[emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]Hapo ndo nashindwa kuelewa kwann hataki tukosoe pa kukosoa. Au ndo mkubwa hakosei?
Mzee hana maamuzi magumu😅😅😅😅😅😅Yaani huyu Mzee apewe tuzo ya uvumilivu Mimi siwezi [emoji16][emoji16][emoji16]
Ni sawa ila tuzimudu hisia zetu, kaka mkubwa yupo kipindi kigumuKwahiyo ulitakiwa niseme nini hapo na umeona mchepuko umebadilika baada ya jamaa yake kutokuwa na pesa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aisee9- march mwishoni, naona nvua za masika zinakaribia na paa robo nzima lipo wazi,
Naamua ku apply mkopo bank, napata 3 m
Namalizia bati na pesa ya fundi
10-April. Muda tuliopewa tuhame umefika,
Nyumba haina milango, oops nilisahau bahati nzuri tulishaweka order ya magril ya nyumba nzima, tunayapachika lakini milango ya mbao wala aluminum hakuna,
11- april hiyohiyo anarudi lakini nimepata taarifa kumbe alienda kwao kwa ajili ya kuanza ujenzi wa nyumba yake huko kwao,
Napiga kelele naambiwa, ameondoka kule nyumba ipo kozi ya 4
Limbwata hiloYaani huyu Mzee apewe tuzo ya uvumilivu Mimi siwezi [emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu tunaelewa lakini ukweli lazima tuongee tuwekeni unafki pembeniNi sawa ila tuzimudu hisia zetu, kaka mkubwa yupo kipindi kigumu
Anajenga nyumba huku mwenzie anajenga kwengine if ningekuwa Mimi ndiye yeye ile ml30 niliyompa ninge muambia ndio kianzio chake Cha maisha Sina mpango nae Tena na Mimi ningechukua 30 nyingine ningeendelea na maisha yanguHuyu jamaa inaelekea ameenda shule lakini amezidiwa maarifa na ni mdogo ambae inaelekea elimu yake bi kama ya kwangu tu.
Mwanaume mwenzetu anateseka sana
Uko sahihi Kaka,kuna kisa kilinitokea,mpaka sasa sina hamu ila nimekubali matokeo.
kuna kibinti nilianza nacho mahusiano kilipomaliza form 4
mwanzo nilikua nakala kwa mipira,baadae nkajua mzunguko wake wa hedhi
nikaanza kuwa navizia siku salama,napga mzigo nyama nyama
siku zimeenda sana,kuna muda nilikua nasafir kama miez 6 narudi,nakula mzigo
virafik vyake vingi vikawa vinapata ujauzito,vingne vna watoto hadi wawili,nkamuuliza mbona wew hupat mimba kama wenzio,maana niliamin sio mim tu ninae kula lazima kuna njemba tulkuwa tunashare.
kilnijibu kuwa kina matatizo hivyo hakiwez shika ujauzito(mwanaume nkajisemea kimoyo moyo kuwa haka katanifaa kuwa kamilele kwa matumizi ya kula raha).tena kakanihakkshia kuwa kuna kipind kalkuwa kananidanganya siku zake za hedhi nikawa nakula na siku hatari lakini hakakupata mimba.
kipindi fulan nikawa fresh kpesa,nkaona ili kukafaid zaid nkaona nkapangishie
nikakaweka gheto,nikaanza kula vitu kwa uhuru
kumbe chenyewe kkaona kmeolewa kabsa,kumbe kilikuja na dawa za kienyej za kusaidia kupata ujauzito
mwez mmoja tu,demu ananiambia ana mimba,nawakat anakuja alkuwa yupo kwenye siku zake kavaa na pedi kabisa
mwanaume nikachanganyikiwa,mwisho wa siku nikakubal matokeo,ila nmerudsha azae kwanza baadae nmrudishe aendelee kuwa mpango wa kando
ila kwasasa niko makini mno,hawa watu hawataweza tena nifanya nisiifurahie dunia
obama siyo mjinga kuwa na watoto wawili.
Sasa ndo tutulie tuwe wasikivu, mwisho tuone ni jambo gani la kumshauri, kumsahihisha ikiwa ni pamoja na kujifunzaMkuu tunaelewa lakini ukweli lazima tuongee tuwekeni unafki pembeni
Muwe nae karibu sasa mzidi kumpa poleMwanaume mwenzetu anateseka sana
Aisee imeisha kuwa toxic relationship hiyo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]pole Sana mkuu16- May hiyohiyo mpaka june naanza kuona simu za wanaume wawili tofauti wakiwasiliana, nikimuuliza hawa ni nani ananijibu ni watu tu, naanza kutia mashaka
17- June ananifokea mbele za watu wakati nimekwama kumsaidia kufunga mpira wa maji vizuri, namtukana na yeye ananirudishia tusi hulo hilo namfukuza nampata namtia Vinson’s vitakatifu, tunaamriwa
Kwakweli inabid tuwe makini sana.Muwe nae karibu sasa mzidi kumpa pole
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119] Daahh nyieeeee17- watoto wapo likizo naona mimi natengwa tu,
Hakuna anayenizungumzisha, nakula nalala naamka,
18, July, nafuma kwenye simu yake ujumbe wa sms, kuna mwanaume kaja hapo nyumbani
Yule mwanaume ndio nimeona ujumbe wake akimwambia,basi sawa nitakuja siku ukiwa poa,
Au tufanye wiki ijayo........ poa poa ,.......... nikukute upo fresh fresh
[emoji51][emoji51][emoji3][emoji23][emoji23]Nilete kisa changu hapa ili mnishauri thubuuu Bora mninyonge
Watu wenyewe mnamidomo mnaongea Kama kasuku [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Bosi mapenzi ukisha zama, hata kufikiria tu kuachana nae miguu inakuishia nguvu, ukiwaza ndo milele raha atampa mtu mwingine basi homa inakuopanda unakosa hata hamu ya chakulaAnajenga nyumba huku mwenzie anajenga kwengine if ningekuwa Mimi ndiye yeye ile ml30 niliyompa ninge muambia ndio kianzio chake Cha maisha Sina mpango nae Tena na Mimi ningechukua 30 nyingine ningeendelea na maisha yangu
Si ndipo ID mpya zinapozaliwaga hapo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani unafikilia hatuna majanga yetu tunabaki nayo wenyewe
Eti nije jf niweke thread kutaka ushauri mimi huyu haitatokea hata siku moja
Mzee anatia huruma kwakweli[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119] Daahh nyieeeee