Naomba ushauri kuhusiana na hizi kazi mbili nilizozipata?

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
1,985
Reaction score
5,167
Habari za sahizi waungwana?
Naomba mchango wenu wa mawazo.
Nimepata ajira mbili kwenye kampuni mbili tofauti.
1.kampuni ya kwanza ni kiwanda cha wachina,kazi inahusiana na professional yangu niliyosomea(uhasibu) mshahara sio mkubwa kivile ni around 1.3m kabla ya makato.
2.kampuni ya pili nayo ni kiwanda cha wakenya,kazi niliyopata sio ya professional yangu ila tu nina uzoefu nayo wa muda mrefu(sales) na mshahara unachezea kwenye 1.8m kabla ya makato
Kampuni zote ziko Dar es salaam na mimi pia naishi Dar kwa sasa.
Ni muda mrefu nilikua natafuta kazi ya professional yangu ili niweze kukuza career yangu bila mafanikio lkn leo nimebahatika kuipata.
Je niichukue hiyo kazi ya professional yangu au nichukue hiyo isiyo ya professional yangu?
Karibuni kwa mawazo yenu wakuu.
 
Chukua mshahara mrefu.... professional yanini mkuu ....uzoefu utaupatia humohumo
 
Kama bado unajitafuta

Pesa >>>>>> Professional.

Professional haileti ugali mezani. Nenda kwenye mpunga mrefu
 
Uzoefu ni zaidi ya professional
Pia angalia kazi ya kujichanganya na watu ndio yenyewe ya sales ila sijui kama uhasibu unakupa nafasi hiyo
Pia Kuna kuumiza sana kichwa kwenye uhasibu utazeeka na kutoka kipara mapema
✔️Fanya hiyo ya sales
✔️Ina MAOKOTO mazuri
✔️Una uzoefu nayo
✔️Inaweza kukupanua haraka make inakufanya ui ngage na watu
👉Mabosi mkenya na mchina ni sawa na mhindi🙄
 
Job security an other benefit plus mkataba ivyo ni vya ku doouble check before any decion made
 
Habari za sahizi waungwana?
Naomba mchango wenu wa mawazo.
Nimepata ajira mbili kwenye kampuni mbili tofauti.
1.kampuni ya kwanza ni kiwanda cha wachina,kazi inahusiana na professional yangu niliyosomea(uhasibu) mshahara sio mkubwa kivile ni around 1.3m kabla ya makato.
2.kampuni ya pili nayo ni kiwanda cha wakenya,kazi niliyopata sio ya professional yangu ila tu nina uzoefu nayo wa muda mrefu(sales) na mshahara unachezea kwenye 1.8m kabla ya makato
Kampuni zote ziko Dar es salaam na mimi pia naishi Dar kwa sasa.
Ni muda mrefu nilikua natafuta kazi ya professional yangu ili niweze kukuza career yangu bila mafanikio lkn leo nimebahatika kuipata.
Je niichukue hiyo kazi ya professional yangu au nichukue hiyo isiyo ya professional yangu?
Karibuni kwa mawazo yenu wakuu.
Chukua ya profesional yako ambayo inamshahara mdogo kama una uhakika profesional yako italipa baadhi ya bills za usafiri, kodi, nyumba, luku nk
 
Shida ukipata hela utaringa, utatumia vibaya na kuachishwa kazi kisa mademu na wizi

Ukiondoa hayo, chukua yenye hela nzuri, utajipanga vizuri kimaisha mapema na inawezekana ukapata kazi kubwa zaidi kuliko ukianzia chini,

Ukianzia chini uwezekano wa kutoka ni mdogo zaidi
 
[/QUOTE
Habari za sahizi waungwana?
Naomba mchango wenu wa mawazo.
Nimepata ajira mbili kwenye kampuni mbili tofauti.
1.kampuni ya kwanza ni kiwanda cha wachina,kazi inahusiana na professional yangu niliyosomea(uhasibu) mshahara sio mkubwa kivile ni around 1.3m kabla ya makato.
2.kampuni ya pili nayo ni kiwanda cha wakenya,kazi niliyopata sio ya professional yangu ila tu nina uzoefu nayo wa muda mrefu(sales) na mshahara unachezea kwenye 1.8m kabla ya makato
Kampuni zote ziko Dar es salaam na mimi pia naishi Dar kwa sasa.
Ni muda mrefu nilikua natafuta kazi ya professional yangu ili niweze kukuza career yangu bila mafanikio lkn leo nimebahatika kuipata.
Je niichukue hiyo kazi ya professional yangu au nichukue hiyo isiyo ya professional yangu?
Karibuni kwa mawazo yenu wakuu.
Pesa kwanza mengine baadae
 
Back
Top Bottom