Stephano Shahidi
Member
- May 28, 2023
- 61
- 79
Habarini,
Nina barua yenye check namba, niliyoambiwa kwamba nionapo tangazo mamlaka yoyote ya ajira nchini ikiwemo sekretarieti ya ajira niombe ili niweze kupangiwa kituo kulingana na uhitaji uliopo.
Sasa kuona tangazo ni ishu ukiliona leo mpaka baada ya miezi au mwaka pia nafasi ni chache mno.
Nimeamua kumwandikia President au Rais nimemwomba sana aniajiri mnaonaje wadau?
Au kuna maelezo gani naweza kuweka kwenye barua yatakayomvutia zaidi ili asisite kuweka mia kwa mia tamko la kuniajiri (haswa wenye uzoefu nipeni uzoefu wenu)nimesota sana juu ya ishu hii nawasilisha.
Natanguliza shukrani ahsanteni.