Naomba ushauri kuhusu changamoto hii ya mke wangu

Haya Mambo hayashauriki ,ila kama huna kamchepuko basi tafuta mchepuko anaejali uendee na life ,ila usimuamin kivile we uwe unaipiga na kujiliwaza tuu.. Mke kashapata hofu kama anayo akili ila katika akili yako mtoe kabisa lakin Usimuache. Kuna kipind huko uzeen utahitaj msaada zaid kutoka kwa mtu mlozoena na mnaehurumiana na Siyo uliyempenda sana
 
Huwa hawashauri haya lakini mm nakushauri achana nae... wengne wanasema eti kwani ww haucheat?aisee..wanaume tunacheat kwa tamaa ila wanawake wanacheat kwa hisia...na akicheat at once,anaweza kurudia na mara nyingine nyingi, references zipo nyingi Sana

Mfano dude lako ww mkeo halimtoshei Yani haliendani na size yake, do you think ukimsamehe utabadilisha hiyo fact?

Pia kama mikito yako alikuwa haielewi au haumkuni kama huyo dereva alivomkuna ko ukimsamehe unadhani hatakuwa na memories za jamaa?

Mwanamke akishacheat mzee na Kwa mara nyingi na Hadi sebuleni kwako,huyo sio mke wako Tena

Relax jipe muda,ni mambo tu utakuja kusahau...then ukiwa na mwanamke usimuamini sana kupitiliza,Hawa viumbe ni hawatabiriki....enjoy mzee kula maisha
 
Ukimsamehe msaliti basi kwisha habari yako
 
Hahaha
 
Uchafu gani huo
 
Natamani sana wanawake mtoe comnents zenu nizitathimini, lakini wapi!
Ni mwendo wa pole ama emogy za masikitiko.
Kwa nini hamtaki kusema chochote jamani?
Mada hii inawahusu mjue!
Waseme nn wakati wao ndo wanaogawa kama mchele kila kukicha.

hawataki waonekane malaya kwenye kadamnasi hivyo huishia kusema " pole" ila under ground sio poa mkuu tena huyo uliyem quote eeeh '' '' '`' '' '' '' acha nikaushe
 
Distance relationship haijawahi kuacha mtu salama hata uwe na rundo la pesa.

Kuanzia sasa hutampenda kama mwanzo, hutakuwa na hisia naye, hutampa maneno mazuri ya mahaba, utaishi kwa wasiwasi, hutamwamini kuanzia sasa mpaka mmoja anatoweka duniani. Kwa sasa mtaishi kama ng'ombe kwa ajili ya uzazi. Hata kama utamsamehe ila hutakuwa umemsamehe. Wanaume tunaongoza kusaliti ila hatusamehi kusalitiwa hata siku moja.

Ushauri wangu mbovu kama unaamua kusamehe basi hakikisha yule mchepuko wako wa porini anayekupenda na anajua una mke unamfanya kuwa mke pia. Usimjulishe kuwa mmekosana na mke. Ajue na kukubali kuwa yeye ni sidekick au mke wa pili. Ila usijali kama mke wako atajua. Ni muhimu hili pigo alipate pia. Kumsamehe kinyonge atakusumbua sana na utakuja kujidhuru huko mbeleni.

Usisahau kufunga biashara mliyoanzisha. Uza kila kitu pesa kazihifadhi UTT wakati ukiendelea kutafakari hatima ya ndoa yenu. Hiyo biashara itampa kiburi kuwa anaweza kuishi peke yake na kuzitumia pesa hizo kumhudumia jamaa wa Hiece.

Sichunguzi simu ya mke wangu kwa faida ya watoto maana najua kuchepuka kupo. Hapa nilipo nina foleni ya wake za watu wa kutosha wakitaka niwasukumie nyama. Wapo ambao jamaa zao wako porini kama wewe na wengine wanaishi nao ndani. Haya mambo hayaihitaji kuchunguzana.
 
Unaamibiwa hata Mungu baba alipogundua shetani anataka kumsaliti na kumpindua hakumsamehe alipiga chini mazima. Uko sawa mwanamke mzinifu hana nafasi ya kusamehewa hadi mbinguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…