miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Arudi nyumbani kwake vinginevyo atapata kiharusi aumwe, ateseke, afe, azikwe na maisha ya bimdogo yaendeleeSema mzee kengele imegongwa ya kwenda nyumba yeye ndio anaingia getini wakati na madarasa yamesha fungwa na walimu wameondoka
Ataelewa nini muda huu ata ukimwambia tume soma moja 2 /3
Muda ndio kila kitu ukisha kosea muda okoka piga mapambio yata kusogeza
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119] Huyo mchepuko kwa sisi wa zoefu wa hizo mambo piga ua Kuna mtu alikuwa anammega Tena kinoma noma na ndiye ambaye alikuwa anachangia kutia shubiri penzi la huyu Mzee wetu mpaka akawa analiona chunguUjue nimehisi hata ukute mke mkubwa ameshajua ila amemute tuu. Yaan babangu anijali maisha yangu yote halafu nimpotezee? Kuna shida mahali.
Baba dai Mzee Abdul alisema kuzaa si kupata.
Nachoamini mzee wetu ni kwamba bado hajakubaliana na ukweli kwamba mchepuko haukuwahi kumpenda. Tunamwambia ukweli sisi kama wanawake. Aliona hapa ndo uhakika ndo maana akakazia hapohapo. Angeenda jiua basi. Huyo mchepuko na yeye aliwaza maumivu ya mke mkubwa? Its all about her. Kila kitu anawaza juu yake hawazii mke halali.
Haijawahi kutokea mchepuko akawa na upendo wa kweli angali anajua kbs jamaa ana mkewe halali. Lazima ajipooze. Na tumeona makandolando toka mwanzo anashinda kkoo na wafanyabiashara. Kuna mengine nadhan mzee wetu anamsitiri mchepuko.
Yaani natamani sana aweze pata ujasiri wa kumweleza mkewe kila kitu. Kama wewe ni mchagga njoo tuchukue ukoo mzima tukusindikize na masale[emoji23][emoji23] utasamehewa na utapata amani kabisa.
Mungu amsaidie maana namhurumia sana. Yaani nisivyopendaga stress zaman ningeshajipeleka kwa mke wangu nimweleze kinaga ubaga.
Mapenzi ya namna hii hayajawahi fika kabisa mbali. Hayadumugi. Fedha ikiisha na kila kitu kimeisha.
Amesema "Ila tatizo lingine kubwa ni nalo liona nyinyi wanawake mna chuki na husuda kwa wenzenu wenye maisha mazuri, na hayo maneno yenu ndio chanson cha kuwaingiza chaka na kuharibu kabisa maisha yao" ambapo kwa asilimia kubwa ni kweli.
Sababu iliyopelekea bi mdogo akaishia kwa mtoa mada ni baada ya kubeba ujauzito na kuzaa mtoto wa kwanza. Unamshauri bora angemchuna halafu atafute mwanaume mwingine.
Sio kila mtu anaona ni vizuri watoto wake kuwa na baba tofauti tofauti hiyo ni moja.
Mbili, sio kwamba mtoa mada alikuwa hamlei vizuri, mtu kamchukulia kama mke wake halali kamjengea nyumba , watoto wamesoma, watoto wana pata haki zao zote za msingi halafu unamuona huyo mwanamke ni mjinga? Bora angemchuna huyu mwanaume wakaolewe akiwa tayari ana mtoto?
Ni wanawake wangapi wamezaa na wanaume za watu na wametelekezwa wanalea watoto wao wenyewe?
Ni wanawake wangapi wapo kwenye ndoa lakini waume zao hawalei watoto wao kwa mapenzi?
Kwanini huyo Dada afanye unyama wa kumchuna mtoa mada na kukimbia? Una uhakika gani huko ambapo angekimbilia angeenda kupata furaha zaidi ya anayoipata kwa mtoa mada?
Tena na vile angekuwa single mother angeteseka sana na kutamani kurudi kwa mtoa mada. Ushauri ambao ungemshauri huyo bi mdogo ungemwangamiza. Ni ushauri mbaya.
Mzee wa miaka 50 unasema unajuwa kupenda kweli kweli mzee ushauri kama upo na miaka 50 kweli muda wa kutafuta usingizi!Ni kweli Konda,
Kama utakumbuka, huyu msichana nilimpata mdogo sana 19au 20 years, sidhani maamuzi aliyofanya wakati huoalikuwa na nia ya kuniangamiza, alinipenda na mimi nilimpenda,
Labda tatizo language kubwa ni kwamba, nikishakuwa na hisia za kumpenda mtu, huwa nampenda kweli, lakini naye akionesha kunipenda, huyu simumunyi mdomo naye alinipenda, ila kusema wakati huo alikuwa na malengo mabaya na mie sio kabisa?
Hiyo dhambi simpi, ni dunia tu imekuja kumharibu, na hii si una ni Dar tena
Poa, jifunze na toa ushauriHey mambo
Gusanisha nyama kwa nyamaCondom hawataki [emoji16][emoji16][emoji16]
Tuwe wakweli mamanzi wengi condom hamtaki dadeki zenu ... Uongo Shunie ?
Halafu condom ya Nini wakati P2 zimejaa kibao pharmacy unataka nikose utamu halisi au sio ...acha roho mbaya [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Eehh ndio maana nakupendaga .. huo ndio mpango [emoji16]Gusanisha nyama kwa nyama
Nachosikitika ni mzee wetu hataki kupokea ushauri wa kweli na mchungu. Bi mdogo ndo tatizo. Yaan alimteka na yeye kaamini alipendeka. Hivi anawajua wadada wa town kweli? Mchepuko yuko sharp sana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119] Huyo mchepuko kwa sisi wa zoefu wa hizo mambo piga ua Kuna mtu alikuwa anammega Tena kinoma noma na ndiye ambaye alikuwa anachangia kutia shubiri penzi la huyu Mzee wetu mpaka akawa analiona chungu
Mkuu hapa mbona umetupunja Sana story iliishia pale unataka kupanda pipaNiandikie hiyo hiyo, namshurutisha abadili jina lake aweke langu kama baba, anaenda kubadili anaweka la watoto,
Nikavuta muda kutafakari na kujirudhisha
Itakuwa anapewa na topee huyu hasemii...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] [emoji119] Mzee alilishwa limbwata huyu sio bure ... Au alilishwa nyama ya tacore!?
Single mother haoWatu futureless ndivyo walivyo.... Yani kuna wadada kama watano humu wakisikia wanaume wanapitia magumu wanafurahia sana.
[emoji16][emoji16][emoji16] naimani now anakiri kuwa alifanya mistake ndio maana akaja hapa ... So Akubali tu kuwa kupata negative comments katika situation Kama hi nikawaida awe mvumilivu tuNachosikitika ni mzee wetu hataki kupokea ushauri wa kweli na mchungu. Bi mdogo ndo tatizo. Yaan alimteka na yeye kaamini alipendeka. Hivi anawajua wadada wa town kweli? Mchepuko yuko sharp sana
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] I blv so
Mwache ajidai ana juwa kupenda pressure ikipanda apo Leo tu wana mpeleke mloganzira akapigwe oxygen maana watasema hii ni yenyewe ile kitu kumbe kachanganywa tu na kabinti mzee wa zaidi ya miaka 50 anasema kabisa anajuwa kupenda yani muda wa kutafuta usingizi ndio anataka kupenda!!Arudi nyumbani kwake vinginevyo atapata kiharusi aumwe, ateseke, afe, azikwe na maisha ya bimdogo yaendelee
Legend .. Huyu dada apewe ulinzi tafadhali ... Na sura yake' iwekwe kwenye noti ya 10k Mara 1Amesema "Ila tatizo lingine kubwa ni nalo liona nyinyi wanawake mna chuki na husuda kwa wenzenu wenye maisha mazuri, na hayo maneno yenu ndio chanson cha kuwaingiza chaka na kuharibu kabisa maisha yao" ambapo kwa asilimia kubwa ni kweli.
Sababu iliyopelekea bi mdogo akaishia kwa mtoa mada ni baada ya kubeba ujauzito na kuzaa mtoto wa kwanza. Unamshauri bora angemchuna halafu atafute mwanaume mwingine.
Sio kila mtu anaona ni vizuri watoto wake kuwa na baba tofauti tofauti hiyo ni moja.
Mbili, sio kwamba mtoa mada alikuwa hamlei vizuri, mtu kamchukulia kama mke wake halali kamjengea nyumba , watoto wamesoma, watoto wana pata haki zao zote za msingi halafu unamuona huyo mwanamke ni mjinga? Bora angemchuna huyu mwanaume wakaolewe akiwa tayari ana mtoto?
Ni wanawake wangapi wamezaa na wanaume za watu na wametelekezwa wanalea watoto wao wenyewe?
Ni wanawake wangapi wapo kwenye ndoa lakini waume zao hawalei watoto wao kwa mapenzi?
Kwanini huyo Dada afanye unyama wa kumchuna mtoa mada na kukimbia? Una uhakika gani huko ambapo angekimbilia angeenda kupata furaha zaidi ya anayoipata kwa mtoa mada?
Tena na vile angekuwa single mother angeteseka sana na kutamani kurudi kwa mtoa mada. Ushauri ambao ungemshauri huyo bi mdogo ungemwangamiza. Ni ushauri mbaya.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eehh ndio maana nakupendaga .. huo ndio mpango [emoji16]