mtechnical
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 238
- 570
Muhind mwenyewe mwizi tu we bibi kizee vp?Wahindi wana akili sana, kukupita wewe usiye mhindi. Hata uikiwaibia wanajifanya hawajui, kumbe washapiga hesabu mpaka za kuibiwa, wanakutumikisha ni lazima ulipe japo indirectly.
Ndiyo maaana mnaopenda wizi hamuwapendi wahindi.
Kwani alikulazimisha ukafanye kazi kwake, njaa zako na ujinga wako unakufanya usizione fursa mpaka aje Muhindi azione akutume na wewe.Muhind mwenyewe mwizi tu we bibi kizee vp?
We bibi nitake radhi mimi sifanyi kazi kwa muhindi. Mbn unawatetea hoa makanjibai au ndio vile tena.Kwani alikulazimisha ukafanye kazi kwake, njaa zako na ujinga wako unakufanya usizione fursa mpaka aje Muhindi azione akutume na wewe.
Unalalamika nini? Hakuna sheria za kazi Tanzania?
kwani wana kosa lipi hata useme nawatetea?We bibi nitake radhi mimi sifanyi kazi kwa muhindi. Mbn unawatetea hoa makanjibai au ndio vile tena.
Kosa lao wezi, wanyonyaji na wakandamizaji kwa wa Tz wenzetu tumeshashuhudia sana.kwani wana kosa lipi hata useme nawatetea?
Hizo ni fikra zako tu, walikuibia nini?Kosa lao wezi, wanyonyaji na wakandamizaji kwa wa Tz wenzetu tumeshashuhudia sana.
We bibi mdwanzi sana unawatetea kisa wewe yaya wao.Hizo ni fikra zako tu, walikuibia nini?
hao waliokandamizwa hazijuwi mahakama?
Sema wahindi wamewazidi ujanja. Akianza hata kidika cha kuuza kachori, mara anakuwa bilionea. Hawalewi, hawachezi ngoma, utawapata wapi wewe?
Ukimuona mhindi masikini kama wewe ujuwe mlevi kama wewehuyo. Birds of the feather.
Wahindi hata wakimuwekea 900k mezani asijichanganye itamtokea puani hiyoNafuatilia comment kwa umakini Sana nikiwa hapa na wahindi muda huu😅😂🤣
Nikiwa na chochote Cha kuongezea ntakuja kuufunga huu mjadala
Wadau mnaweza kuendelea kutiririka hapa vijana wapate madini.
Nasubiria comment ya Kalaga Baho Nongwa
Fanya hukuhuku achana nao hao wakitaka double the payment km huku unakunja 700k waambie wakulipe mara 2 wakichomoa achana nao endelea na huku huku wasikuchukulie cheap kiasi hicho km wanaweza si wafanye wenyewehalafu kwa huku nilipo naiingiza tu wala siangaiki sana na kazi ni chache japo ni kweli sina mkataba
Sikiliza huu ushauri huuandelea na kazi yako achana na hao wahindi hawana utu hata kidogo kwa ngozi nyeusi watakutumikisha zaidi ya hicho kiasi unachotaka wakulipe
Kuchamba kwingi mpaka utajipaka kimbaz, wahindi unawajua kweli?? Nipe hilo shavu mimi hapo ulipo,uende huko kwa wahindi wako.Wakuu hope mmeamka salama.
Nina jambo kidogo nahitaji ushauri ndugu zangu, Mimi ni kijana wa kiume ni mkaz wa Dar es salaam ila kwa sasa nipo mkoa wa pwani kibaha nimejiriwa na mtu binafsi tunalipana kwa % yeye anachuka 40% mimi nachukua 60% na pia kaniamini kwa kiasi kikubwa sana na kabla sijapata room huku kibaha kwa siku za mwanzo nilikuwa naishi kwake mpaka nilivyopata pesa ya kutosha ndio nikapanga room mpaka sasa tunafanya kazi pamoja na upendo.
Pale malipo kwa mwezi huwa inarange laki 7, laki 6 au laki 5 inategemea na mzunguko wa wateja kifupi kukunja 40k kwa siku ni jambo la kawaida.
Sasa tukiachana na hilo pia kuna kampuni X ya wahindi ipo masaki kuna mtu aliwapa info zangu wakanichek lengo ni kufanya kazi nao basi nikaenda ofisini kwao tukazungumza wakanifanyia interview mbili nikafaulu vzr wakasema wameridhishwa namimi so wanaomba tufanye kazi nikawambia sawa ila mjue mimi nimeajiriwa mahali so ni vema mnipe offer yenu nione kama ina maslahi wakasema aina tatzo nirudi tu home HR atanichek kwa Email yangu nikasema poa.
Kesho yake asubuhi HR akanichek anaomba nimtumie details zangu aniandikie mkataba nikawauliza why ntume taarifa zangu mniandikie mkataba wakati bado sijaskia offer yenu nikawaambi kwa navyofaham mimi hizi huwa ni process za mwisho kabisa baada ya kukubalia wakasema sawa tutakupa offer yetu.
Baadae HR akanichek akaniambia offer yao ni 400k kwa mwezi nikachomoa sasa baadae simu zikawa nyingi wahindi wanapiga simu hao wakiniomba nikubali kufanya nao kazi sababu hata kama mshahara sio mkubwa sana ila wananipa mkataba wa mwaka mmoja nikachomoa nikawambia wekeni 500k mezani wakasema ngoja wakadiscus jibu likaja kuwa sababu ndio kwanza ninaanza na utendaji wangu wa kazi awaujui so ni vema nianze tu na hiyo 400k nikakataa.
Ikapita kama siku tatu jana meneja wao wa mauzo ni mdada akanipigia tena anaomba niende kufanya nao kazi na niseme pesa nayotaka kulipwa ukiachana na hiyo 400k. Nikamwabia nitakutafuta nkitulia sasa wakuu ebu naombeni mnishauri nipange mshahara kiasi gani sababu hata hiyo 500k naiona ndogo kulingana na kazi nitakazokuwa nafanya halafu kwa huku nilipo naiingiza tu wala siangaiki sana na kazi ni chache japo ni kweli sina mkataba.
Naombeni ushauri wa mapana hapo kazi ipi ni bora zaidi hata hata kama mishahara inaweza kuwa sawa.
Na vp kwa watu mnaofanya kazi kwenye taasisi mbalimbali au serikali mtu anaelipwa 500k ukitoa makato ya serikali na Nssf sijui unaweza kubaki na bei gani? Poleni kwa maelezo marefu nipo hapa nasubiri maoni yenu.
Shukran mkuuUmechoka mazingira ya sehemu moja, USIACHE KAZI, ikiwa hubanwi ongeza ujuzi
Ndipo uelewa wako ulipoishjia. Sikushangai, utakuwa ni mmoja katika makondoo.We bibi mdwanzi sana unawatetea kisa wewe yaya wao.