Naomba ushauri kuhusu usonji

Naomba ushauri kuhusu usonji

Mimi ni mwanamke, 30 yrs mwenye usonji. Jamii/familia yangu wanaona sina tatizo sababu shuleni nilikuwa nafaulu vizuri.

Ninapitia changamoto nyingi mnoo. Kuna wakati nahisi kukata tamaa. Anayeweza kunisaidia mawazo /counselling ntashukuru.
Huna usonji na kama unapicha yako nitumie
 
Mimi ni mwanamke, 30 yrs mwenye usonji. Jamii/familia yangu wanaona sina tatizo sababu shuleni nilikuwa nafaulu vizuri.

Ninapitia changamoto nyingi mnoo. Kuna wakati nahisi kukata tamaa. Anayeweza kunisaidia mawazo /counselling ntashukuru.
Njoo inbox
 
Kwa anyejua sehemu za speech therapy, na occupation therapy Kwa watoto wenye autism jijini Dar es Salaam,naomba contacts zao please.Hata certified private speech therapist nahîtaji contact zake.Asante!
mcheki Dk Isaac Maro wa clouds
 
  • Thanks
Reactions: Mit
Wanasema kuna levels tofauti za usonji. Wengine wanamanage kusoma na kuandika na kufanya mambo mengi tu. Ila anapata changamoto kwenye mawasiliano ya ana kwa ana, na managing emotions ...
umejuaje upo kwenye spectrum wakati bongo hakuna vipimo
 
Mkuu hili tatizo linaweza kumpata baada ya mtoto kuzaliwa? Au anakuwa anazaliwa nalo?
Ni tatizo humpata mtoto akiwa ktk process za kuzaliwa,wangu niliambiwa mama yake alicheleweshwa sana akanywa yale maji machafu ya uzazi matokeo:homa za mara kwa mara,kuchelewa kuongea hata mpaka sasa hajaweza kuongea vizuri,slow learning ni mgumu mno kuelewa anajua kusoma na kuandika vizuri ila kwa kukariri (haelewi maana ya alichokiandika)

Kisababishi kingine ni mtoto chini ya miaka mitatu kupigwa na degedege kali mara kwa mara,vyote hivi vilimpata mwanangu ila namshukuru sana Mungu nilifanikiwa kumuwahisha hospital pale MNH kitengo cha wataalamu wa ubongo wakampa matibabu yaliyozuia ubongo kuzidi kuathirika (shukrani za kipekee kwa Dr Edward Kija Mungu akubariki sana popote ulipo) najaribu kuizoea hali yake maana inaniumiza sana akili kila nikiwaza hatma ya dunia yake siku nikiwa sipo.

Mleta mada pole sana,at least unajitambua shukuru kwa hilo mengine utayazoea tu waza juu ya yule asiyejitambua kabisa uone namna ulivyobarikiwa.
 
Mimi ni mwanamke, 30 yrs mwenye usonji. Jamii/familia yangu wanaona sina tatizo sababu shuleni nilikuwa nafaulu vizuri.

Ninapitia changamoto nyingi mnoo. Kuna wakati nahisi kukata tamaa. Anayeweza kunisaidia mawazo /counselling ntashukuru.
Njoo na I'd Yako ya kila siku
 
Ni tatizo humpata mtoto akiwa ktk process za kuzaliwa,wangu niliambiwa mama yake alicheleweshwa sana akanywa yale maji machafu ya uzazi matokeo:homa za mara kwa mara,kuchelewa kuongea hata mpaka sasa hajaweza kuongea vizuri,slow learning ni mgumu mno kuelewa anajua kusoma na kuandika vizuri ila kwa kukariri (haelewi maana ya alichokiandika)

Kisababishi kingine ni mtoto chini ya miaka mitatu kupigwa na degedege kali mara kwa mara,vyote hivi vilimpata mwanangu ila namshukuru sana Mungu nilifanikiwa kumuwahisha hospital pale MNH kitengo cha wataalamu wa ubongo wakampa matibabu yaliyozuia ubongo kuzidi kuathirika (shukrani za kipekee kwa Dr Edward Kija Mungu akubariki sana huko ulipo) mwaka wa tisa huu najaribu kuizoea hali yake maana inaniumiza sana akili kila nikiwaza hatma ya dunia yake siku nikiwa sipo.

Mleta mada pole sana,at least unajitambua shukuru kwa hilo mengine utayazoea tu waza juu ya yule asiyejitambua kabisa uone namna ulivyobarikiwa.
Mkuu Pole sana Mungu ni Mwema Yeye ndio anajua anachotuwazia!!
 
Hakuna conclusive scientific understanding mpaka leo juu ya chanzo cha autism (ila hiyo sababu ya uzazi ndio kabisa, hakuna kitu kama hiko).

Autism ni individualistic rarely two people have exact the same symptoms.

Learning process and behaviour therapy are tailored individually based on identified challenging behaviours or deficiencies related to autism.

Kujua shida yako unahitaji kufanyiwa assessment na wataalamu kadhaa na wao ndio wanaopanga course of action/treatment based on identified evidence.

Uwezi ukajiita wewe autistic kama ujapimwa, nonetheless the telling sign (kwa mild and moderate forms of autism, kwa mtu ambae anaonekana normal) ni kushindwa kuelewa jinsi ya kufuata social norms. Mfano hujui mipaka ya utani, huna huruma wenzako wanapokuwa na shida, uoni muhimu kusherekea vitu vya wengine, etc with being emotion less and failure to understand social norms.

Walimu ni specialised trained kufundisha watu wenye ‘learning disability’ or special needs schools sio kila mtu anaweza fundisha autistic children. Unahitaji a diverse of therapeutic skills for that role.

I get the feeling kuna agenda ya exploitation fulani kwenye huu uzi targeting vulnerable people huku watu wakitangaza biashara zao; ambazo walimu ni unqualified.

Autism is to do with how the brain is wired differently on some people. Sio hadithi za kunywa maji ya uzazi and other nonsenses.
 
Back
Top Bottom