Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Unaona sasa MAZEE?
Uza nyumba mgawane ubaki na Uhai
 
Wewe Eli I'm not bitter SEMA hii mada imewagusa wanaume bwana makando yenu msinione mubaya kikubwa jifunzeni kwa mleta mada Basi acheni emotions zenu aisee, kuchepuka wachepuke wengine then Mimi mnituhumu why?
Wanaume mumeumia mtajiju Sana, mliambiwa muishi na wanawake kiakili hamsikii mengine mwajitakia then Mimi ndo mubaya kwahyo wanaochepuka Mimi ndo huwa nawasimamishia?[emoji1][emoji1][emoji1]wewe elli wewe.
 
Ukifuatilia utagundua wanaume wengi humu wanaelewa wakati alio nao huyu jamaa, wanawake wameshasoma mwisho wa story wanashangaa. Lazima tuwapongeze kwa kuona mbali, lakini pia tuelewe roho zao.
[emoji23][emoji23] akili ya mwanamke inaonaga extra miles aisee
 
LIMBWATA LIPOOOO
 
Mkuu, umeongea vizuri Ila hapo mwisho umekosea...
Ukifanya personal attack unakuwa huna tofauti na wanaotukanana tu.
 
[emoji1][emoji1][emoji1]Mimi single mother na siwezi mfata huyu mzee maana hajiamini ana stress asije nifia bure loh
 
Unawashwa eneo gani tukukune[emoji2369][emoji2369][emoji2369]
 
Imeandikwa, "mtu hataishi kwa mkate tu"[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu, umeongea vizuri Ila hapo mwisho umekosea...
Ukifanya personal attack unakuwa huna tofauti na wanaotukanana tu.
Sorry nimekasirika nikashindwa kujizuia,maana tangu huu Uzi uanze wanamuatack tu kaka Mwitore,
 
Mzee kwanza shikamooo na pole kwa uliyopitia

Ushauri acha kujibu koment maliza story halafu watu tuje kukushaur naona watu wanatoa ushaur kabla hujamaliza
Ataanza kukujibu na ww pia, nyio wote mngekausha bila kujibu angetiririka mpaka mwisho!
 
Nenda Manda mazingara au mkange Bagamoyo akatolewe jini mahaba huyo.Atatulia kama moja,wanawake wengi wa ukanda wa pwani wanasumbuliwa sana na hayo madude,alafu usimpige,kaa naye muulize anataka nn?hata ukitafuta mwingine ni yale yale,piga paipu 2*3,kula pweza,mihogo nazi.
 
Maisha yana changamoto nying sana. Piga moyo konde.

Subscribed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…