Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Unatuonea wivu, haya mchukue wengine tushaacha kufanywa.
 
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]daahh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui kaka zenu humu kila shida zao hasira wanatupia kwa wanawake?

Mtu amsaliti mkewe lawama atupiwe mchepuko kweli?
Yaani wananichekeshaga, kwa kujifanyaga victims sasa utafikiri huwa wanashikiwa bunduki.

Mabalaa wanayafukunyua wenyewe, yakiwafika kooni lawama zooote kwa wanawake. Sasa Mungu sijui aliwapa akili za kuvukia barabara[emoji2297][emoji2297]
 
22-sep bado mahusiano sio mazuri sana, nimevurugikiwa na ujio wa yule mwanaume hapa nyumbani,
Kwa story yako mpk hapoo!mke mkubwa na watoto wake wanajua kila kitu nakuambia sema wanakuchora tu kama wajinga vilee ndo maana madogo wanakudiss na kiukweli lemme be honesty ulibase sana kulala huku kwa bimdogo mnoooooo yaani yaonesha ubavu ulizidi sehemu moja baba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pole sana! kwanini hiyo nyumba usiiuze tu ili roho yake itulie? then urudi kwa bi mkubwa maana huko mnako elekea ni kuuuna siku anaweza kukutamkia neno baya na wewe hasira zikakupanda ukapiga ukaua. maisha yako yakaishia jela.
 

Kukubali ombi lake ulichemka sana, unathubutu vipi kutokuaminiwa na unathubutu vipi kumwamini yeye ilihali hamna ndoa na tayari kashaanza figisu?
 
Hii shida yote ni katika kuficha dhambi ya mchepuko imekufikisha hapa.
Ukweli humuweka mtu huru ongea na mkeo wa ndoa juu ya hii shida labda mcheps anapata nguvu ya kufanya hivi akijua ana karata moja nzuri ya mkeo.
Nina swali binafsi ikiwa siku za mbeleni ukaja kusikia mkeo wa ndoa moja au wawili ya watoto unao dhani ni wako sio damu yako utafanyaje?? nasubiri majibu
 
Hata hasira ninazo basi mamiloo...

Huwa makasiriko yako kwenye nyuzi za watu huwa ni makubwa....
Au kuna shida kisaikolojia????
Mkuu uzae hovyo then unahukumu Mimi kweli kwa kukosa kwako self control kweli, Mimi nitasema ukweli mchungu hayo ya makasiriko Sina mda nayo dawa hata ikiwa chungu shurti imezwe mgonjwa apone
 
Kama wewe!something is not OK upstairs.You are so toxic.
According to ur thinking capacity and how you view, no problem at all[emoji1][emoji1]mkuu wewe na huyu Babu mnashare matatizo ya kujitakia pole Sana, mkome
 
[emoji23][emoji23][emoji23] dah. Asante kwa kunifurahishaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…