Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

25–nikamwandikia message nipo hapo ulipo naomba tuonane, akakataa katakata, baadaye nikadanya nimeibiwa simu yangu ndogo yenye pesa naomba unitumie pesa angalau ya guest ili nioge na kulala kesho niondoke,
Hakunijibu tena,
Mpaka kesho yake asubuhi, akanitumia 50000 Lakini baada ya msg nyingi sana
 
9- march mwishoni, naona nvua za masika zinakaribia na paa robo nzima lipo wazi,
Naamua ku apply mkopo bank, napata 3 m
Namalizia bati na pesa ya fundi

10-April. Muda tuliopewa tuhame umefika,
Nyumba haina milango, oops nilisahau bahati nzuri tulishaweka order ya magril ya nyumba nzima, tunayapachika lakini milango ya mbao wala aluminum hakuna,
11- april hiyohiyo anarudi lakini nimepata taarifa kumbe alienda kwao kwa ajili ya kuanza ujenzi wa nyumba yake huko kwao,
Napiga kelele naambiwa, ameondoka kule nyumba ipo kozi ya 4
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aisee
 
Huyu jamaa inaelekea ameenda shule lakini amezidiwa maarifa na ni mdogo ambae inaelekea elimu yake bi kama ya kwangu tu.
Anajenga nyumba huku mwenzie anajenga kwengine if ningekuwa Mimi ndiye yeye ile ml30 niliyompa ninge muambia ndio kianzio chake Cha maisha Sina mpango nae Tena na Mimi ningechukua 30 nyingine ningeendelea na maisha yangu
 
kuna kisa kilinitokea,mpaka sasa sina hamu ila nimekubali matokeo.

kuna kibinti nilianza nacho mahusiano kilipomaliza form 4
mwanzo nilikua nakala kwa mipira,baadae nkajua mzunguko wake wa hedhi
nikaanza kuwa navizia siku salama,napga mzigo nyama nyama

siku zimeenda sana,kuna muda nilikua nasafir kama miez 6 narudi,nakula mzigo
virafik vyake vingi vikawa vinapata ujauzito,vingne vna watoto hadi wawili,nkamuuliza mbona wew hupat mimba kama wenzio,maana niliamin sio mim tu ninae kula lazima kuna njemba tulkuwa tunashare.
kilnijibu kuwa kina matatizo hivyo hakiwez shika ujauzito(mwanaume nkajisemea kimoyo moyo kuwa haka katanifaa kuwa kamilele kwa matumizi ya kula raha).tena kakanihakkshia kuwa kuna kipind kalkuwa kananidanganya siku zake za hedhi nikawa nakula na siku hatari lakini hakakupata mimba.

kipindi fulan nikawa fresh kpesa,nkaona ili kukafaid zaid nkaona nkapangishie
nikakaweka gheto,nikaanza kula vitu kwa uhuru
kumbe chenyewe kkaona kmeolewa kabsa,kumbe kilikuja na dawa za kienyej za kusaidia kupata ujauzito
mwez mmoja tu,demu ananiambia ana mimba,nawakat anakuja alkuwa yupo kwenye siku zake kavaa na pedi kabisa
mwanaume nikachanganyikiwa,mwisho wa siku nikakubal matokeo,ila nmerudsha azae kwanza baadae nmrudishe aendelee kuwa mpango wa kando

ila kwasasa niko makini mno,hawa watu hawataweza tena nifanya nisiifurahie dunia
obama siyo mjinga kuwa na watoto wawili.
Uko sahihi Kaka,
Kama Obama ana watoto 2 iweje wewe utake kuzaa 7?
 
Mkuu tunaelewa lakini ukweli lazima tuongee tuwekeni unafki pembeni
Sasa ndo tutulie tuwe wasikivu, mwisho tuone ni jambo gani la kumshauri, kumsahihisha ikiwa ni pamoja na kujifunza
 
16- May hiyohiyo mpaka june naanza kuona simu za wanaume wawili tofauti wakiwasiliana, nikimuuliza hawa ni nani ananijibu ni watu tu, naanza kutia mashaka
17- June ananifokea mbele za watu wakati nimekwama kumsaidia kufunga mpira wa maji vizuri, namtukana na yeye ananirudishia tusi hulo hilo namfukuza nampata namtia Vinson’s vitakatifu, tunaamriwa
Aisee imeisha kuwa toxic relationship hiyo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]pole Sana mkuu

Siku zote hao wanaume alikuwa nao alikuwa ana kuactia tu
 
26, sep mwishoni,
Mahafari ya mtoto Dar ,
A
Nasikia kaja lakini kaenda moja kwa moja kwa rafiki,asubuki saa nne nipo, mala nawaona wanakuja, nilienda na rafiki yangu mmoja wa kazini,
Wanafika wote wananipita bila kunisalimia,
Mimi nawasalimu kimya,wamekuja na vyakula vya mtoto na keki,
 
17- watoto wapo likizo naona mimi natengwa tu,
Hakuna anayenizungumzisha, nakula nalala naamka,

18, July, nafuma kwenye simu yake ujumbe wa sms, kuna mwanaume kaja hapo nyumbani

Yule mwanaume ndio nimeona ujumbe wake akimwambia,basi sawa nitakuja siku ukiwa poa,
Au tufanye wiki ijayo........ poa poa ,.......... nikukute upo fresh fresh
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119] Daahh nyieeeee
 
Anajenga nyumba huku mwenzie anajenga kwengine if ningekuwa Mimi ndiye yeye ile ml30 niliyompa ninge muambia ndio kianzio chake Cha maisha Sina mpango nae Tena na Mimi ningechukua 30 nyingine ningeendelea na maisha yangu
Bosi mapenzi ukisha zama, hata kufikiria tu kuachana nae miguu inakuishia nguvu, ukiwaza ndo milele raha atampa mtu mwingine basi homa inakuopanda unakosa hata hamu ya chakula
 
Back
Top Bottom