Kampunyenye
Member
- Nov 14, 2023
- 37
- 106
nakushauri mchek huyu mwalimu anaitwa anthony ujue ratiba yake maana kuna muda anakua na watoto wengi .Pole sana, unampeleka therapy yeyote? Na kama unampeleka, wapi? Na costs zikoje? Kama hutojali.Asante!
Huna usonji na kama unapicha yako nitumieMimi ni mwanamke, 30 yrs mwenye usonji. Jamii/familia yangu wanaona sina tatizo sababu shuleni nilikuwa nafaulu vizuri.
Ninapitia changamoto nyingi mnoo. Kuna wakati nahisi kukata tamaa. Anayeweza kunisaidia mawazo /counselling ntashukuru.
FoolishnessUtaahira kwa kiiingereza unaiwaje?
Njoo inboxMimi ni mwanamke, 30 yrs mwenye usonji. Jamii/familia yangu wanaona sina tatizo sababu shuleni nilikuwa nafaulu vizuri.
Ninapitia changamoto nyingi mnoo. Kuna wakati nahisi kukata tamaa. Anayeweza kunisaidia mawazo /counselling ntashukuru.
mtu mwenye usonji akiweza kufanya kitu anfanya kwa ufasaha zaidi...so huyu ameweza kwenye kuandikamkuu umewezaje kuandika kwa ufasaha hivi?
nina binti yangu ana USONJI.
ana miaka 6 kuongea hawezi wala kuandika.
mcheki Dk Isaac Maro wa cloudsKwa anyejua sehemu za speech therapy, na occupation therapy Kwa watoto wenye autism jijini Dar es Salaam,naomba contacts zao please.Hata certified private speech therapist nahîtaji contact zake.Asante!
umejuaje upo kwenye spectrum wakati bongo hakuna vipimoWanasema kuna levels tofauti za usonji. Wengine wanamanage kusoma na kuandika na kufanya mambo mengi tu. Ila anapata changamoto kwenye mawasiliano ya ana kwa ana, na managing emotions ...
Kwani unaelewaje kuhusu usonji/autism?Usonji ndio ukaandika vzt kbsa
Na muda mwingine wanakuwa vipanga hatari sana.mtu mwenye usonji akiweza kufanya kitu anfanya kwa ufasaha zaidi...so huyu ameweza kwenye kuandika
vibaya mnoNa muda mwingine wanakuwa vipanga hatari sana.
Ni tatizo humpata mtoto akiwa ktk process za kuzaliwa,wangu niliambiwa mama yake alicheleweshwa sana akanywa yale maji machafu ya uzazi matokeo:homa za mara kwa mara,kuchelewa kuongea hata mpaka sasa hajaweza kuongea vizuri,slow learning ni mgumu mno kuelewa anajua kusoma na kuandika vizuri ila kwa kukariri (haelewi maana ya alichokiandika)Mkuu hili tatizo linaweza kumpata baada ya mtoto kuzaliwa? Au anakuwa anazaliwa nalo?
Muhimbili pana kitengo na BOCHI Hospital Mbezi Kwa Msuguli pana kitengo.Hongera, unaweza share sehemu unayompeleka
Kama hutojali na mimi naihitaji hiyo # mkuunakushauri mchek huyu mwalimu anaitwa anthony ujue ratiba yake maana kuna muda anakua na watoto wengi .
nakutafutia namba yake nakutumia DM
Njoo na I'd Yako ya kila sikuMimi ni mwanamke, 30 yrs mwenye usonji. Jamii/familia yangu wanaona sina tatizo sababu shuleni nilikuwa nafaulu vizuri.
Ninapitia changamoto nyingi mnoo. Kuna wakati nahisi kukata tamaa. Anayeweza kunisaidia mawazo /counselling ntashukuru.
nitaiweka hapa keshoKama hutojali na mimi naihitaji hiyo # mkuu
Mkuu Pole sana Mungu ni Mwema Yeye ndio anajua anachotuwazia!!Ni tatizo humpata mtoto akiwa ktk process za kuzaliwa,wangu niliambiwa mama yake alicheleweshwa sana akanywa yale maji machafu ya uzazi matokeo:homa za mara kwa mara,kuchelewa kuongea hata mpaka sasa hajaweza kuongea vizuri,slow learning ni mgumu mno kuelewa anajua kusoma na kuandika vizuri ila kwa kukariri (haelewi maana ya alichokiandika)
Kisababishi kingine ni mtoto chini ya miaka mitatu kupigwa na degedege kali mara kwa mara,vyote hivi vilimpata mwanangu ila namshukuru sana Mungu nilifanikiwa kumuwahisha hospital pale MNH kitengo cha wataalamu wa ubongo wakampa matibabu yaliyozuia ubongo kuzidi kuathirika (shukrani za kipekee kwa Dr Edward Kija Mungu akubariki sana huko ulipo) mwaka wa tisa huu najaribu kuizoea hali yake maana inaniumiza sana akili kila nikiwaza hatma ya dunia yake siku nikiwa sipo.
Mleta mada pole sana,at least unajitambua shukuru kwa hilo mengine utayazoea tu waza juu ya yule asiyejitambua kabisa uone namna ulivyobarikiwa.
nakazia hapaSio hadithi za kunywa maji ya uzazi and other nonsenses.