Anakera huyo mbaba anasikia raha kututaja taja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Khaaa
Acha tuone mwisho wa stori unaishaje. Huenda jamaa alifanya maamuzi unayodhani ni sahihi. Binafsi so far alichokifanya jamaa, his conduct ni sahihi. Ubinadamu kwanza. That woman is a mother of his children so she deserves some respect and be treated as such.Hapana huyu mwanamke alishaanza kuonyesha ni mshenzi tu
Mimi kwakweli hio roho ya huruma huwa sina haswa mtu akitanguliza ujinga siwezi kumsamehe mtu anae nikanyaga makusudi akitarajia akiniomba msamaha nimuelewe ndio situation kama ya huyu baba
Pale pale alipoanza kununua magodoro ndio ingekuwa mwisho wake
Kuna wanawake wanatamani mwanaume Kama huyu yeye analeta ujinga
Huyo Ni wewe Sasa siye Mimi ..nanina shukuru msimamo wangu huo umenisaidia mpaka leoHuwa sina ujasiri wa kuipotezea damu yangu,nafsi itanisuta siwez kuipotezea
Hela ngapi kapoteza na mchepuko wake na kweli angetulia na mkewe wangekuwa mbali sana acha avune alichopandaUjinga ujinga tu
Mwanaume anae hangaika na michepuko akitulia akajenga na mkewe anakuwa mbali zaidi nguvu anayo igawa huku na huku
Huyu mzee angewekeza kwa familia yake angekuwa zaidi ya hapa alipo now naamini
Kwanza mchepuko kapewa mtaji zaidi ya mara mbili kafeli aisee aaargh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anakutaka. Mwambie akufanye nyumba ndogo ukamsawazishe.
Acha tuone mwisho wa stori unaishaje. Huenda jamaa alifanya maamuzi unayodhani ni sahihi. Binafsi so far alichokifanya jamaa, his conduct ni sahihi. Ubinadamu kwanza. That woman is a mother of his children so she deserves some respect and be treated as such.
Huyo Ni wewe Sasa siye Mimi ..nanina shukuru msimamo wangu huo umenisaidia mpaka leo
Kama unakumbuka,Hapa kwenye kumpa tena hela toka fungu la pili aisee nimeshindwa kukuonea huruma pamoja na makashkash yaliyotokana na fungu la kwanza.
Ungekua karibu yangu ningekunasa vibao kama vitatu hivi ili akili ikukae sawa. Shubaaamit
Ushauri sahihi ila mshauriwa ataelewa baada muda sana🙏Jambo likisha tokea tiari limesha tokea
Maji ya kisha mwagika Haya zoleki!
Fumba macho endelea na maisha
MSAADA UNAOUHITAJI NI WEWE KUACHANA NA MCHEPUKO NA KUMWELEZA MKE MKUBWA NA KURUDI KUNDINI.Nimejua sasa hivi, hana mapenzi na mimi, thats why nipo hapa,
Ila bado hujajua nahitaji msaada gani
Binafsi naamini huyu bi mdogo alikuwa na mapenzi na wewe. Mwanamke mpaka kufikia hatua ya kuzaa na wewe kuna sehemu ndani ya moyo wake unakupenda. Kumbuka pia una mke mkuu, upendo wake kwako ulikuwa unakutana na kizingiti cha wewe kuwa na mke, so inabidi pia uvae viatu vyake. Pia duniani hakuna upendo unaokuja bila ya "kisababishi". Kila mtu anampenda mtu flani kwa sababu ya kitu flani. Huo ndio uhalisia. Unaweza kupendwa kwa sababu ya uhandsome wako. Unaweza kupendwa kwa sababu ya urembo wako, usingekuwa mrembo usingependwa. Unaweza kupendwa kwa fedha zako. Hakuna kupendwa bila kisababishi. Kisababishi kikitoweka either utaachwa au utavumiliwa.Nimejua sasa hivi, hana mapenzi na mimi, thats why nipo hapa,
Ila bado hujajua nahitaji msaada gani
Sema mzee kengele imegongwa ya kwenda nyumba yeye ndio anaingia getini wakati na madarasa yamesha fungwa na walimu wameondokaUshauri sahihi ila mshauriwa ataelewa baada muda sana🙏
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....! Usijali,tulia hapo hapo. Nakuja hukoEbu fanya kunisimulia kwa WhatsApp [emoji847]
Point yako nimeikubali "huwezi kuwa binadamu katikati ya wanyama"Ubinadamu huo upo upande mmoja
My friend ukiishi na principle za ubinadamu utaishia kuumizwa watu wataichukulia hio kama udhaifu wako
Shida huwezi kuwa binadamu katikati ya wanyama,hujui moyo wa mtu umebeba nini
Huwa na apply ubinadamu baada ya kutendewa ila ukianza kwa unyama huwa natembea na bit hizo hizo,hii dunia haina usawa watu wazuri huishi maisha magumu kama hivyo
HahahaIla we fala mwanzo mwisho yaani shida yote hiyo ni mbunye tu,
Na akupe ugonjwa tu ila Mungu amwepushe bi mkubwa.
Yaani an educated man uko hivyo, I hate you.
Ni kweli Konda,Binafsi naamini huyu bi mdogo alikuwa na mapenzi na wewe. Mwanamke mpaka kufikia hatua ya kuzaa na wewe kuna sehemu ndani ya moyo wake unakupenda. Kumbuka pia una mke mkuu, upendo wake kwako ulikuwa unakutana na kizingiti cha wewe kuwa na mke, so inabidi pia uvae viatu vyake. Pia duniani hakuna upendo unaokuja bila ya "kisababishi". Kila mtu anampenda mtu flani kwa sababu ya kitu flani. Huo ndio uhalisia. Unaweza kupendwa kwa sababu ya uhandsome wako. Unaweza kupendwa kwa sababu ya urembo wako, usingekuwa mrembo usingependwa. Unaweza kupendwa kwa fedha zako. Hakuna kupendwa bila kisababishi. Kisababishi kikitoweka either utaachwa au utavumiliwa.