Naomba ushauri kuhusu mwanangu

Naomba ushauri kuhusu mwanangu

Ufundi sio lazima uwe veta Mkuu, Unaweza kumtafutia mwalimu maalumu akawa anamfundisha tu
😀 😀wazungun wenyewe wana primary school mzee.. science sio kucheza mpiraaa ubongo wa mtoto kuanza kumfundisha mechanics utapoteza muda na kumuonea tu
 
Au akifika la nne nimkatishie Masomo yake aende site
 
Watakubali kumpokea kwenye vyuo vyetu au nimtafutie mwalimu pia
Sidhani sisi tuna vyuo vizuri vya taaluma hii, my advice Anza kutunza fedha mzazi, elimu hii definitely ni nje ya nchi yetu unfortunately
 
Unapingana na shule? Walipoanzisha shule walijua kuwa mtoto mpaka afikie chuo lazima awe na msingi.

Kwa kuwa umeamua sawa, ila huo fundi mtoto kama hana elimu hautamfikisha popote.

Uwe mtaalam pia elimu inatakiwa iwe pana
 
Kuchangamana na watoto wenzake ni moja wapo ya kumjenga mtoto kiakili nainapelekea ukuaji mzuri kwa afya ya akili. Hivyo elimu ya msingi ni zaidi ya vile anavyovisoma darasani labda kama mtoto wako ni genius katika taaluma fulan basi ndo ufanye hivyo maana watoto wanamna hiyo wanakuwa na tabia fulan za tofauti.
 
Unapingana na shule? Walipoanzisha shule walijua kuwa mtoto mpaka afikie chuo lazima awe na msingi.

Kwa kuwa umeamua sawa, ila huo fundi mtoto kama hana elimu hautamfikisha popote.

Uwe mtaalam pia elimu inatakiwa iwe pana
Nashukuru Kwa ushauri wako. Ila Kuna watoto kibao mtaani ambao hawajaenda shule na wengine waliishia Darasa la pili ila Wana ujuzi na uwezo Mkubwa. Sioni haja ya Mwanangu kusoma miaka 17 Darasania Kisha aje mtaani kuomba Ajira ya sensa
 
Upo sahihi mkuu na mfumo wetu inabidi tuubadilishe na hii kitu inaitwa A level tuifutilie mbali ni wastage of time, mtoto asome to grade 8,fanya mtihani anayefaulu up to grade 12(matric),then varsity or vyuoni
 
Nashukuru Kwa ushauri wako. Ila Kuna watoto kibao mtaani ambao hawajaenda shule na wengine waliishia Darasa la pili ila Wana ujuzi na uwezo Mkubwa. Sioni haja ya Mwanangu kusoma miaka 17 Darasania Kisha aje mtaani kuomba Ajira ya sensa
Wazo zuri ila walau afike lasaba
 
Faida zake na hasara zake ni zipo?
Kama utachagua mfumo huo basi make sure dogo anapiga english course Kwanza maana hiyo lugha ni muhimu katika kizazi hiki

Pia naona Umri wake wa miaka mitatu bado ni mdogo na pia inabidi ujue dogo ana hobby gani ili uiendeleze maana unaweza ukampeleka ufundi kumbe dogo ana hobby na IT au sports kwahyo inabidi ujue hobby ya mtoto kwanza

Kususu chuo atakapofundishwa hizo mambo kwa bongo sjajua ila wenzetu ulaya ni rahisi tu mifumo yao elimu ni mingi

Ila penye nia pana njia kila la kheri mkuu
 
Hii kali labd umpeleke bakery mkuu akawasaidie kuonja ingridients
 
Kama utachagua mfumo huo basi make sure dogo anapiga english course Kwanza maana hiyo lugha ni muhimu katika kizazi hiki

Pia naona Umri wake wa miaka mitatu bado ni mdogo na pia inabidi ujue dogo ana hobby gani ili uiendeleze maana unaweza ukampeleka ufundi kumbe dogo ana hobby na IT au sports kwahyo inabidi ujue hobby ya mtoto kwanza

Kususu chuo atakapofundishwa hizo mambo kwa bongo sjajua ila wenzetu ulaya ni rahisi tu mifumo yao elimu ni mingi

Ila penye nia pana njia kila la kheri mkuu
Asante Kwa ushauri.
 
Bila vyeti vya serikali atapata tabu sana. Atakosa marafiki labda kama unampango wa kumgeuza roboti anyway mpango wako hautafanikiwa kamwe acha kuwaza upuuzi
 
Utafanikiwa tu Mkuu mm mwenyewe nimeishia la nne ila ninatengeneza Hela nyingi sana kuwazidi hata graduates wenye vyeti vyao.
 
Back
Top Bottom