Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Kwahiyo ulitakiwa niseme nini hapo na umeona mchepuko umebadilika baada ya jamaa yake kutokuwa na pesa
Una uhakika sikuwa na pesa, pesa ilikuwepo na nilikuwa nampa ya kutosha 400000 kwa mwezi ndogo hiyo
 
Mwitore ni muongo! Alimpata huyo mchepuko akiwa na miaka 20, wameishi miaka 18 na sasa ana miaka 42. Hapo piga hesabu angalikuwa na miaka 38. Pili fumanizi zote tangu watoto wanamwambia rudi kwenu, yupo tu. Tatu analala kwa bi mdogo bila bi Mkubwa kusituka miaka yote 18. Huyo ni mke au jini. Hii story ya kubumba akina Shunie cariha Espy angalieni anawachota
 
Yes. Scenarios zinatofautiana. Lakini asizidi kujikoroga. Arudi kwa mke mkubwa. Toka mwanzo ndo ushauri wangu.

Yaan ktk maisha hakuna kitu napenda kama siko aware na jambl halafu mtu anifate aniombe msamaha na kuelezea kila kitu. Huwa nakua mwelewa sana. Nasamehe kiroho safi. Hawa wake waheshimiwe jamani. Waheshimiwe sana. Na hata single mothers pia tusiwatukane. Wengine ni wajane. Waume zao walishafariki. Kuwa single mother si dhambi wala makosa. Kila mtu ana madhaifu yake. Tuwaachw tu. Isiwe kama vile ni dhambi kuwa single mother. What if wengine hapo wameoleea ila Michepuko kama hii ndo imeingilia ndoa za watu?

Hapa adui ni huyu mchepuko. Anajua mwenzie ana mke. Naamini kabisa ametumia nguvu za giza. Na kama ndo yuko local hivyo ndo kabisaa.... kuna wanawake wakishaonaga mwanaume ana gari wanapagawa kabisa. Wanakosa hata pa kuhemea. Eti nina mimba yako ukiniacha najiua.. mamake wakambo... yaani nawish ningekua na urafiki na huyu mzee.. huo mchepuko ungenitambua. Na ningemleta mpk mke mkubwa halaf ajiue kama alishachoka kulalia huo mkeka.

Lakini pia mzee hapa hajafunguka.. alianzaje kupeleka vitu from.nowhere kama si qlishaanza vutika na binti pasipo mshirikisha jamaa... kwann hakumuuliza jamaa yake binti ana madhaifu gani hadi kumfukuza. Yaan huyu alikuja town maisha ni mbele kwa mbele.
 
haya mambo yasikie tuu yasikukute[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Yaan hapo pa anataka kujiuaaa maaninaa napata hasiraa[emoji23][emoji23][emoji23] najiuaaaaaaaaaaaaaa mfieeewwww... yaan ningemletea klorokwini kbs. Mfieew.... nikishaonaga situation imenibana hv namfata mhusika wangu nagunguka nakua free kimbembe kwako...
 
Huyu anachangamsha genge mwanaume wa hivi ni marehemu walla, acha tupoteze mda na chakujadili hadith za abunuwasi
 
Kama huu Uzi ulivyojaa malaika😂😂😂😂
 
Kuna mambo hajaweka sawa. From nowhere tuu umpelekee mtu vitu hakuhusu? Ni mweupe mchepuko eh[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…