Naomba ushauri kuhusu gari ya kununua kwa mara ya kwanza

Mkuuu hutaki IST alafu unaowaomba ushauri wote wantumia hiyo IST.. subiri kejeli na matusi
 
Kuna jamaa kanitumia hii gari inbox kesem naweza kuifikisha Dar mpaka registration kwa mil 14-15.
Make:SUBARU
Model:FORESTER - SG5
Body Type:SUV
Year of Manufacture:2005
 
Hapo chukua gari yoyote ndogo ila hakikisha cc iwe chini ya 1500. napendelea Toyota naonaga mafundi wake ni weng na spea sio shida. usinunue demio cjui Mazda, passo, cami/terios, nissan xtrail hizo ni mimba
Passo,cami ni toyota mkuu,mimba zake zinakujaje mkuu tuelekezane tusiingie mikenge
 
Sisi, ( EAPGS )

Hatukushauri sana kuhusiana na subaru, hii ni kwa sababu ya kuzingatia angalizo ambalo umelitoa kwamba, ndio garibya kwanza, hivyo experience ni kipaumbele.

Kwa budget yako, gari ambazo zingekufaa sana ,

  • Corolla Rumion
  • Corolla Spacio
- Premio ( F )

Optional :

- Crown Athlete


Hizo ndizo tungeweza kupendekeza
Kulingana na budget yako
 
Crown nasikia nikishainunua nijenge na kisima cha mafuta kabisa nyumbani
 
Crown nasikia nikishainunua nijenge na kisima cha mafuta kabisa nyumbani
Ha ha ha!

Hayo ni maneno ya vijiweni, yngeuliza ni crown ipi haswa yenye ulaji mkubwa hivyo wa mafuta?
 
Fuata huu mtiririko tu.
1. IST (Japokuwa huitaki)
2. Spacio
3. Rumion
4. Raum
 
Premio kwa 14M labda iwe ya mkononi si F,G wala X.

Jaribu Allex,Runx,Spacio,Raum,Probox,Vits,Sienta,Passo and the likes.
 
Hamna Premio wala Subaru humo
Japo umeonesha kutoitaka lakini ist ingekufaa ni gari nzuri sana ina sifa zote ni ngumu, spea kibao, matumiz mazuri ya wese, dizaini yake bado si mbaya. ila agiza nje usinunue hiz za watu mikononi.
 
Passo,cami ni toyota mkuu,mimba zake zinakujaje mkuu tuelekezane tusiingie mikenge
Just because it's a Toyota, it doesn't mean that hazisumbui....

Gari lolote linasumbua lisipofanyiwa proper maitanance....

Ugonjwa mkubwa wa passo ni Staring rack yake ikinza kugonga ni changamoto sana...
 
chukua bmw series 1 au bmw x1

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…