Naomba ushauri kuhusu mpenzi wangu

Naomba ushauri kuhusu mpenzi wangu

Habari ndugu zangu, mm Ni wa kiume (25). Nilipokuwa chuo nikipata na mdada ambaye mazingira ya chuo yalikuwa magumu kiasi kwamba ilibaki kidogo kudisco, ila nikapata huruma kunisaidia ktk kusaidiana mwaka wa mwisho ikabid tuishi pamoja km wapenzi.

Maisha yalikuwa matamu sana sikuwahi kuona utamu wa mapenzi km vile, tulipomaliza yeye akapata kazi mm Bado na Hali yangu ikawa ngumu yeye ndo akanihudumia mpaka saiz nnavyoongea.

Wakati wa kazi zake akapunguza mapenzi akiniambia kazi Ni ngumu anatembea juani kwahyo kuwasiliana Ni ngumu ila akasema akiwa anatoka atakuwa ananipgia muda huo alirudi kwao mm nikaendelea kuishi gheto, ila anaweza akafika nyumbani akalala na asikutafte.

Kuna siku niliwahi kuona sms kamtumia dada yake kuwa saiz Hana hisia namm Ila akaniambia alikuwa anamtania tu, lakin tuliyajenga kweli mabadiliko kidogo yalionekana baada ya siku moja alikuja gheto akanikuta nna simanzi bas akafunguka kuwa alikuwa anafanya vile ili awe huru na mambo yake Ila hakujua kuwa ananiumiza vile, tukasameheana lakin mambo Bado ndugu zangu nimekuwa wa kulia tu kuhusu hili penzi.

Kuna muda huwa namwambia tuachane yeye huwa hakubali Ila atakaa kmy asikutafte mm ndo najirudisha kwake nashindwa kuachana naye hebu nishaurin mwenzenu nna Hali mbaya sana Sina hata NGUVU za kutafta kazi nimekuwa wahuzuni tu ndani
Ww ni mbwa na mbwa wanakufa kimbwa mbwa yaani tatizo unaliona unatafta ushauri madogo kwani mmekuaje mbona unaakili za kimbwa mbwa skukuu kama hizi unaleta simanzi ww ni mbwa kwa mara nyingine.

Endelea kukaa ndani usitafte kazi ukapata hela udhani utahurumiwa kila siku mbwa toka kabweke huko upate hata kazi ya ulinzi
 
Kamsemee Kwa Mama,,utachagua Mama yake au wako!!
 
One man down
Offer I repeat one man down
We need back up
Do u copy
 
Quality vs Quantity

Kama nchi kwenye elimu tumechagua quantity
 
Aisee, wewe ni mhitimu wa elimu ya chuo kikuu ? Jipige kifuani ngumi mbili halafu sema kwa sauti kubwa "mimi ni ng'ombe"

20231227_010622.jpg
 
Habari ndugu zangu, mm Ni wa kiume (25). Nilipokuwa chuo nikipata na mdada ambaye mazingira ya chuo yalikuwa magumu kiasi kwamba ilibaki kidogo kudisco, ila nikapata huruma kunisaidia ktk kusaidiana mwaka wa mwisho ikabid tuishi pamoja km wapenzi.

Maisha yalikuwa matamu sana sikuwahi kuona utamu wa mapenzi km vile, tulipomaliza yeye akapata kazi mm Bado na Hali yangu ikawa ngumu yeye ndo akanihudumia mpaka saiz nnavyoongea.

Wakati wa kazi zake akapunguza mapenzi akiniambia kazi Ni ngumu anatembea juani kwahyo kuwasiliana Ni ngumu ila akasema akiwa anatoka atakuwa ananipgia muda huo alirudi kwao mm nikaendelea kuishi gheto, ila anaweza akafika nyumbani akalala na asikutafte.

Kuna siku niliwahi kuona sms kamtumia dada yake kuwa saiz Hana hisia namm Ila akaniambia alikuwa anamtania tu, lakin tuliyajenga kweli mabadiliko kidogo yalionekana baada ya siku moja alikuja gheto akanikuta nna simanzi bas akafunguka kuwa alikuwa anafanya vile ili awe huru na mambo yake Ila hakujua kuwa ananiumiza vile, tukasameheana lakin mambo Bado ndugu zangu nimekuwa wa kulia tu kuhusu hili penzi.

Kuna muda huwa namwambia tuachane yeye huwa hakubali Ila atakaa kmy asikutafte mm ndo najirudisha kwake nashindwa kuachana naye hebu nishaurin mwenzenu nna Hali mbaya sana Sina hata NGUVU za kutafta kazi nimekuwa wahuzuni tu ndani
Usichokijua kuwa hayupo mwanamke tofauti na mama yako anayeweza kukuvumilia ukiwa hauna hela
Maisha ya sasa haitaji uajiriwe ili uwe na pesa, tafuta kitu cha kukiingizia pesa na kuajiriwa iwe km ziada.
Huyo mwanamke muda siyo mrefu atakukimbia kwasababu mwanamke ni mbinafsi na hupenda kupokea kuliko kutoa, pesa ya mwanamke huwa inahesabiwa yaani anapotoa hukokopesha
 
Back
Top Bottom