Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Nimejifunza, ukileta story hapa ili upate ushauri, utakutana na judgements tu. Siku hizi watu hawatoi ushauri mkuu, you'll be judged juu chini mzee. Ni kama vile unawaandikia malaika wasiozini au wasiotenda dhambi yoyote. Mara mtu ana 50yrs ni kibabu, kizee kimeshajishindwa.

Tunachosahau ni kuwa hakuna asiyeteleza, dunia hii nani amenyoosha life lake lisiwe na makandokando.

Tujifunze kupitia changamoto alizopitia ili tusifike huko.
kuna wapumbavu wachache wamebahatika kusoma na kupata kazi bila kukaa mtaani

mahusiano ndo wameanza basi wanahisi wamemaliza kila kitu

mtu hata kulogwa hajawahi unategemea atashauri nn
 
Mie nahisi kama ushauri wako sio realistic kama unavyomtaka mleta mada awe realistic. Haya ni maisha and we live once. Huyo unayemuita "mchepuko" naye ni binadamu na ana moyo wa nyama unaoumia kama binadamu mwingine. Binafsi ndoa ni ule uridhiano wa wawili kuishi pamoja. Hayo mengine ya kanisani au misikitini ni makaratasi tu na formality za kumanipulate ubongo wetu uamini kuwa ndoa ni hicho kipande cha karatasi. Bi mdogo na bi mkubwa wote wana nafasi sawa tu. Wote ni wanawake na wote wamezaa na jamaa. Hicho kikaratasi cha ndoa hakimfanyi bi mkubwa kuwa tofauti na mwenzake. Hebu niambie tofauti ni ipi kati ya bi mkubwa na bi mdogo ukiweka pembeni hicho cheti cha ndoa? Wote ni wanawake, wote wamezaa na wote wanapendwa na mleta mada.

With all due respect; hata tuipambaje hakuna siku mke akawa na thamani sawa na mchepuko. Tena kumuita mchepuko ni tunapunguza tu ukali wa maneno/kiubinadamu, ila Kibiblia anaitwa "KAHABA/MALAYA" Huku mke anaitwa "KITU CHEMA", na mke mwema anatoka kwa BWANA.

Mithali 18:22
"Apataye mke apata kitu chema; naye apata kibali kwa BWANA".

Mithali 23:27
"Kwa maana kahaba ni shimo refu.....

Mithali 6:26
"Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani".

Na mbele za Mungu kuna agano la ndoa tu; hakuna agano la wazazi wenza. Hata uzae na mtu watoto 100 na huku mkeo hujazaa naye hata mtoto mmoja; bado mkeo atabaki tu kuwa mke. Ndiyo maana hata Hajir pamoja na kuzaa mtoto na Ibrahim ilihali mkewe Sarah hajamzalia, bado thamani/heshima ya Hajir haikupanda akaitwa mke; aliendelea kuwa kijakazi tu. Tena afadhali hata ya mtu ambaye mlizaaga huko ila hamkufanikiwa kuzaa; huyo tutamwita mzazi mwenzako. Lakini ya kwenda kuzaa na mume wa mtu utaitwa kahaba tu period. So haiwezekani, in this life and the next, mke na mchepuko wakawa sawa.

Malaki 2:14
Lakini ninyi mwasema, Ni kwa sababu gani? Ni kwa sababu BWANA amekuwa shahidi kati ya wewe na mke wa ujana wako, uliyemtenda mambo ya hiana, angawa yeye ni mwenzako, na mke wa agano lako"

Sasa mtende mke wa ujana wako; useme kisa unafanya kwa "heshima" humuonyeshei basi ni sawa tu. Lakini sio sawa at all, na utalipia gharama yake

Ndoa na iheshimiwe na watu wote; vivyo hivyo na Mke

N:B Sijacomment ili kumtia unyonge baba wa watu na mkewe mdogo; nilikuwa nasahihisha tu ulichokiandika. Mke sio sawa na mchepuko. Ukiona huwezi kumfanya binti wa watu mke; muache akae asubiri mumewe.
 
Hahah nimejifunza mengi, na kuelewa, ila na nyie fanyeni kazi acheni kutega madanga.
Mimi sitegi madanga kwa kweli nasema mnyooshwe kabisa Hadi muwe vichaa wanawake huwa mnatuchukulia poa eeeh shauri yenu, kuweni makini jamani sasa huyu mzee pressure inaweza muua ikasingiziwa corona inaumiza Sana kutendwa utu uzimani oooh, dah Mungu waepushia kaka zangu na huu ujinga wallah
 
Jan mwanzoni wanarudi tena naamua ngoja tu wakae,
32-Jan hiyohiyo wote wanarudi shuleni kwao

33- January nasikia amerudi analadhimisha apewe funguo, akakataliwa mpaka mimi niwaambie kwa mdomo wangu hao majirani zangu akagombagomba hapo mwishoe aondoke
34 - kesho yake mchungaji akaniita na mke wangu kuomba arudi ndani,

35,-baada ya mazungumzo marefu, anatamkia mchumgaji hii nyumba ni yake, mimi nilishachukua fungu langu, yaani ile mil 15
Dah.. hata kukulaumu siwezi... maskini. Huyu dada nimeamini ni shetani
 
Nimejifunza, ukileta story hapa ili upate ushauri, utakutana na judgements tu. Siku hizi watu hawatoi ushauri mkuu, you'll be judged juu chini mzee. Ni kama vile unawaandikia malaika wasiozini au wasiotenda dhambi yoyote. Mara mtu ana 50yrs ni kibabu, kizee kimeshajishindwa.

Tunachosahau ni kuwa hakuna asiyeteleza, dunia hii nani amenyoosha life lake lisiwe na makandokando.

Tujifunze kupitia changamoto alizopitia ili tusifike huko.
Kweli kaka usemacho.Humu sometimes wengine watatumia hyo km fimbo kukuchapa ktk baadhi ya maeneo yaani badala ya msaada au wengine wajifunze wanaishia kukunanga mpk baasi
Humu kuna majitu yanajiona malaika mnooo na wao ndo wamekamilika.
Mimi bado namuonea huruma huyu baba mnooo!sijui kwa nini!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimefuatilia tangu mwanzo kimya kimya na ninaweza kusema machache kama ifuatavyo;
1. Katika mtiririko wa story yako ulisema uanonyesha una maisha ya huzuni sababu ya purukushani za mke mdogo, lakini bado unatuaminisha mke mkubwa hajui kitu. Hii inatafsiri moja kuwa inawezekana hata kwa mke mkubwa pia mambo sio mazuri ndio maana hakuzingatii kuijua saikolojia yako. Kumbuka awali ulisema mlikuwa na mizozo kabla mama mzazi hajakupa ushauri kiaina utafute mchepuko mbali na pale.
2. Mwishoni unakiri kuwa hii nyumba inayokunyima amani ina thamani karibu 300M endapo utaamua kuiuza,hata kama ukiamua kugawana na mke mdogo utapata karibu 150M na ukaanza maisha yako mazuri bila karaha za bi mdashi. Maisha yangu yote nimekuwa nikiamini amani ndio kitu namba moja kwenye maisha ya mwanadamu.
3. Niwakati muhimu kuwaunganisha wanao wajuana na automatically mzozo unaweza kuisha maana watakusaidia mawazo kuliko hapa JF kuliko na wajuaji wengi wapotoshaji.
Asante sana
 
Naweza kusema alijisahau sana, side chick alichukua hisia zote Ila nakubali kitu kimoja, hakuacha familia nyuma, wengine hapa wametelekeza familia kabisa, watoto wameshindwa kusoma, mama amedevelop sonona lakini huyu kajitahidi pamoja na kuanguka hakusahau watoto, wamesoma na wana maisha yao. Hiyo ni point ya kuichukua, do whatever you do...usiache watoto kama yatima.

Tukumbuke tu kuwa wengi hapa dhambi ya uzinzi inatutafuna, nashangaa tukirusha mawe wakati tunaishi nyumba ya vioo.
Well said bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usikariri pia kwa kua mitala haina Amani basi ndo kote ,wapo wenye mitala na wako poa kama hao wenye single wife wanavoishi kwa amani pia.Sio kila mitala ina shida ndani yake

Sent using Jamii Forums mobile app
KWA hizi ndoa za kina darleen na mzee Yusufu kwa kweli hzo ndoa tuwaachie waswahili ndoa miezi talaka na ugomvi juu daily kwa kweli hongera zao
 
Mimi sitegi madanga kwa kweli nasema mnyooshwe kabisa Hadi muwe vichaa wanawake huwa mnatuchukulia poa eeeh shauri yenu, kuweni makini jamani sasa huyu mzee pressure inaweza muua ikasingiziwa corona inaumiza Sana kutendwa utu uzimani oooh, dah Mungu waepushia kaka zangu na huu ujinga wallah
Nimependa hapo mwishoni, mara moja moja basi uwe unakuwa mpole.
 
Jamani mambo na visa ni vingi sana kuliko mnavyo fikiri, naona comment nyingine zinachoma haswa,
Niombe nikate story short, nasubirie tu ushauri wenu,lakini toka huo mwaka 2018,
Alirudi nikamkubiria kukaa ,

Lakini visa nivikubwa zaidi, zaidi sana, mpaka nahisi kama ameheuka,

Nimeshaitisha Vinson’s zaidi ya nane,

Nimeshampiga mpaka jicho likataka kutoka

keshanipeleka polisi

Nimeshampleka ustawi wa jamii,
Ambapo alitaka tugawane nyumba baada ya kuuzwa

Nimeshafungua kesi mahakama ya wilaya

Tumehudhuliamala nane, nikaifuta baada ya kuona, mwenendo wake kama gakutegemea nitaanda mahakamani ili tuachane, ingawa keshanieleza mala kibao tuachane, nilivyofanya kweli akapooza sana

Ameendelea kwenda kwenye huko polini kwa nguvu bila ruhusa yangu zaidi hata mala 20

Ameshatangaza kwa majirani sana kwamba mimi sitaki wageni ingawa ni uongo, mpaka hapa nyumbani napachukia

Baadhi ya ndugu zangu wanamfahamu, hata mama yangu alishakuja kwake na akalala

Kutokana na visa vyake ndugu zangu hawampendi

Nilishawapeleka watoto nyumbani kwa bibi yao yaani mama yangu wakakaa huko kama wiki moja, na mmoja anasoma huku huko

Kila dalili hawapendi kukaa kule

Majina ya watoto niliyafuta kwa hati nikaweka yangu
Baasi watoto wakubwa na mke wanajua kama una mke mwingine ndugu [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]ila mama mkwe jamani ,hawa wamama zetu unalala kwa bimdogo ambae hajulikani.Ndugu wa mume shikamoooni aseehh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kuwa na ld mbili,am not a Coward kama watu wengine.Mchepuko sina hata mmoja,nimeanza likizo Jana nipo nyumbani na wife,nimetulia.Dini yangu inaruhusu kuoa wake zaid ya mmoja,lakini nafsi yangu haijawahi kuwaza kuishi na wake wawili.Moyo hauwezi kabisa.
Woow[emoji7]

So many congrats brother. Much respect to u. Hongera sana sana sana. Umeepuka shari kubwa. Hakujawahi kuwa na usawa asilani katika ndoa ya zaidi ya mke mmoja. Na shetani akupitie mbali.

That was so deep.
 
Yaani wananichekeshaga, kwa kujifanyaga victims sasa utafikiri huwa wanashikiwa bunduki.

Mabalaa wanayafukunyua wenyewe, yakiwafika kooni lawama zooote kwa wanawake. Sasa Mungu sijui aliwapa akili za kuvukia barabara[emoji2297][emoji2297]
Wanajikutaga wao malaika. Hawakosei ndo maana makosa yote wanatupia kwetu
 
Tena shikamoo yao kubwa; wanasubiri siku za misiba (God forbid), ndiyo watoa taarifa wakuu. Sio kwa surprise hizi kwenye misiba ya siku hizi
Baasi watoto wakubwa na mke wanajua kama una mke mwingine ndugu [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]ila mama mkwe jamani ,hawa wamama zetu unalala kwa bimdogo ambae hajulikani.Ndugu wa mume shikamoooni aseehh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatujawasiliana toka aondoke kesho anafunga mwezi,
Namshukuru Mungu sasa hivi wala roho yangu haiumii tena, nimeshamwona taka taka, na kusema kweli na mchukia vibaya sana, usiku na mchana naomba asirudi maana sijui ninaweza kumfanya kitu gani



Ameshanitamkia kuwa yupo hapa kwa ajili ya nyumba tu sisi mimi,

Ameshanitamkia mpaka tugawane vyumba,
Bado unampenda mmnooo tena sana si rahisi km unavyodhani kumtema.Unamchukia kwa kua unampenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom