Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Dah...unatutesa Kama anavyokutesa bi mdogo, Sasa jamani tutaguess Nini hapo? Unataka tukushauri au unatuhadithia tu ili tuanze ku guess.....malizia bwana wahenga wenzio tunasubiri
[emoji23][emoji23]katika ubora wako mama
 
Reactions: Luv
Sasa povu la Nini kwa kila mtu akiandika usichopemda, hata ukioa wake 100 that's ur business my dear, no need of justification just do what you want
 
Bro kumbuka UKIMWI bado upo !
 
Ni amateur katika michepuko huyo! Atuulize wakubwa zake baadala ya kuomba misaada hata kwa mapadre wa JF ambao hawajui raha na subiri za ndoa. Achilia mbali vichelema vya JF.

Mchepuko ukiona hakuna faida kwako inatengeneza mradi mwingine. Sasa huyu dogo maskini bila uzoefu akawa analazimisha. Michepuko ni ghali sana na ukubali kuiacha ikichoka si mpaka kupigana. Utapiganaje na mchepuko hata akiwa Bi Mkubwa. Si unaondoka na briefcase yako. Mtoto unaendelea kumsomesha na kumtunza. Siamini kuna mwanamke anaweza kuwa zaidi ya damu yangu (DNA huwa tunahakikisha). Bi mkubwa asipowapokea aamue kunyoa au kusuka
 
You are so bitter. We we ni single mother au mchepuko wa MTU.
Sijafikiria kuwa single mother mkuu, na hata nikiamua kuzaa sijali maneno ya wajinga sio single mother Mimi ka mwanamke nilipewa kei nizae hzo single mother mnazosema huwa ni maneno ya wanaume machoko wa JF. How can you insult someone coz of giving birth,[emoji1][emoji1][emoji1] hilo sio tusi na hata kuwa mchepuko sio dhambi ka nyie mnachepuka hamna akili mnalia Lia humu baada ya kupigwa matukio na mnazeeka wenyewe ka wachawi
 

[emoji16][emoji16]
 
Hii yangu mbona, mi huwa mara nying msomaji hivo najua timbwili lako, hivo jiskie huru bibie!! Jiskie upo sebleni chumbani[emoji28]
[emoji1][emoji1][emoji1] wanaume mliozaa na michepuko huu Uzi umewaumiza Sana, my friend sitaki uje uzeeke vibaya jifunze kwa mzee baba mleta mada, usije lia humu ooooh sipendi uangamie tena umri ukishaenda oooh,
 
Huna haja ya justification do whatever pleases u!
 
Kama sio ufala uko nayo kichwani unahangaika na nini na unasema uko na bi mkubwa? Yaan apo pata shida uone km uyo mchepuko wako atakumbuka km uliwahi kuwa mpenzi wake
 
Nenda KAWE kapokee UPAKO wa kibabe..
 
[emoji1][emoji1][emoji1] wanaume mliozaa na michepuko huu Uzi umewaumiza Sana, my friend sitaki uje uzeeke vibaya jifunze kwa mzee baba mleta mada, usije lia humu ooooh sipendi uangamie tena umri ukishaenda oooh,
Hahah nimejifunza mengi, na kuelewa, ila na nyie fanyeni kazi acheni kutega madanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…