- Thread starter
- #481
Sasa kabla ya hapo, mwezi huo huo wa December 2016,
Nikaanza kupata taarifa ambazo sio nzuri,
Na aliyenipa hizo taarifa ni mtu wao wakaribu kwenye familia yake,
Siku niliona simu inaingia kwangu, yule bwana nikaona ananisalimia lakini kama kuna kitu anataka kunieleza lakini anasita, baada ya kusalimiana akakata simu, dk 5 tena akapiga, nikaona tena anasita, nikamuuliza vipi ndugu yangu una tatizo, au umekwanma sema tu sisi ni wanaume matatizo tumeumbwa nao,
Huyu bwana tumuite baba M,
Baada ya kusita kidogo, akaniambia, bwana mbona naona kama mkeo ananunua vitu mjini na kuhifadhikwa mdogo wake,?
Nikamuuliza vitu gani hivyo, na kwa nini ahifadhi huko wakati nyumbani kwetu na kwa huyo mdogo wake hakuna umbilical wowote, hata nauli ya Bajaj kwenda hapo nakuja kwetu ni sawa tu