2006 model

Cha ajabu kuna mtu noilimwona Dodoma na BMW M3 E90 pia jana nimeona 535i...truth be told,magari yote ya ulaya kabla ya 2012 hayana ubora wa kudumu kabisa kwasababu walikua wanakimbizana na Lexus technologies ambao waliweka vitu vingi sana kwnye magari yao mwanzoni mwa 2000's. Kuna jamaa anadai rafiki yake ana Lexus GS300 imeshavuka km 1,000,000 kwenye odometer na kuanza upya lakini haisumbui kabisa. Nakushauri uchukue Subaru BMW, Benz, na mwengine waachie wenyewe ila exception ni Range Rover. Model za 2012 na kuendelea wanadai ziko reliable sana kiasi cha kupewa nyota 9 kati ya 10
 
Daah yaani BMW unailinganisha na vitu vya kijinga?

hahaha Subaru Gari Ya Kijinga? you cant be serious, ingia online soma comments za subaru model yoyote ila halafu uangalie gari zipi zimekuwa rated highly in all time car with stability and safety katika miaka mbali mbali na model mbali mbali mara nyingi. BMW sio gar mbaya ila you cant write off Subaru just yet. by the way Subaru ni moja kati ya gar chache ambazo na uhakika wa kugusa more than 250K plus in Km na bado ingine haijaguswa

by the way kuanzia model za miaka ya tisini subaru gar zao zote ni AWD bila kujali model.

NARUDIA BMW NI GARI NZURI SANA, ILA IPE HESHIMA YAKE SUBBY
 
Duh!
 
Yani jamaa unachambua hizi gari hadi raha.
Mi binafsi nilikuwa nafikiria kununua kati ya Audi A4 au A6, BMW 3 series na Subaru legacy b4.
Na mimi nimeshapata majibu sasa, kati ya hizo tatu legacy b4 ni chaguo sahihi zaidi.
Abarikiwe aliyeanzisha huu uzi na wachambuzi.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unalinganisha usingizi na kifo BMW ni mashine

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
 
kumbuka kuna heshima na perfomance plus features zake ...kwa upande wangu subaru yoyote ya kwanzia 2005 kuja juu sio ya kuwaza mara mbili....afu TRA kodi kidogo chee spea kibao achana na hayo magari ya ki germany
 

yani umeelezea mpaka nime furahi safi sana mkuu your the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…