mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Autism ipo kwenye spectrumBongo hakuna vipimo? Sasa Hawa watu wote wenye autism walijulikana vipi?
kuna kipindi nilikuwa nje ya tanzania nikafanyiwa informal assessment.Autism ipo kwenye spectrum
Kuna ya kwenye higher end ndo hio unakua kama kichaa halafu kuna ya lower end ni kama unakosa social skills
Sasa MsLisa autism yake sio severe, nataka aseme kajuaje?
Mimi sometimes nahisi nipo autistic lakini sina njia ya uhakika ya kujua
MsLisa counselling bila kujua chanzo cha huo usonji haisaidii kitu. Ukitaka kweli usaidikike lazima mshauri ajue source of your situation to enable him/her counselling you. Ni juu yako sasa kuwekwa chanzo vya usonji wako hapa au PM kama unaona hapa aifai.Mimi ni mwanamke, 30 yrs mwenye usonji. Jamii/familia yangu wanaona sina tatizo sababu shuleni nilikuwa nafaulu vizuri.
Ninapitia changamoto nyingi mnoo. Kuna wakati nahisi kukata tamaa. Anayeweza kunisaidia mawazo /counselling ntashukuru.
Zipo nyingi tu na nyingi ni za madaktari wenyewe wa Muhimbili au Regency. Ila malipo yake sio ya kitoto. Kwa mwaka zungumzia kuanzia M5 na kuendelea. Na hapo sio kwamba mtoto atapona ila atasaidika kujifunza kujihudumia katika mambo ya msingi mfano kwenda toilet, kutambua wazazi/Ndugu na kutambua na kuobey commands muhimu muhimu za nyumbani mfano kuamkia, kufua, kuosha vyombo, kuoga n.kKwa anyejua sehemu za speech therapy, na occupation therapy Kwa watoto wenye autism jijini Dar es Salaam,naomba contacts zao please.Hata certified private speech therapist nahîtaji contact zake.Asante!
Sasa mimi nitajuaje shule zilipo wakati sifanyi kazi wizara ya elimu au afya.Okay, Maelezo mazuri, je una sehemu zozote ambazo unajua kuna qualified teachers au special schools for autistic kids in Dar es Salaam?
unaenda tu hosp wanakupims brain nadhani mkuuAutism ipo kwenye spectrum
Kuna ya kwenye higher end ndo hio unakua kama kichaa halafu kuna ya lower end ni kama unakosa social skills
Sasa MsLisa autism yake sio severe, nataka aseme kajuaje?
Mimi sometimes nahisi nipo autistic lakini sina njia ya uhakika ya kujua
Kuna issue niliambiwa na dokta nikapige CT scan, nikienda nitauliziaunaenda tu hosp wanakupims brain nadhani mkuu
Si kweli diagnosis ya autism ni displayed symptoms tu za sufferers; hakuna brain scan.unaenda tu hosp wanakupims brain nadhani mkuu
ohooo.kumbe...Si kweli diagnosis ya autism ni displayed symptoms tu za sufferers; hakuna brain scan.
Common condition mild na moderate.
Severe autism inakuja ‘profound and multiple learning disability’ (PMLD), wengi awawezi ishi wenyewe maisha yao yote wanahitaji kuangaliwa.
Ngoja nirudie niliyosoma ushauri uliopatikana humu; kumpeleka mtoto Kaizora na sijui mwalimu gani mwingine kuna mdau kasema amebobea (I am not dismissing their quality claims ya hizo taasisi au mtu, nonetheless it’s risky as results are not guaranteed).Ulichosema ni sahihi kabisa. Niliuliza kama unajua baadhi ya sehemu wazotoa hizo program Kwa autistic kids Kwa dar.Kuna wengine wanajua na wamezitaja na sio kwamba wanafanya wizara ya afya.mimi nahîtaji for short term tu mtoto akiwa likizo Dar kwani mtoto ameshakua enrolled kwenye special school.Nafahamu hiyo process yote na ni long term mpaka mtoto akiwa 19 yo.
Kwa Dar zipo shule kuna moja ipo somewhere Mbezi Beach (hii ni private) hapa nilienda but unfortunately hawafundishi kwa Kiswahili (therapists walinishauri kwa sababu mtoto hajui kuongea anatakiwa hata masomo apewe kupitia lugha mama yake Kiswahili).Okay, Maelezo mazuri, je una sehemu zozote ambazo unajua kuna qualified teachers au special schools for autistic kids in Dar es Salaam?
Mimi mtoto alipigwa MRI kipindi akiwa 3 years na yote niliyoambiwa kupitia kipimo hicho na Dr nayaona kwa mtoto.Kuna issue niliambiwa na dokta nikapige CT scan, nikienda nitaulizia
MRI inahusika na mambo ya ubongo?Mimi mtoto alipigwa MRI kipindi akiwa 3 years na yote niliyoambiwa kupitia kipimo hicho na Dr nayaona kwa mtoto.
Utaahira kwa kiiingereza unaiwaje?
Isee pole sana mkuu. mbaya zaidi tuko nchi ya kiwehu kama tanzania unakosa kabisa kuona future ya mtoto. walau nchi za wenzetu unakua na uhakika ataishi vema hata siku ukiwa haupo duniani. ni huzun kwa kweli kuishi huku shimoni afirikaNi tatizo humpata mtoto akiwa ktk process za kuzaliwa,wangu niliambiwa mama yake alicheleweshwa sana akanywa yale maji machafu ya uzazi matokeo:homa za mara kwa mara,kuchelewa kuongea hata mpaka sasa hajaweza kuongea vizuri,slow learning ni mgumu mno kuelewa anajua kusoma na kuandika vizuri ila kwa kukariri (haelewi maana ya alichokiandika)
Kisababishi kingine ni mtoto chini ya miaka mitatu kupigwa na degedege kali mara kwa mara,vyote hivi vilimpata mwanangu ila namshukuru sana Mungu nilifanikiwa kumuwahisha hospital pale MNH kitengo cha wataalamu wa ubongo wakampa matibabu yaliyozuia ubongo kuzidi kuathirika (shukrani za kipekee kwa Dr Edward Kija Mungu akubariki sana huko ulipo) mwaka wa tisa huu najaribu kuizoea hali yake maana inaniumiza sana akili kila nikiwaza hatma ya dunia yake siku nikiwa sipo.
Mleta mada pole sana,at least unajitambua shukuru kwa hilo mengine utayazoea tu waza juu ya yule asiyejitambua kabisa uone namna ulivyobarikiwa.
Sina uhakika mkuu.MRI inahusika na mambo ya ubongo?
Mbona kama jina la bubble gum safiMental Fresh
[emoji24][emoji24][emoji24] Kuna ndugu yangu mwanaye ana miaka miwili sasa,anapewa matumaini tu Hooo mwanao akifikisha miaka mitatu au minne ataongea,wako ana miaka sita na haongei,Madaktari wanasemaje Mkuu?mkuu umewezaje kuandika kwa ufasaha hivi?
nina binti yangu ana USONJI.
ana miaka 6 kuongea hawezi wala kuandika.
Uyo mtoto mwenye miaka miwili anapenda kucheza mchezo gani!? Anapenda kuzunguka? Ukiwa unamuongeleshwa anakuangalia usoni? Ukimuita jina lake anageuka au anakuja kwa wakati? Anapenda kuchezea taili za toi au kuona taili ikizunguka? Ukimkataza kucheza kufanya kitu anarudia tena kitu ulichomkataza? Anatembea bira kukanyaga na visigino!? Akihitaji kitu anakushika mkono umchukulie au ulishe ataki kula kwa mikono yake? Na haogopi kucheza sehem ya hayatı!? Anachagua vyakula? Anasumbuliwa na Choo kigumu conspation ? Ukimuweka Acheze na wenzake anafwatishwa mchezo wanaocheza na wenzake au anacheza mchezo wake peke yake!? Anachezesha mikono yake au vidole vyake? Some times anacheka pekeyake! Au apumziki muda wote anatembea tembea, kupata usingiz yy shida!? Muda mwingine anaweza kısılmama akakimbia ghafla!? Kutumua pot kujisaidia kwake ni tabu? Apendi maziwa ya ngo’ombe? Anapaya areg ya vipele vidogo vidogo! So kuna vitu vingi unaanza kuvigundua kwa mtoto wenye autism/ usonji akifika miaka mi 3 utagundua anadalili nyingi za autism![emoji24][emoji24][emoji24] Kuna ndugu yangu mwanaye ana miaka miwili sasa,anapewa matumaini tu Hooo mwanao akifikisha miaka mitatu au minne ataongea,wako ana miaka sita na haongei,Madaktari wanasemaje Mkuu?