Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2


[emoji2298][emoji2298]
 
Amekula ujana vibaya kwa kweli hafu anatafta huruma humu, mgeni wa bunye
We ngoja acheze atapata pressure watu watasema ni Corona atakimbizwa mloganzira akapigwa oxygen huku watu wa kimuogopa kumbe ni mapanzi yame mtia uchizi!
 
hapa ndo huwa nyumba ndogo znanshnda,kutaka kuwa na hadhi sawa na mke mkubwa.

ukiona mchepuko unakueleza hvyo,jua hapo HAKUNA MAPENZI
 
20-naendelea kumuuliza kuhusu huyo mtu lakini hakuna majibu yoyote, nilikuja kupata uhakika kweli yule mtu alikuja kabisa hapa nyumbani mwezi wa 11, baada ya kumpigia simu kwa kutumia namba nyingina,
Nikajitambulisha n
Akasema ni kweli alikuja ila hakukaa sana na Mama alimpa namba zangu zote ili akiona namba hizo asipokee au azi block,

Mwishowe akaniuliza swali tatanishi, eti hiyo nyumba na ya nani, nikamuuliza kwa nini unauliza hivyo, eti yeye ndio kajenga, nikamkatia simu.
 
Mzee wangu kwanza pole kwa yaliyokukuta. Ila mpaka hapa nilichogundua ni wewe kumwamini sana mwanamke. Kosa kubwa sana hilo. Hata Adam alifanya kosa kama hilo kumwamini sana Hawa hata akakubali kula tunda alilokatazwa na Mungu. Pia Mungu alituamrisha "kuwapenda wake zetu" (sio kuwaamini), na akasema tuishi nao "kwa akili" (sio huruma wala kuwaamini). Sipo hapa kuku hukumu lakini makosa mawili makubwa uliyofanya ni kumwamini bi mdogo na kushindwa kuishi nae kwa akili.
Ntakushuri ukimaliza.
 
Mkuu jipange ukisha fikisha miaka 50 sio huna muda wa kushauriwa tena ni muda kama una nguvu ni muda wa kuangalia fursa na kutafuta usingizi usiku sio muda wa kuangaika na mipango ya kando pengine kama ulijipanga vizuri ni muda wa kucheza na wa jukuu
Una,umri gani?Una watoto wangap?wana umri/jinsia gani?Tuanzie hapo nijibu.
 
Hizi p2 sitaki hata kuzisikia nilimeza siku moja zilivyonitenda nikasema mimi tena nije kutumia p2 labda nizaliwe tena
 
Daah bro tumia basi hata nusu saa uandike ndefu ndefu, sisi tutasubiri kuliko kusoma mistari miwili wili, but pole san huenda unaandika huku unaumia moyoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…