Naomba ushauri kuhusu changamoto hii ya mke wangu

Nina experience na hili kwa hiyo angalia moyo wako unataka nini
 
Kwa wanawake wa kisasa hawa ma braza ni afadhali tu ukomae na mkeo maana kama wanavyosema wenyewe "it rains ALMOST everywhere". Maana yake ni kwamba uwezekano wa kuchapiwa ni almost 99.99%!



Kwa huyo mume mwenzio mwendesha Hiace, baada ya miezi mitatu nenda ukapime UKIMWI maana kuna possibility kubwa sana kuwa jamaa hakutumia kondomu; na hao jamaa ni wahuni balaa! Ukikuta hakuna maambukizi shukuru Mungu πŸ™πŸΏ

Na kama utakuwa umepoteza trust mazima nenda pia ukawapime hao watoto ili ujue kama ni wako kweli...



Na mwisho kabisa: Je, wewe huna michepuko huko kazini kwako? Kama unayo jichunguze na ujipeleleze mwenyewe na Mungu wako. Naamini Atakupa jibu sahihi kuhusu nini cha kufanya. Ila kumbuka kwamba mkeo wa ndoa katombewa sebuleni na mwendesha Hiace hapo hapo nyumbani kwako. Likumbuke hilo unapofikiria la kufanya.

Pole sana na Mungu Akusaidie πŸ™πŸΏ

Angalizo: Mleta mada ni mtu wa kamba sana! πŸ—‘πŸ—‘πŸ—‘

 
Mke wangu hata akiniua namsamehe kwa roho nyeupe kabisa ila sio kosa la kuliwa na mtu mwingine!

Mwanamke msaliti hasamehewi...
Wewe fikiria mwanaume mwenzako amkunje mkeo style tofautitofauti huku mkeo akiililia kama mtoto 🀀
Alafu kuna ile mtambo unatoka nje anautafuta mwenyewe mbiombio anaurudisha ndani
 
Ndio tutaelewana tuu.....hakuna mwanaume tz demu au mkewe hatombwii 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ukute hata chumbani kwa jamaa mkum.. ulishapigiwa huko! Kwa vile jamaa amejiingiza mwenyewe kwenye mfumo bora afanye maamuzi mwenyewe!
 
Nakupa stori fupi then utaamua.
Nilikuatana na mwanamke akiwa bikra lakini nikamvumilia nisizini nae mpaka tumalize shule ,siku napewa tunda nikakuta sio bikra akanjomba radhi yakaisha. Miezi minne 4 nikagundua anatoka na mfanyakazi mwenzake baada ya kuona picha walizopiga kitandani kwetu kwenye simu yake nikamsamehe yakaisha ila kuna jamaa yangu aliniambia hivi "Mwanaume akichiti ni tamaa ila mwanamke akichiti jua amescrifice hana tena mapenzi na wewe kuendelea kua nae ni kujiweka kwenye matatizo yasiyo na sababu,achana nae"... Baada ya miaka 3 nilikiona cha mtema kuni nikatema bungo.

Mkuu hapo kuna funzo mapenzi ya mbali hayajawahi kua salama ,imagine mtu yupo karibu na una chapiwa sembuse mbali wewe piga chini anza upya usiishi na mwanamke malaya utateseka.

NB:HEADING INA UKAKASI MIMI NILIDHANI UMKULA "YASS"
 
Pole ila Jaribu kumsamehe na ikiwezekana pima DNA ukikuta watoto sio wako Tafuta Mwanamke mwingine uanze upya

Mimi ninachojua wake za watu wanagawa Sana

Nawashauri vijana ukishamzalisha mwanamke pima DNA na Ukimwi Mara Kwa Mara.
 
Kapirience gani mkuu! Hebu weka ushuhuda hapa watu waokoke! Hata mimi nilishawahi kuchepuka na Manzi ya mtu sitaki tena huo ujinga aisee! Hadi huruma! Sasa kama na wa kwetu wanafanyiwa hivyo Mungu atusamehe tu!
Mkuu nilishawahidate na mke wa mtu na nilipita nae mara nyingi sio geto sio kwake lakini mwisho wa siku kabanwa na jamaake baada ya kuona dalili za ajabu kwa mke wake na manzi akamwambia ametoka na mimi mara mbili lakini kiufupi ni zaidi ya mara 5 guess what niliponea chupuchupu yaani sasahivi sitaki kitu inaitwa mke wa mtuπŸ™ŒπŸ™Œget the lesson here
 
Kinachowaponza wanawake kufanya hayo ni tamaa wala sio fedha au mavazi.Kwa kuwa unampenda msamehe na ajue kuwa unamaanisha kweli.Hii itamjenga upya kuwa alifanya upumbavu kwa mtu mwenye kwake.Na yule kijana msamehe ili uwe na amani.
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…