Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Huo MCHEPUKO tutaupa hadhi ya MZAZI MWENZA pale tuu utakapouacha na kusimama imara. Or else utabaki kuwa MCHEPUKO tu.

Ila jamani uko very innocent kuface haya yote. Yaan you are too nice to under go all these circumstances. Huyu dada alizidisha mahaba ama ni nini jamani... nakushoutia lakini deep inside nakuhurumia sana. Kiukweli mimi hapa shetani wako ni mchepuko. I wish ungekua hata umeomba ushauri from the scratch kwa watu wako wa karibu enzi hizo. I have seen multiple michepuko wakikimbia wanaume walioko nao baada ya waume kuumwa ama kufilisika kisha waume kurudi kwa wake zao na kupokelewa jinsi tulivyo na huruma.
 
Sema mzee kengele imegongwa ya kwenda nyumba yeye ndio anaingia getini wakati na madarasa yamesha fungwa na walimu wameondoka
Ataelewa nini muda huu ata ukimwambia tume soma moja 2 /3
Muda ndio kila kitu ukisha kosea muda okoka piga mapambio yata kusogeza
Arudi nyumbani kwake vinginevyo atapata kiharusi aumwe, ateseke, afe, azikwe na maisha ya bimdogo yaendelee
 
Ujue nimehisi hata ukute mke mkubwa ameshajua ila amemute tuu. Yaan babangu anijali maisha yangu yote halafu nimpotezee? Kuna shida mahali.

Baba dai Mzee Abdul alisema kuzaa si kupata.
Nachoamini mzee wetu ni kwamba bado hajakubaliana na ukweli kwamba mchepuko haukuwahi kumpenda. Tunamwambia ukweli sisi kama wanawake. Aliona hapa ndo uhakika ndo maana akakazia hapohapo. Angeenda jiua basi. Huyo mchepuko na yeye aliwaza maumivu ya mke mkubwa? Its all about her. Kila kitu anawaza juu yake hawazii mke halali.

Haijawahi kutokea mchepuko akawa na upendo wa kweli angali anajua kbs jamaa ana mkewe halali. Lazima ajipooze. Na tumeona makandolando toka mwanzo anashinda kkoo na wafanyabiashara. Kuna mengine nadhan mzee wetu anamsitiri mchepuko.

Yaani natamani sana aweze pata ujasiri wa kumweleza mkewe kila kitu. Kama wewe ni mchagga njoo tuchukue ukoo mzima tukusindikize na masale[emoji23][emoji23] utasamehewa na utapata amani kabisa.

Mungu amsaidie maana namhurumia sana. Yaani nisivyopendaga stress zaman ningeshajipeleka kwa mke wangu nimweleze kinaga ubaga.

Mapenzi ya namna hii hayajawahi fika kabisa mbali. Hayadumugi. Fedha ikiisha na kila kitu kimeisha.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119] Huyo mchepuko kwa sisi wa zoefu wa hizo mambo piga ua Kuna mtu alikuwa anammega Tena kinoma noma na ndiye ambaye alikuwa anachangia kutia shubiri penzi la huyu Mzee wetu mpaka akawa analiona chungu
 
Amesema "Ila tatizo lingine kubwa ni nalo liona nyinyi wanawake mna chuki na husuda kwa wenzenu wenye maisha mazuri, na hayo maneno yenu ndio chanson cha kuwaingiza chaka na kuharibu kabisa maisha yao" ambapo kwa asilimia kubwa ni kweli.

Sababu iliyopelekea bi mdogo akaishia kwa mtoa mada ni baada ya kubeba ujauzito na kuzaa mtoto wa kwanza. Unamshauri bora angemchuna halafu atafute mwanaume mwingine.

Sio kila mtu anaona ni vizuri watoto wake kuwa na baba tofauti tofauti hiyo ni moja.
Mbili, sio kwamba mtoa mada alikuwa hamlei vizuri, mtu kamchukulia kama mke wake halali kamjengea nyumba , watoto wamesoma, watoto wana pata haki zao zote za msingi halafu unamuona huyo mwanamke ni mjinga? Bora angemchuna huyu mwanaume wakaolewe akiwa tayari ana mtoto?

Ni wanawake wangapi wamezaa na wanaume za watu na wametelekezwa wanalea watoto wao wenyewe?

Ni wanawake wangapi wapo kwenye ndoa lakini waume zao hawalei watoto wao kwa mapenzi?

Kwanini huyo Dada afanye unyama wa kumchuna mtoa mada na kukimbia? Una uhakika gani huko ambapo angekimbilia angeenda kupata furaha zaidi ya anayoipata kwa mtoa mada?

Tena na vile angekuwa single mother angeteseka sana na kutamani kurudi kwa mtoa mada. Ushauri ambao ungemshauri huyo bi mdogo ungemwangamiza. Ni ushauri mbaya.

Mchawi sio lazima abebe tunguri, maneno tu yanatosha.
 
Ni kweli Konda,
Kama utakumbuka, huyu msichana nilimpata mdogo sana 19au 20 years, sidhani maamuzi aliyofanya wakati huoalikuwa na nia ya kuniangamiza, alinipenda na mimi nilimpenda,
Labda tatizo language kubwa ni kwamba, nikishakuwa na hisia za kumpenda mtu, huwa nampenda kweli, lakini naye akionesha kunipenda, huyu simumunyi mdomo naye alinipenda, ila kusema wakati huo alikuwa na malengo mabaya na mie sio kabisa?
Hiyo dhambi simpi, ni dunia tu imekuja kumharibu, na hii si una ni Dar tena
Mzee wa miaka 50 unasema unajuwa kupenda kweli kweli mzee ushauri kama upo na miaka 50 kweli muda wa kutafuta usingizi!
Muda huo upendo kwako ni kama mtu aliye Lima mahindi na tiari alisha yavuna ni muda wa kusonga ugali tu na kuliwa sio muda wa kuotesha tena maindi ebow utachanganyikiwa tafuta upendo na Mungu wako wa imani yako acha masihara pressure itapanda tuta kupeleka mloganzira ukapigwe oxygen waseme una corona kumbe umechanganywa tu
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119] Huyo mchepuko kwa sisi wa zoefu wa hizo mambo piga ua Kuna mtu alikuwa anammega Tena kinoma noma na ndiye ambaye alikuwa anachangia kutia shubiri penzi la huyu Mzee wetu mpaka akawa analiona chungu
Nachosikitika ni mzee wetu hataki kupokea ushauri wa kweli na mchungu. Bi mdogo ndo tatizo. Yaan alimteka na yeye kaamini alipendeka. Hivi anawajua wadada wa town kweli? Mchepuko yuko sharp sana
 
Niandikie hiyo hiyo, namshurutisha abadili jina lake aweke langu kama baba, anaenda kubadili anaweka la watoto,
Nikavuta muda kutafakari na kujirudhisha
Mkuu hapa mbona umetupunja Sana story iliishia pale unataka kupanda pipa
 
Nachosikitika ni mzee wetu hataki kupokea ushauri wa kweli na mchungu. Bi mdogo ndo tatizo. Yaan alimteka na yeye kaamini alipendeka. Hivi anawajua wadada wa town kweli? Mchepuko yuko sharp sana
[emoji16][emoji16][emoji16] naimani now anakiri kuwa alifanya mistake ndio maana akaja hapa ... So Akubali tu kuwa kupata negative comments katika situation Kama hi nikawaida awe mvumilivu tu
 
Arudi nyumbani kwake vinginevyo atapata kiharusi aumwe, ateseke, afe, azikwe na maisha ya bimdogo yaendelee
Mwache ajidai ana juwa kupenda pressure ikipanda apo Leo tu wana mpeleke mloganzira akapigwe oxygen maana watasema hii ni yenyewe ile kitu kumbe kachanganywa tu na kabinti mzee wa zaidi ya miaka 50 anasema kabisa anajuwa kupenda yani muda wa kutafuta usingizi ndio anataka kupenda!!
We mzee tafuta usingizi
 
2- january hiyo kwa pesa mabaki ya pesa ya viwanja nanunua matofari na kuanza msingi kwanza, nimemwambia tujenga nyumba ndogo, anakataa kwa nini ndogo wakati bi mkubwa ya kwake kubwa,
Tunaamua kuchukua ramani ya ile tuliyouza, lakini kwa maboresho kidogo
 
Amesema "Ila tatizo lingine kubwa ni nalo liona nyinyi wanawake mna chuki na husuda kwa wenzenu wenye maisha mazuri, na hayo maneno yenu ndio chanson cha kuwaingiza chaka na kuharibu kabisa maisha yao" ambapo kwa asilimia kubwa ni kweli.

Sababu iliyopelekea bi mdogo akaishia kwa mtoa mada ni baada ya kubeba ujauzito na kuzaa mtoto wa kwanza. Unamshauri bora angemchuna halafu atafute mwanaume mwingine.

Sio kila mtu anaona ni vizuri watoto wake kuwa na baba tofauti tofauti hiyo ni moja.
Mbili, sio kwamba mtoa mada alikuwa hamlei vizuri, mtu kamchukulia kama mke wake halali kamjengea nyumba , watoto wamesoma, watoto wana pata haki zao zote za msingi halafu unamuona huyo mwanamke ni mjinga? Bora angemchuna huyu mwanaume wakaolewe akiwa tayari ana mtoto?

Ni wanawake wangapi wamezaa na wanaume za watu na wametelekezwa wanalea watoto wao wenyewe?

Ni wanawake wangapi wapo kwenye ndoa lakini waume zao hawalei watoto wao kwa mapenzi?

Kwanini huyo Dada afanye unyama wa kumchuna mtoa mada na kukimbia? Una uhakika gani huko ambapo angekimbilia angeenda kupata furaha zaidi ya anayoipata kwa mtoa mada?

Tena na vile angekuwa single mother angeteseka sana na kutamani kurudi kwa mtoa mada. Ushauri ambao ungemshauri huyo bi mdogo ungemwangamiza. Ni ushauri mbaya.
Legend .. Huyu dada apewe ulinzi tafadhali ... Na sura yake' iwekwe kwenye noti ya 10k Mara 1
 
Back
Top Bottom