Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Kama shida ni nyumba nenda mahakamani mkuu

Fanya urudi kwa bi mkubwa
 
Hivi huyu shetani tumemkosea nini sie wanadamu?! Huyu bwana bifu lake si na Mungu?! Sasa kisa cha kutuandama wanadamu ni nini wakati yeye bifu lake ni na Mungu Baba?! Hebu angalieni. Kutokana na stori kuwa lirefu sana ikafika wakati nikaamua nisome kwa haraka haraka (kuperuzi) na kwahiyo baadhi ya mistari nikawa nairuka. Sasa shetani alivyo mwanaharamu, nilipofika kwenye quote hiyo hapo, paragraph ya kwanza sikuiona na badala yake macho yakaenda kutua palipoandikwa " Wakati watu wengine wamelala, mimi nikapata viwili." Eti shetani akaniaminisha "ukapata bao mbili za chapchap huku raia wakiwa wamepiga mbonji! NIkajua ni bao zetu zile kupitia ulaji tunda kimasihara! Swali lililopita kichwani fasta fasta ulikula tunda kimasihara na kupata 2 chap chap kwa mazingira gani! Ehee! Naanza kusoma tena kumbe ulipata viwanja viwili!!

Nahama kanisa, nahitaji upako kwa kweli!!
 
Kusema kweli kama sio kukomaa mpaka sasa hivi ningekuwa nmeshamwachianyumba kwa vituko alivyonifanyia,

Kinachonitia wasiwasi huyo bwana ambaye wanae, kwanza alimwoaga binamu wa mke wangu, wakaachana baada ya bwana kumfumania mke wake na bwana mwingine,

Jamaa alipiga mwanamke karibu aue, haikutoshaakamfuata mwanaume na kumchima visu na kukimbia kijiji, amerudi juzi tu, huko

Kwa hiyo jamaa ni mshari wasiwasi wasije kuunda njama wanipotezee uhai,

Ila Mungu ameendelea kuwa na mimi,

Nimeshaenda kutoa taarifa polisi,
 
SIO MKE WAKO MKUU

NA NI KWELI KWA HAYA MATUKIO SIJUI HATA NGUVU YA KUMUITA MKE UNAIPATA WAPI!!!??

KUZAA HATA PANYA WANAZAA (MNISAMEHE WANAWAKE WENZANGU)
Jamaa eti anafosi mchepuko tuuite mke[emoji38]

He is in delusional state kwa kweli.

Na huyu mchepuko wake kwa sasa hamtaki ila yeye ndio anafosi kingi.
 
[emoji2307][emoji2307][emoji2307]
 

Huyo amekosa adabu sasa bac hakumbki hata fadhila na hujamkosea kitu hapo anasahau haraka[emoji21]
 
OMBI WAKUU NA USHAURI

hii nyumba niifanye nini, ni nyumba kubwa,
Ipo kwenye kiwanja cha eka moja,

Eneo ni ni zuri sana, sasa hivi nyumba ni nyingi, lakini ya kwangu kila mtu anaitamani,

Ila bado haijaisha,

Madilirisha nilishaweka ya aluminium bado matatu tu ya dining room
 
Bado hujasema kaka unahitaji ushauri gani kuhusu wewe au shemej
 
Acha ujinga wewe, kama hii story ni ya kweli, mwachie nyumba na uhame jumla afterall hata mabinti wamekususa.
 
Hivi mzee wangu unachofosi kwa huyo bi mdogo ni nini? Kwani si una mke wako mzuri tuu nyumbani? Si muachane kwa amani tuu kila mtu ajue hamsini zake?

Unavoendelea kufosi unatafuta kuwekewa sumu ama mtakuja kupigana mgawane majengo ya serikali, mmoja aende mortuary mwingine jela.

Mzee bado hukachelewa, shtuka mzee, piga moyo konde uendelee na maisha mengine.
 
Huyu mwanamke simtaki tena, lakini naona kama anawapambe,

Nipeni ushauri wapendwa,
Maana ninachokiona siku moja huyu mwanamke anaweza rudimentary hapa kwa gia ya watoto
Mwachie nyumba, si ana watoto?
Au una sababu gani nzuri ya kumweka mbali na hiyo nyumba?
 
Haufi bwana ila utavumilia tu
 
Bado hujasema kaka unahitaji ushauri gani kuhusu wewe au shemej
Kuhusu mimi nimeshaamua huyu mwanamke simtaki lakini wasiwasi wangu ni hii nyumba?
Niifanyeje

Mambo ya polisi na ustawi wa jamii nataka kuyaepuka mapema sana,

Ingawa binafsi ningejua hatma ya nyumba,
Ingependeza kama ningeimalzia vizuri,

Niongeze vyumba kama 15 vya wapangaji, ili niipige bei nzuri

Uhakika baada ya hapo hapo 300 m
Nitakunja
 
Nyumba ni ya watoto mkuu hakuna Cha kuifanya au haina jina lako?


Kama Ina jina lako, pangisha pesa someshea hao watoto. Watoto wanajitambua na kwa kuwa nao wameonesha ujeuri wabadilikie kwa muda. Wakaishi na Mama yao.

Mwanamke akale anakopewa jeuri.

Mwisho kabisa tulia na mkeo, mwambie ukweli utakuweka huru, na hapo utafurahia maisha yaliyobaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…