Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Dah...unatutesa Kama anavyokutesa bi mdogo, Sasa jamani tutaguess Nini hapo? Unataka tukushauri au unatuhadithia tu ili tuanze ku guess.....malizia bwana wahenga wenzio tunasubiri
[emoji23][emoji23]katika ubora wako mama
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Sijawahi kuwa na ld mbili,am not a Coward kama watu wengine.Mchepuko sina hata mmoja,nimeanza likizo Jana nipo nyumbani na wife,nimetulia.Dini yangu inaruhusu kuoa wake zaid ya mmoja,lakini nafsi yangu haijawahi kuwaza kuishi na wake wawili.Moyo hauwezi kabisa.
Sasa povu la Nini kwa kila mtu akiandika usichopemda, hata ukioa wake 100 that's ur business my dear, no need of justification just do what you want
 
Hivi ninavyoandika hapa, tuligombana sana mpaka kumtupia nguo zake na vitu nje, hiyo ilikuwa tar 4 mwezi huu,
Kisa nilishachoka kuondoka bila kuaga, sasa anasema amekodi mashamva huko moro, aliniaga anaenda nikamkatalia, akaenda kwa nguvu, alivyorudi nikamfukuza, na ugonvi mwingi mpaka watoto wakachangia kunitamkia maneno machafu,

Majirani wakaja wakawaombea, nikawaruhusu waingie ndani, tar 9 Jan yaani siku 4 tu toka nimkataze kwenda moro, kaenda tena bila ruhusa yangu,

Hajarudi mpaka leo,

Ila juzi nilipata taarifa ameonekana anatelemshwa Na gari ya jamaa ambaye nilishamtuhumu kuwa ana mahusiano naye kimapenzi, na hata mwezi wa 11 mwaka jana nilifuma message yake akimwalifu tayari yupo Dar

Nikaamua kumpigia simu huyo bwana nakamkoromea kuwa anaharibu famlia yangu akakataa

Baadaye ni kamuuliza bi mdogo huyo bwana anafanya shughuli gani akasema hafahamu,

Baada ya kuulizia nikasikia baba yake kastaafu kazi ya ualimu kamfungulia duka la nguo,

Hapo nyuma huo mwezi wa kumi na moja mke wangu alinionesha vi tisheti vitatu vipya na kitenge kuwa kanunua kumbe jamaa alipokuja Dar alimhonga
Bro kumbuka UKIMWI bado upo !
 
Very true. Yaan najua kabisa fulani anaye mtu wake ambaye anajulikana officially halafu eti aseme na yeye ni first priority.
Mdogo wangu tu mwenyewe toka awe na mchumba sina story nae tena sembuse mume wa mtu?

Kila mwanamke anatamani kuwa na mtu ambaye atamuweka yeye kama 1st priority kwake. Nianze tu kumpenda mume wa mtu nijiachie kabisa na kushindana na mke halali. Hakuna mapenzi hapo toka awali. Mzee wetu amekua zima moto
Ni amateur katika michepuko huyo! Atuulize wakubwa zake baadala ya kuomba misaada hata kwa mapadre wa JF ambao hawajui raha na subiri za ndoa. Achilia mbali vichelema vya JF.

Mchepuko ukiona hakuna faida kwako inatengeneza mradi mwingine. Sasa huyu dogo maskini bila uzoefu akawa analazimisha. Michepuko ni ghali sana na ukubali kuiacha ikichoka si mpaka kupigana. Utapiganaje na mchepuko hata akiwa Bi Mkubwa. Si unaondoka na briefcase yako. Mtoto unaendelea kumsomesha na kumtunza. Siamini kuna mwanamke anaweza kuwa zaidi ya damu yangu (DNA huwa tunahakikisha). Bi mkubwa asipowapokea aamue kunyoa au kusuka
 
You are so bitter. We we ni single mother au mchepuko wa MTU.
Sijafikiria kuwa single mother mkuu, na hata nikiamua kuzaa sijali maneno ya wajinga sio single mother Mimi ka mwanamke nilipewa kei nizae hzo single mother mnazosema huwa ni maneno ya wanaume machoko wa JF. How can you insult someone coz of giving birth,[emoji1][emoji1][emoji1] hilo sio tusi na hata kuwa mchepuko sio dhambi ka nyie mnachepuka hamna akili mnalia Lia humu baada ya kupigwa matukio na mnazeeka wenyewe ka wachawi
 
Pole kaka kwa masumbuko kwa mwanamke asiyekuwa na utu wala fadhila.Anataka nyumba iuzwe tafuta mteja aje kuinunua kwa pesa ulizompa wewe ili mgawane yeye aondoke uchukue nyumba yako.Tafuta mteja wa bei rahisi umpe nusu ya total amount ambayo itakuwa half the real amount.kwa mfano tafuta mteja wa 45 million usrme inalipwa installment 4,kumbe unatoa wewe pesa zake 22.5 m kwa instalment mbili akuondokee.Achana na kumfuatilia anaenda wapi anarudi lini,acha kujua nyendo zake.
Wewe ni MTU mzuri na strong you can survive this.pia watoto usiwatupe hawajui wanachofany kwa sababu ya mama yao.Walipie ada kama unaweza,hilo ni jukumu lako.kama unaona huwezi wahamishie kayumba wajue mama yao hana msaada kwao.
LA mwisho kaka ukishanunua nyumba iache kwa muda usikae hapo imalizie kidogokidogo.
Muda mwingi kaa na shemeji mkubwa ila uwe unaweka vikao vya familia na watoto uwaambie mapungufu yao yote ya kukutumia 120,000/ kwa miaka yote.Mwambie shemeji mkubwa aongee na watoto wajue wewe ni baba yao na umehangaikia hapo walipo.Mwisho kwa utaratibu na upole ukiona nyumban pametulia mueleze shemeji mkubwa kuhusu hao watoto wengine maana,shemeji mdogo akipigwa na maisha atataka kurudi aje akuharibie maisha nyumbani.
Hadi ulipofikia una mapungufu ya kibinadamu,.Amini kaka Mwitore humu muna watu wanamajanga wakiyasema utaona wewe huna shida..
Kuwa makin na single mother's ambao ni opportunist's watakufuata inbox ambao ni wafuatao:
1 Shunie..
2 Espy.
3 Carha.
4 Witness J
5 Mandenyi.
Maya Angelou ni mja mzito msamehe ni hiyo hali yake

[emoji16][emoji16]
 
Hii yangu mbona, mi huwa mara nying msomaji hivo najua timbwili lako, hivo jiskie huru bibie!! Jiskie upo sebleni chumbani[emoji28]
[emoji1][emoji1][emoji1] wanaume mliozaa na michepuko huu Uzi umewaumiza Sana, my friend sitaki uje uzeeke vibaya jifunze kwa mzee baba mleta mada, usije lia humu ooooh sipendi uangamie tena umri ukishaenda oooh,
 
Sijafikiria kuwa single mother mkuu, na hata nikiamua kuzaa sijali maneno ya wajinga sio single mother Mimi ka mwanamke nilipewa kei nizae hzo single mother mnazosema huwa ni maneno ya wanaume machoko wa JF. How can you insult someone coz of giving birth,[emoji1][emoji1][emoji1] hilo sio tusi na hata kuwa mchepuko sio dhambi ka nyie mnachepuka hamna akili mnalia Lia humu baada ya kupigwa matukio na mnazeeka wenyewe ka wachawi
Huna haja ya justification do whatever pleases u!
 
Hatujawasiliana toka aondoke kesho anafunga mwezi,
Namshukuru Mungu sasa hivi wala roho yangu haiumii tena, nimeshamwona taka taka, na kusema kweli na mchukia vibaya sana, usiku na mchana naomba asirudi maana sijui ninaweza kumfanya kitu gani



Ameshanitamkia kuwa yupo hapa kwa ajili ya nyumba tu sisi mimi,

Ameshanitamkia mpaka tugawane vyumba,
Kama sio ufala uko nayo kichwani unahangaika na nini na unasema uko na bi mkubwa? Yaan apo pata shida uone km uyo mchepuko wako atakumbuka km uliwahi kuwa mpenzi wake
 
Hivi huyu shetani tumemkosea nini sie wanadamu?! Huyu bwana bifu lake si na Mungu?! Sasa kisa cha kutuandama wanadamu ni nini wakati yeye bifu lake ni na Mungu Baba?! Hebu angalieni. Kutokana na stori kuwa lirefu sana ikafika wakati nikaamua nisome kwa haraka haraka (kuperuzi) na kwahiyo baadhi ya mistari nikawa nairuka. Sasa shetani alivyo mwanaharamu, nilipofika kwenye quote hiyo hapo, paragraph ya kwanza sikuiona na badala yake macho yakaenda kutua palipoandikwa " Wakati watu wengine wamelala, mimi nikapata viwili." Eti shetani akaniaminisha "ukapata bao mbili za chapchap huku raia wakiwa wamepiga mbonji! NIkajua ni bao zetu zile kupitia ulaji tunda kimasihara! Swali lililopita kichwani fasta fasta ulikula tunda kimasihara na kupata 2 chap chap kwa mazingira gani! Ehee! Naanza kusoma tena kumbe ulipata viwanja viwili!!

Nahama kanisa, nahitaji upako kwa kweli!!
Nenda KAWE kapokee UPAKO wa kibabe..
 
[emoji1][emoji1][emoji1] wanaume mliozaa na michepuko huu Uzi umewaumiza Sana, my friend sitaki uje uzeeke vibaya jifunze kwa mzee baba mleta mada, usije lia humu ooooh sipendi uangamie tena umri ukishaenda oooh,
Hahah nimejifunza mengi, na kuelewa, ila na nyie fanyeni kazi acheni kutega madanga.
 
Back
Top Bottom