Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2


[emoji19][emoji27]
 
19–Namuuliza huyu mtu ni nani na Jew alikuja hapa, anakataa kabisa anasema huyo mtu ni wa kijijini kwao,na ni bwana shamba wa kule sasa alipokuja hapa alitaka kumtembelea apajua nyumbani lakini akamkatalia
Yaani mkuu mapicha picha yote hayo bado unadiriki kumuuliza tu ...wewe unadhani atakujibu Nini !? Kama sio kukuongopea !?
 
Aisee [emoji16][emoji26]
 
Aisee...yani kama movie vile
Sema huyo mwanamke alikuwa na akili ndogo sana
 
Mkuu hebu fanya kuiandika yote kisha imwage hapa.
 
Ukifuatilia utagundua wanaume wengi humu wanaelewa wakati alio nao huyu jamaa, wanawake wameshasoma mwisho wa story wanashangaa. Lazima tuwapongeze kwa kuona mbali, lakini pia tuelewe roho zao.
Kweli kaka, maana ndo tupo nao sasa unafikiri tutafanyeje
 
Unaweza kuwa una miaka 35 mtoto wako wa kwanza ana mwaka mmoja ,je miaka 50 utakuwa unacheza na wajukuu?
Wajukuu ni bahati sio kila mtu anabahatika kuwa na wajukuu akiwa na umri huo!
Ila muda ni masaa ukisha chelewa huwezi rudisha nyuma ukiwa na miaka 50 na kuangaika na nyumba ndoko ni kujitafutia safari ya kaburi kwa speed ya SGR
 
Duuuhh aisee nimetamani nikutukane lakini nafsi imeniambia sio sawa ... Mkuu pole Sana Huyo mwanamke alijua kukuburuza aisee Mioyo Kama hiyo huwa mnaitoa wapi mbona sisi wengine hatuko hivyo [emoji26][emoji26]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwani unafikilia hatuna majanga yetu tunabaki nayo wenyewe

Eti nije jf niweke thread kutaka ushauri mimi huyu haitatokea hata siku moja
Sindio hapo ... Labda waninyonge [emoji16][emoji16]

Matatizo yangu nitakomaa nayo Mimi mwenyewe till I die humu siyaleti ng'ooo
 
27- namwomba yule rafiki ajaribu amwambie nina maongezi naye lakini, anajibu sisi tumekuja kwa shughuli ya mtoto, nikamwomba basi naomba niongee na wewe,
Akasema lakini nikupe simu ya mzee ili alinipe ruhusu ya kuongea na wewe,

Yule rafiki yangu alinivuta shati kwa ghafla bila kutegemea,
Akaniambia tuondoke, ‘kumbe mwanamke mwenyewe ndio huyu, mbona yupo,(primitive sana) mmm yaani mke wangu Primitive, aliishia tu kuniambia yule sio mwanamke wa kunisumbua mimi, yaani sio hadhi yangu kabisa, kwamba ana mwonekano wa kishamba hasa, acha tabia yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…