Naomba ushauri kuhusu kununua laptops hizi.

Naomba ushauri kuhusu kununua laptops hizi.

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
Screenshot_20240629-131810.jpg
 
Japo sijui unanunua kwa matumizi gani lakini usijaribu, ongeza hela ununue yenye core i5 RAM capacity Gb 8+. The specs for this one are too low.
 
Kwa budget ya 450k nakushauri ukanunue kwa jamaa anaitwa Chando mtu makini sana IG @chandolaptops
 
Kwa kazi za video editing ya budget ndogo, laptop gani unamshauri mdau kununua yenye sifa zipi?
Msaada tafadhali
 
Kwa kazi za video editing ya budget ndogo, laptop gani unamshauri mdau kununua yenye sifa zipi?
Msaada tafadhali
Ushauri atafute desktop, kama hawezi laptop yenye intel+Nvidia, Minimum gen ya 7 intel ila recommended angalau gen ya 8.
 
Back
Top Bottom