Yeah,umepiga mkuuDhamira ya kufanya kazi ni malipo mazuri, fuata kwenye pesa ndefu. Mambo ya profession waachie madaktari.
Chukua ya profesional yako ambayo inamshahara mdogo kama una uhakika profesional yako italipa baadhi ya bills za usafiri, kodi, nyumba, luku nkHabari za sahizi waungwana?
Naomba mchango wenu wa mawazo.
Nimepata ajira mbili kwenye kampuni mbili tofauti.
1.kampuni ya kwanza ni kiwanda cha wachina,kazi inahusiana na professional yangu niliyosomea(uhasibu) mshahara sio mkubwa kivile ni around 1.3m kabla ya makato.
2.kampuni ya pili nayo ni kiwanda cha wakenya,kazi niliyopata sio ya professional yangu ila tu nina uzoefu nayo wa muda mrefu(sales) na mshahara unachezea kwenye 1.8m kabla ya makato
Kampuni zote ziko Dar es salaam na mimi pia naishi Dar kwa sasa.
Ni muda mrefu nilikua natafuta kazi ya professional yangu ili niweze kukuza career yangu bila mafanikio lkn leo nimebahatika kuipata.
Je niichukue hiyo kazi ya professional yangu au nichukue hiyo isiyo ya professional yangu?
Karibuni kwa mawazo yenu wakuu.
Na siku yako itafika tu mkuu,Dah wengine mnapataje kazi aisee
Shida ukipata hela utaringa, utatumia vibaya na kuachishwa kazi kisa mademu na wizi
Ukiondoa hayo, chukua yenye hela nzuri, utajipanga vizuri kimaisha mapema na inawezekana ukapata kazi kubwa zaidi kuliko ukianzia chini,
Ukianzia chini uwezekano wa kutoka ni mdogo zaidi
[/QUOTEPesa kwanza mengine baadaeHabari za sahizi waungwana?