Mkuu, ajipendekeze tena!
Mwalimu Nyerere (Hayati) aliwahi kusema, nanukuu, "utii ukizidi sana unageuka kuwa uoga, uoga ukizidi unageuka kuwa unafiki, unafiki ukizidi unazaa kujipendekeza, kujipendekeza kukizidi kunazaa mauti".
Sasa unamshaurije mkuu ajipendekeze? Hii ni hatua ya juu sana ya utii, itaishia kumgharimu tu.
Samahani kama nimekukosea mkuu.Shida yenu ni kujifanya wajuaji kila kitu [emoji28][emoji28]
Sasa mtu hufahamu vitu unahitaji kufundishwa unashindwa kujipendekeza kwa wenye ufahamu ili ufundishwe kisa mwalimu nyerere alisema.......
Kila kitu huweza kuwa sawa kulingana na mazingira na uhitaji wa wakati husika.
Samahani kama nimekukosea mkuu.
Ila kumbuka umeandika comment yako hapa ili upate maoni mbalimbali, hasi na chanya.
Sasa unataka tukusapoti tu bila kutoa maoni yetu bunafsi ambayo pengine yanaweza kuwa kinyume na wewe?
Sidhani kama hayo ndio madhumuni ya hii forum.
Mkuu, hata mchangiaji ukipotosha lazima tukurekebishe. Haifai tukuache na ujinga wako upotoshe na wengine [emoji28]Nani alikwambia comments hapa ni kwaajili yakupata maoni? [emoji28]
Maoni mpe aliyeleta uzi sio wachangiaji
Mkuu, hata mchangiaji ukipotosha lazima tukurekebishe. Haifai tukuache na ujinga wako upotoshe na wengine [emoji28]
Mkuu, kuna mawazo mbadala na mawazo ya kijinga.KIlichopotoshwa hapo nini?
Au mawazo ya wengine kwako sio sahihi, sahihi ni yako?
Kama ndivvyo basi coment wazo lako muhusika ataliona atalichukua
SAsa hiyo ndiyo maana halisi ya ofisi . Jipongeze kuwa sasa una uhakika kwamba umeanza kazi.Nina kama week mbili tangu nianze kazi ila kuna changamoto ninapitia hapa
1. Changamoto ya kwanza kuna supervisor full time kunifanyia visa mara kila saa natishiwa kufukuzwa kazi
2. Work mate niliokutana nao ofisini hawanipi ushirikiano vitu vingi vya msingi hawanielekezi
3. Upande wa boss wangu ambae alikuwa anakubali utendaji wangu wa kazi sasa hivi kanibadilikia full kunifokea full kupewa maonyo kuhusu kufukuzwa
4. Ofisini nipo kama mwana mkiwa naona kama niko motoni lawama na vitisho vimekuwa vingi
Hapa nilipo sijui hatma yangu katika hii ofisi.
A very bad beginningNina kama week mbili tangu nianze kazi ila kuna changamoto ninapitia hapa
1. Changamoto ya kwanza kuna supervisor full time kunifanyia visa mara kila saa natishiwa kufukuzwa kazi
2. Work mate niliokutana nao ofisini hawanipi ushirikiano vitu vingi vya msingi hawanielekezi
3. Upande wa boss wangu ambae alikuwa anakubali utendaji wangu wa kazi sasa hivi kanibadilikia full kunifokea full kupewa maonyo kuhusu kufukuzwa
4. Ofisini nipo kama mwana mkiwa naona kama niko motoni lawama na vitisho vimekuwa vingi
Hapa nilipo sijui hatma yangu katika hii ofisi.
Una wiki mbili kazini, ni kwamba bado upo katika kipindi fulani cha kuoneshwa mazingira na jinsi ya kufanya kazi, au sivyo?Nina kama week mbili tangu nianze kazi ila kuna changamoto ninapitia hapa
1. Changamoto ya kwanza kuna supervisor full time kunifanyia visa mara kila saa natishiwa kufukuzwa kazi
2. Work mate niliokutana nao ofisini hawanipi ushirikiano vitu vingi vya msingi hawanielekezi
3. Upande wa boss wangu ambae alikuwa anakubali utendaji wangu wa kazi sasa hivi kanibadilikia full kunifokea full kupewa maonyo kuhusu kufukuzwa
4. Ofisini nipo kama mwana mkiwa naona kama niko motoni lawama na vitisho vimekuwa vingi
Hapa nilipo sijui hatma yangu katika hii ofisi.
Hapo ndo tatizo linapoanzia siku zote boss huwa anataka kuona wafanyakaz wake wako busy muda wote,jitahid kufanya time management na usipende sana kufanya kazi harakaharaka hata Kama ni rahisi ilimradi usitengeneze mazingira ya kuwa idle,fanya kazi zako kwa ufanisi jiamini automatically tu boss ataanza kukuamini,maana nyie watoto wa sikuiz hamchelewi kucheza Hadi rede mkiwa kazini ilimradi tu unajiona umemaliza kazi icho ndo kitu maboss hatupendi!Unakuta umemaliza kazi zako huna kitu cha kufanya umetulia boss akikuta umetulia huna cha kufanya anaanza kukufokea kwanini umekaa idle
Ukimwambia umemaliza majukumu yako ukoo free anakutafutia kazi yeyote ya kufanya hata kama ikoo njee ya majukumu yako
Sawa mpumbavu mwenzangu.Habar ndio hyo..huo upumbavu upo kichwani mwako ndio maana huelewi mambo yanavyokwenda.
Hizi mkuu mkuu unazoandika kwa mtu anaekutemea shiti ni uoga na kujipendekeza vile vile.Mkuu, hata mchangiaji ukipotosha lazima tukurekebishe. Haifai tukuache na ujinga wako upotoshe na wengine [emoji28]