Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
- Thread starter
- #61
Ni kweli mkuu lakini maisha yetu jobless huku mtaani ni tofauti kidogo na wenye vipato vya uhakika.. kwa mimi hapa sina shughuli rasmi wala makazi maalumu, nategemea zaidi wasamalia wema tu sasa imetokea mtu kuniachia nikae kwake kwa miezi yote ambayo hatokwepo na kusimamia miradi yake ikiwemo izo pikipiki sio rahisi kukumbuka hayo mambo ya kuwekeana mashartiUngempa principles zako kwanza kuwa silei deni hata liwe dogo...
Kwahiyo alipe kwanza ndio mkataba uendelee... La sivyo mkataba uishe immediately.