kuna wapumbavu wachache wamebahatika kusoma na kupata kazi bila kukaa mtaaniNimejifunza, ukileta story hapa ili upate ushauri, utakutana na judgements tu. Siku hizi watu hawatoi ushauri mkuu, you'll be judged juu chini mzee. Ni kama vile unawaandikia malaika wasiozini au wasiotenda dhambi yoyote. Mara mtu ana 50yrs ni kibabu, kizee kimeshajishindwa.
Tunachosahau ni kuwa hakuna asiyeteleza, dunia hii nani amenyoosha life lake lisiwe na makandokando.
Tujifunze kupitia changamoto alizopitia ili tusifike huko.
Mie nahisi kama ushauri wako sio realistic kama unavyomtaka mleta mada awe realistic. Haya ni maisha and we live once. Huyo unayemuita "mchepuko" naye ni binadamu na ana moyo wa nyama unaoumia kama binadamu mwingine. Binafsi ndoa ni ule uridhiano wa wawili kuishi pamoja. Hayo mengine ya kanisani au misikitini ni makaratasi tu na formality za kumanipulate ubongo wetu uamini kuwa ndoa ni hicho kipande cha karatasi. Bi mdogo na bi mkubwa wote wana nafasi sawa tu. Wote ni wanawake na wote wamezaa na jamaa. Hicho kikaratasi cha ndoa hakimfanyi bi mkubwa kuwa tofauti na mwenzake. Hebu niambie tofauti ni ipi kati ya bi mkubwa na bi mdogo ukiweka pembeni hicho cheti cha ndoa? Wote ni wanawake, wote wamezaa na wote wanapendwa na mleta mada.
Mimi sitegi madanga kwa kweli nasema mnyooshwe kabisa Hadi muwe vichaa wanawake huwa mnatuchukulia poa eeeh shauri yenu, kuweni makini jamani sasa huyu mzee pressure inaweza muua ikasingiziwa corona inaumiza Sana kutendwa utu uzimani oooh, dah Mungu waepushia kaka zangu na huu ujinga wallahHahah nimejifunza mengi, na kuelewa, ila na nyie fanyeni kazi acheni kutega madanga.
Dah.. hata kukulaumu siwezi... maskini. Huyu dada nimeamini ni shetaniJan mwanzoni wanarudi tena naamua ngoja tu wakae,
32-Jan hiyohiyo wote wanarudi shuleni kwao
33- January nasikia amerudi analadhimisha apewe funguo, akakataliwa mpaka mimi niwaambie kwa mdomo wangu hao majirani zangu akagombagomba hapo mwishoe aondoke
34 - kesho yake mchungaji akaniita na mke wangu kuomba arudi ndani,
35,-baada ya mazungumzo marefu, anatamkia mchumgaji hii nyumba ni yake, mimi nilishachukua fungu langu, yaani ile mil 15
Dah ila vikombe vingine kuvinywea ni ngumu, one mistake one goal ooohImeandikwa, "mtu hataishi kwa mkate tu"[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kaka usemacho.Humu sometimes wengine watatumia hyo km fimbo kukuchapa ktk baadhi ya maeneo yaani badala ya msaada au wengine wajifunze wanaishia kukunanga mpk baasiNimejifunza, ukileta story hapa ili upate ushauri, utakutana na judgements tu. Siku hizi watu hawatoi ushauri mkuu, you'll be judged juu chini mzee. Ni kama vile unawaandikia malaika wasiozini au wasiotenda dhambi yoyote. Mara mtu ana 50yrs ni kibabu, kizee kimeshajishindwa.
Tunachosahau ni kuwa hakuna asiyeteleza, dunia hii nani amenyoosha life lake lisiwe na makandokando.
Tujifunze kupitia changamoto alizopitia ili tusifike huko.
Well said broNaweza kusema alijisahau sana, side chick alichukua hisia zote Ila nakubali kitu kimoja, hakuacha familia nyuma, wengine hapa wametelekeza familia kabisa, watoto wameshindwa kusoma, mama amedevelop sonona lakini huyu kajitahidi pamoja na kuanguka hakusahau watoto, wamesoma na wana maisha yao. Hiyo ni point ya kuichukua, do whatever you do...usiache watoto kama yatima.
Tukumbuke tu kuwa wengi hapa dhambi ya uzinzi inatutafuna, nashangaa tukirusha mawe wakati tunaishi nyumba ya vioo.
KWA hizi ndoa za kina darleen na mzee Yusufu kwa kweli hzo ndoa tuwaachie waswahili ndoa miezi talaka na ugomvi juu daily kwa kweli hongera zaoUsikariri pia kwa kua mitala haina Amani basi ndo kote ,wapo wenye mitala na wako poa kama hao wenye single wife wanavoishi kwa amani pia.Sio kila mitala ina shida ndani yake
Sent using Jamii Forums mobile app
AmenSijawahi kuwa na ld mbili,am not a Coward kama watu wengine.Mchepuko sina hata mmoja,nimeanza likizo Jana nipo nyumbani na wife,nimetulia.Dini yangu inaruhusu kuoa wake zaid ya mmoja,lakini nafsi yangu haijawahi kuwaza kuishi na wake wawili.Moyo hauwezi kabisa.
Nimependa hapo mwishoni, mara moja moja basi uwe unakuwa mpole.Mimi sitegi madanga kwa kweli nasema mnyooshwe kabisa Hadi muwe vichaa wanawake huwa mnatuchukulia poa eeeh shauri yenu, kuweni makini jamani sasa huyu mzee pressure inaweza muua ikasingiziwa corona inaumiza Sana kutendwa utu uzimani oooh, dah Mungu waepushia kaka zangu na huu ujinga wallah
[emoji23][emoji23][emoji23] hawa ambao hawajsoma ni shida tupuJuzi kuna rafiki yangu,staff nwenzangu kanionyesha text kaulizwa unanpenda,akajibu akaulizwa unanpenda nijiendeleze kielimu?nikacheka
Baasi watoto wakubwa na mke wanajua kama una mke mwingine ndugu [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]ila mama mkwe jamani ,hawa wamama zetu unalala kwa bimdogo ambae hajulikani.Ndugu wa mume shikamoooni aseehhJamani mambo na visa ni vingi sana kuliko mnavyo fikiri, naona comment nyingine zinachoma haswa,
Niombe nikate story short, nasubirie tu ushauri wenu,lakini toka huo mwaka 2018,
Alirudi nikamkubiria kukaa ,
Lakini visa nivikubwa zaidi, zaidi sana, mpaka nahisi kama ameheuka,
Nimeshaitisha Vinson’s zaidi ya nane,
Nimeshampiga mpaka jicho likataka kutoka
keshanipeleka polisi
Nimeshampleka ustawi wa jamii,
Ambapo alitaka tugawane nyumba baada ya kuuzwa
Nimeshafungua kesi mahakama ya wilaya
Tumehudhuliamala nane, nikaifuta baada ya kuona, mwenendo wake kama gakutegemea nitaanda mahakamani ili tuachane, ingawa keshanieleza mala kibao tuachane, nilivyofanya kweli akapooza sana
Ameendelea kwenda kwenye huko polini kwa nguvu bila ruhusa yangu zaidi hata mala 20
Ameshatangaza kwa majirani sana kwamba mimi sitaki wageni ingawa ni uongo, mpaka hapa nyumbani napachukia
Baadhi ya ndugu zangu wanamfahamu, hata mama yangu alishakuja kwake na akalala
Kutokana na visa vyake ndugu zangu hawampendi
Nilishawapeleka watoto nyumbani kwa bibi yao yaani mama yangu wakakaa huko kama wiki moja, na mmoja anasoma huku huko
Kila dalili hawapendi kukaa kule
Majina ya watoto niliyafuta kwa hati nikaweka yangu
Woow[emoji7]Sijawahi kuwa na ld mbili,am not a Coward kama watu wengine.Mchepuko sina hata mmoja,nimeanza likizo Jana nipo nyumbani na wife,nimetulia.Dini yangu inaruhusu kuoa wake zaid ya mmoja,lakini nafsi yangu haijawahi kuwaza kuishi na wake wawili.Moyo hauwezi kabisa.
Wanajikutaga wao malaika. Hawakosei ndo maana makosa yote wanatupia kwetuYaani wananichekeshaga, kwa kujifanyaga victims sasa utafikiri huwa wanashikiwa bunduki.
Mabalaa wanayafukunyua wenyewe, yakiwafika kooni lawama zooote kwa wanawake. Sasa Mungu sijui aliwapa akili za kuvukia barabara[emoji2297][emoji2297]
Baasi watoto wakubwa na mke wanajua kama una mke mwingine ndugu [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]ila mama mkwe jamani ,hawa wamama zetu unalala kwa bimdogo ambae hajulikani.Ndugu wa mume shikamoooni aseehh
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1]sawa mkuuNimependa hapo mwishoni, mara moja moja basi uwe unakuwa mpole.
Naona mashkolo.Wao wanasimama na mwanaume mwenzao na sisi tunasimama na mwanamke mwenzetu yule wa ndoa kila mtu apambane na hali yake
Hivi kwanza umeshaelewa au unajicommentisha tu
Bado unampenda mmnooo tena sana si rahisi km unavyodhani kumtema.Unamchukia kwa kua unampendaHatujawasiliana toka aondoke kesho anafunga mwezi,
Namshukuru Mungu sasa hivi wala roho yangu haiumii tena, nimeshamwona taka taka, na kusema kweli na mchukia vibaya sana, usiku na mchana naomba asirudi maana sijui ninaweza kumfanya kitu gani
Ameshanitamkia kuwa yupo hapa kwa ajili ya nyumba tu sisi mimi,
Ameshanitamkia mpaka tugawane vyumba,