Tumeshajua hutaki IST,
weka na zile unazozitaka ili iwe rahisikushaulrahisikushaul
Kulingana na bajeti yangu magari nikiyokuwa nafikiria ni Nissan Xtrail, Nissan Tiida, Toyota Volts, Premio, Subaru Forester na brand nyinginezo mtakazonishauriTumeshajua hutaki IST,
weka na zile unazozitaka ili iwe rahisi kushauliwa
Ractis jeHabarini za jioni wadau. Nimejikusanya nimepata kama mil 12 - 14. Malengo yangu nahitaji kununua gari kwa ajiri ya shughuli za kawaida kama kwenda na kurudi kazini, kwenda na familia ibadani, sokoni, kwenda kuwatembelea wazazi mikoani nk...
mkuu nikuulize kdogo hali barabara ikoje uko unakoishi je barabara ni lami au tambarare tu hadi hom au ni vumbi na mabonde panda shuka hadi hom.Habarini za jioni wadau. Nimejikusanya nimepata kama mil 12 - 14. Malengo yangu nahitaji kununua gari kwa ajiri ya shughuli za kawaida kama kwenda na kurudi kazini, kwenda na familia ibadani, sokoni, kwenda kuwatembelea wazazi mikoani nk...
If you are a humble person na kwakua ndo gari la kuanzia, then nunua Suzuki Gimmny tena agiza kutoka nje. Hutojutia ushauri wang.Habarini za jioni wadau. Nimejikusanya nimepata kama mil 12 - 14. Malengo yangu nahitaji kununua gari kwa ajiri ya shughuli za kawaida kama kwenda na kurudi kazini, kwenda na familia ibadani, sokoni, kwenda kuwatembelea wazazi mikoani nk...
Nipo Dar safari route nyingi itakuwa hapa hapa mjini japokuwa kama nilivyosema naweza kuhitaji kwenda mikoanimkuu nikuulize kdogo hali barabara ikoje uko unakoishi je barabara ni lami au tambarare tu hadi hom au ni vumbi na mabonde panda shuka hadi hom.
km ni mabondeni usinunue vigari vya chinichini vitakusumbua wkt wa mvua au km ni lazima uwe na gari ya chini hakikisha ni "adjustable" yaani ambayo unaweza kuongeza urefu wa gari kwa kufunga mawe fulani ya aluminium juu ya tairi.
hlf nmeona watu wengi wanaonunua gari ya kwanza mara nying lazima wanunue magari marefu sn km ipsum, nadia. hiyo haina ulazima hata ukiwa na kavitz mle ndani mnatosha hata familia nzima.
Hapo chukua gari yoyote ndogo ila hakikisha cc iwe chini ya 1500. napendelea Toyota naonaga mafundi wake ni weng na spea sio shida. usinunue demio cjui Mazda, passo, cami/terios, nissan xtrail hizo ni mimbaNipo Dar safari route nyingi itakuwa hapa hapa mjini japokuwa kama nilivyosema naweza kuhitaji kwenda mikoani
Habarini za jioni wadau. Nimejikusanya nimepata kama mil 12 - 14. Malengo yangu nahitaji kununua gari kwa ajiri ya shughuli za kawaida kama kwenda na kurudi kazini, kwenda na familia ibadani, sokoni, kwenda kuwatembelea wazazi mikoani nk.
Hivyo naombeni wataalamu mnipe ushauri wa ni gari gani itanifaa kwa kuanzia kulingana na bajeti hiyo kwa kuzingatia vigezo vifuatavyo.
1. Kumbuka ni gari yangu ya kwanza.
2. Muonekano wa gari ni kipaumbele cha kwanza.
3. IST sio chaguo langu kabisa
4. Ulaji wa mafuta ni suala la pili kuzingatia baada ya mwonekano/shape
Asanteni sana na karibuni kwa mawazo.
Ongeza hela upate subaru forester SH5. But kumbuka zimepanda bei saana kwenye ushuru.. ona ilivyo sasaHabarini za jioni wadau. Nimejikusanya nimepata kama mil 12 - 14. Malengo yangu nahitaji kununua gari kwa ajiri ya shughuli za kawaida kama kwenda na kurudi kazini, kwenda na familia ibadani, sokoni, kwenda kuwatembelea wazazi mikoani nk.
Hivyo naombeni wataalamu mnipe ushauri wa ni gari gani itanifaa kwa kuanzia kulingana na bajeti hiyo kwa kuzingatia vigezo vifuatavyo.
1. Kumbuka ni gari yangu ya kwanza.
2. Muonekano wa gari ni kipaumbele cha kwanza.
3. IST sio chaguo langu kabisa
4. Ulaji wa mafuta ni suala la pili kuzingatia baada ya mwonekano/shape
Asanteni sana na karibuni kwa mawazo.