😀 😀wazungun wenyewe wana primary school mzee.. science sio kucheza mpiraaa ubongo wa mtoto kuanza kumfundisha mechanics utapoteza muda na kumuonea tuUfundi sio lazima uwe veta Mkuu, Unaweza kumtafutia mwalimu maalumu akawa anamfundisha tu
Au akifika la nne nimkatishie Masomo yake aende site😀 😀wazungun wenyewe wana primary school mzee.. science sio kucheza mpiraaa ubongo wa mtoto kuanza kumfundisha mechanics utapoteza muda na kumuonea tu
Sidhani sisi tuna vyuo vizuri vya taaluma hii, my advice Anza kutunza fedha mzazi, elimu hii definitely ni nje ya nchi yetu unfortunatelyWatakubali kumpokea kwenye vyuo vyetu au nimtafutie mwalimu pia
Sawa sawaSidhani sisi tuna vyuo vizuri vya taaluma hii, my advice Anza kutunza fedha mzazi, elimu hii definitely ni nje ya nchi yetu unfortunately
Nashukuru Kwa ushauri wako. Ila Kuna watoto kibao mtaani ambao hawajaenda shule na wengine waliishia Darasa la pili ila Wana ujuzi na uwezo Mkubwa. Sioni haja ya Mwanangu kusoma miaka 17 Darasania Kisha aje mtaani kuomba Ajira ya sensaUnapingana na shule? Walipoanzisha shule walijua kuwa mtoto mpaka afikie chuo lazima awe na msingi.
Kwa kuwa umeamua sawa, ila huo fundi mtoto kama hana elimu hautamfikisha popote.
Uwe mtaalam pia elimu inatakiwa iwe pana
Upo sahihi mkuu na mfumo wetu inabidi tuubadilishe na hii kitu inaitwa A level tuifutilie mbali ni wastage of time, mtoto asome to grade 8,fanya mtihani anayefaulu up to grade 12(matric),then varsity or vyuoniNashukuru Kwa ushauri wako. Ila Kuna watoto kibao mtaani ambao hawajaenda shule na wengine waliishia Darasa la pili ila Wana ujuzi na uwezo Mkubwa. Sioni haja ya Mwanangu kusoma miaka 17 Darasania Kisha aje mtaani kuomba Ajira ya sensa
Wazo zuri ila walau afike lasabaNashukuru Kwa ushauri wako. Ila Kuna watoto kibao mtaani ambao hawajaenda shule na wengine waliishia Darasa la pili ila Wana ujuzi na uwezo Mkubwa. Sioni haja ya Mwanangu kusoma miaka 17 Darasania Kisha aje mtaani kuomba Ajira ya sensa
Kama utachagua mfumo huo basi make sure dogo anapiga english course Kwanza maana hiyo lugha ni muhimu katika kizazi hikiFaida zake na hasara zake ni zipo?
Asante Kwa ushauri.Kama utachagua mfumo huo basi make sure dogo anapiga english course Kwanza maana hiyo lugha ni muhimu katika kizazi hiki
Pia naona Umri wake wa miaka mitatu bado ni mdogo na pia inabidi ujue dogo ana hobby gani ili uiendeleze maana unaweza ukampeleka ufundi kumbe dogo ana hobby na IT au sports kwahyo inabidi ujue hobby ya mtoto kwanza
Kususu chuo atakapofundishwa hizo mambo kwa bongo sjajua ila wenzetu ulaya ni rahisi tu mifumo yao elimu ni mingi
Ila penye nia pana njia kila la kheri mkuu
Sawa sawa MkuuHii kali labd umpeleke bakery mkuu akawasaidie kuonja ingridients
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] JF rahaaaAu akifika la nne nimkatishie Masomo yake aende site
Utafanikiwa tu Mkuu mm mwenyewe nimeishia la nne ila ninatengeneza Hela nyingi sana kuwazidi hata graduates wenye vyeti vyao.Bila vyeti vya serikali atapata tabu sana. Atakosa marafiki labda kama unampango wa kumgeuza roboti anyway mpango wako hautafanikiwa kamwe acha kuwaza upuuzi
Good ideaElimu ya singi ni muhimu sana, mpeleke shule ila kwenye likizo unamuongezea ujuzi
Unamsumia mwenzako shimoni.Mpeleke tu hakuna shida,,,,,,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani kuna watu wanaishia kwenye ulimwengu wao kifikra..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] JF rahaaa