Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Sasa kabla ya hapo, mwezi huo huo wa December 2016,
Nikaanza kupata taarifa ambazo sio nzuri,
Na aliyenipa hizo taarifa ni mtu wao wakaribu kwenye familia yake,

Siku niliona simu inaingia kwangu, yule bwana nikaona ananisalimia lakini kama kuna kitu anataka kunieleza lakini anasita, baada ya kusalimiana akakata simu, dk 5 tena akapiga, nikaona tena anasita, nikamuuliza vipi ndugu yangu una tatizo, au umekwanma sema tu sisi ni wanaume matatizo tumeumbwa nao,

Huyu bwana tumuite baba M,

Baada ya kusita kidogo, akaniambia, bwana mbona naona kama mkeo ananunua vitu mjini na kuhifadhikwa mdogo wake,?

Nikamuuliza vitu gani hivyo, na kwa nini ahifadhi huko wakati nyumbani kwetu na kwa huyo mdogo wake hakuna umbilical wowote, hata nauli ya Bajaj kwenda hapo nakuja kwetu ni sawa tu
 
Asipende kujumuisha Mambo aisee. Loooh
 
Wewe Cariha kweli una shida sehemu flani. Mbona jamaa yupo general sana kwenye hii comment yake. Hii comment yake haijakulenga wewe, alikuwa anaongelea in general attitude ya wanawake.
Wewe ndio una shida alivomaanisha na Mimi nimemjibu in general kwanini mje kunishambulia acheni unafiki aisee, hafu sio kila mtu ana mawivu na kutamani Jambo flani sio dhambi mbona hata yeye alichepuka na mchepuko unamsumbua tu.
 
Akanijibu hata wenyewe wanashangaa ila walidhani mimi nafahamu Na namna vinavyohihifadhiwa hivyo vitu ni kama kwa kificho,

Baadaye ndio akatoa ukweli wake,
Kwamba ameona magodoro Mawili ya 7/7
Na mashuka yake kila shuka sijui 200000 ,

Na vitanda viwili na mablanketi ya bei mbaya vilevile mawili,

Na makorokocho mengine,
 
He seems to be a good person despite his past mistakes, sijui kwa nini watu wanaojali na wazuri huishia kukutana na mambo mabaya, maybe ni balance ya nature, Mungu amvushe katika mtihani wake huu.

Huyu bwana ni muungwana sana, nina uhakika hata mkewe mkubwa akimsimulia hii atashtuka mwanzoni ila akifikiria sana atamsamehe tu. Ni makosa ya kibinadamu na kuwa mtu mwema ndio yamemfikisha hapo, muhuni angesha mtosa huyo bi mdogo long time, bila hata kujali watoto wala nini.
 
Wewe ndio una shida alivomaanisha na Mimi nimemjibu in general kwanini mje kunishambulia acheni unafiki aisee, hafu sio kila mtu ana mawivu na kutamani Jambo flani sio dhambi mbona hata yeye alichepuka na mchepuko unamsumbua tu.
Please basi, funga hiyo kitu.
 
Ushauri mzuri sana. Kwenye neno mchepuko umetumia herufi kubwa kuonesha msisitizo eh? 😂
 

Nakushauri fanya maamuzi haraka, unakoelekea siko. Amua ni yupi unaoa uanze masiha rasmi, usiongeze watoto.
 
Wewe ndio una shida alivomaanisha na Mimi nimemjibu in general kwanini mje kunishambulia acheni unafiki aisee, hafu sio kila mtu ana mawivu na kutamani Jambo flani sio dhambi mbona hata yeye alichepuka na mchepuko unamsumbua tu.
Wewe umemshambulia specifically na wala hukuongea in general kama unavyotaka kubadili gia angani. Acha kutufanya wote wajinga hapa.
 
Msinipangie maisha jamani, Mimi nazuia nini nyie kusoma[emoji1][emoji1] au mwataka niangushia jumba bovu tu, hafu akianzaga mjinga mmoja na wengine mnaiga tu[emoji1][emoji1]
Sawa bana
 
Na hiyo ndiyo Raha ya uislamu..

Viongozi wa kikristo wakosee siku Mona waseme mwanaume wa kikristo aoe mke zaidi ya mmoja utaona vurugu lake 😂😂
 
hii story imefanana na baba mmoja namfahamu tofauti tu yeye aliishia kwenye viwanja

hajafanikiwa kujenga na wanawake wore walimove on wana maisha yao Ila yeye kabakia anarandaranda duniani
Duuuh poleeeh yake sana huyo m baba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…