Naomba ushauri kuhusu mpenzi wangu

Naomba ushauri kuhusu mpenzi wangu

Kuna msemo mmoja wa waarabu unasema ni kheri imamu awe mlevi kuliko awe mtu mweusi na mungu akimpenda adui yako utajuta
Screenshot_20231225_091749_com.opera.mini.native.jpg
 
Oya Marioo, ukiendelea kulia lia kiboya hivi iko siku watakupaka mafuta.
Mwanaume mzima unabung'aa gheto siku nzima unalilia mapenz na kupigiwa simu wakat manzi ako yuko anapambana na jua?
My nigga ukiendelea hivi utaolewa kabisa.
25 years but stoopid
 
Maisha yalikuwa matamu sana sikuwahi kuona utamu wa mapenzi km vile, tulipomaliza yeye akapata kazi mm Bado na Hali yangu ikawa ngumu yeye ndo akanihudumia mpaka saiz nnavyoongea.
Usipojiangalia dogo utapotea mazima.

Utabaki unailaumu serikailli ya ccm kumbe wewe ndio una shida.
 
Habari ndugu zangu, mm Ni wa kiume (25). Nilipokuwa chuo nikipata na mdada ambaye mazingira ya chuo yalikuwa magumu kiasi kwamba ilibaki kidogo kudisco, ila nikapata huruma kunisaidia ktk kusaidiana mwaka wa mwisho ikabid tuishi pamoja km wapenzi.

Maisha yalikuwa matamu sana sikuwahi kuona utamu wa mapenzi km vile, tulipomaliza yeye akapata kazi mm Bado na Hali yangu ikawa ngumu yeye ndo akanihudumia mpaka saiz nnavyoongea.

Wakati wa kazi zake akapunguza mapenzi akiniambia kazi Ni ngumu anatembea juani kwahyo kuwasiliana Ni ngumu ila akasema akiwa anatoka atakuwa ananipgia muda huo alirudi kwao mm nikaendelea kuishi gheto, ila anaweza akafika nyumbani akalala na asikutafte.

Kuna siku niliwahi kuona sms kamtumia dada yake kuwa saiz Hana hisia namm Ila akaniambia alikuwa anamtania tu, lakin tuliyajenga kweli mabadiliko kidogo yalionekana baada ya siku moja alikuja gheto akanikuta nna simanzi bas akafunguka kuwa alikuwa anafanya vile ili awe huru na mambo yake Ila hakujua kuwa ananiumiza vile, tukasameheana lakin mambo Bado ndugu zangu nimekuwa wa kulia tu kuhusu hili penzi.

Kuna muda huwa namwambia tuachane yeye huwa hakubali Ila atakaa kmy asikutafte mm ndo najirudisha kwake nashindwa kuachana naye hebu nishaurin mwenzenu nna Hali mbaya sana Sina hata NGUVU za kutafta kazi nimekuwa wahuzuni tu ndani
kumekucha KUMEEEKUUCHAAA
 
Ukiwa unasumbuka na mapenzi na pesa huna hakuna rangi utaacha ona [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kosa nililolifanya kwa mke wangu na najutia mpk leo ni kumfungulia biashara. Kamacsio ile biashara pengine mpaka leo hii tungekuwa pamoja tukiwa na amani tele.
 
bado wwe ni tegemezi yaan huwez kuamua mwenyewe. mpka uwe provoked na mtu bro jiongeze. mwanamke so ndugu yako. chkua maamuz ya kiume.
 
Habari ndugu zangu, mm Ni wa kiume (25). Nilipokuwa chuo nikipata na mdada ambaye mazingira ya chuo yalikuwa magumu kiasi kwamba ilibaki kidogo kudisco, ila nikapata huruma kunisaidia ktk kusaidiana mwaka wa mwisho ikabid tuishi pamoja km wapenzi.

Maisha yalikuwa matamu sana sikuwahi kuona utamu wa mapenzi km vile, tulipomaliza yeye akapata kazi mm Bado na Hali yangu ikawa ngumu yeye ndo akanihudumia mpaka saiz nnavyoongea.

Wakati wa kazi zake akapunguza mapenzi akiniambia kazi Ni ngumu anatembea juani kwahyo kuwasiliana Ni ngumu ila akasema akiwa anatoka atakuwa ananipgia muda huo alirudi kwao mm nikaendelea kuishi gheto, ila anaweza akafika nyumbani akalala na asikutafte.

Kuna siku niliwahi kuona sms kamtumia dada yake kuwa saiz Hana hisia namm Ila akaniambia alikuwa anamtania tu, lakin tuliyajenga kweli mabadiliko kidogo yalionekana baada ya siku moja alikuja gheto akanikuta nna simanzi bas akafunguka kuwa alikuwa anafanya vile ili awe huru na mambo yake Ila hakujua kuwa ananiumiza vile, tukasameheana lakin mambo Bado ndugu zangu nimekuwa wa kulia tu kuhusu hili penzi.

Kuna muda huwa namwambia tuachane yeye huwa hakubali Ila atakaa kmy asikutafte mm ndo najirudisha kwake nashindwa kuachana naye hebu nishaurin mwenzenu nna Hali mbaya sana Sina hata NGUVU za kutafta kazi nimekuwa wahuzuni tu ndani
Mpotezee kaza kishundu nawe usimtafute funga viooo wanasema
 
Back
Top Bottom