Naomba ushauri kuhusu gari ya kununua kwa mara ya kwanza

Wadau mwisho wa siku niliamua kuchukua Nissan Duals ambayo imenigharimu karibia 22Mil mpaka kuifikisha mkononi
 
Mie nakushauli utafute chuna inaitwa toyota fielder..tena ile ya mwaka 2006..chuma ina roho ya nyau..
 
5. Kipengere muhimu iwe na 4WD
Unapoenda mikoani mvua ikinyesha
usiteseke
 
Japo umeonesha kutoitaka lakini ist ingekufaa ni gari nzuri sana ina sifa zote ni ngumu, spea kibao, matumiz mazuri ya wese, dizaini yake bado si mbaya. ila agiza nje usinunue hiz za watu mikononi.
Mkuu mm nataka ninunue show room..unaniambiaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…