Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

Nimekuelewa Sana heka heka zipo kila kona binamu hata huko kwa mke mmoja kuna wamama wengi wametelekezwa baba kahamia kwa mchepuko anarudi uzeeni vituko asubuhi na jioni ndo maana watoto wengi wanahudumia mama zao Nina mifano mingi ya wanawake waliotelekezwa au wanaishi miserable life unajipa moyo wa kwako peke yako lakini wanaenjoi wengine kabisaa wewe unabaki na cheti cha ndoa km ushahidi tu....!!!!Bora kutambulika nijue tuko wanne vurugu zipo tu hiii jinsia ni tata kiukweli sema wengine wameamua tu kuishi Kinaafiki na ndo naona wanandoa wengi wanaishi hvyo akiwaza age goo hana namna tena lakini vaa viatu vya huyu mke halali siku amejua ukweli miaka yoote anadanganywa kama mtoto au zoba vile...Aseehh bora nijue tuko wawili mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
Issue ni kwamba hata mkiolewa wanne, sio guarantee kwamba ndiyo mpo wanne tu, mume kamaliza tamaa zake. Issue hapa ni mwanaume kuchagua kuridhika na mke wake. Afu muolewe wake wanne, kwa nguvu zipi za kiume na uchumi upi kama sio kukaribisha umaskini? Multiple relationships=multiple confusions
 
Hapo kwa chuki tu ndo nimekuona hamnazo that's was my opinion na wala haihusiki na chuki kabisa why should I envy someone older than me ambaye ana shindwa ku handle maisha yake na kuja kulia lia humu kwenye forum tena mwanaume it means your in dillema na huna peace of my mind, maana una force watu wakubaliane na justification zako wakati unaumia na kukukula ndani your not happy at all, tena unagutuka uzeeni dakika ya 59. Hyo sijui kuoa hata wa 18 sio shida je una nguvu za kiume za kutosha maana mabaharia wenzako wana handle hii issue kikawaida.
Wewe kubali uliingia Cha kike acha kutafta justification Ili upoze machungu ka viwanja hata mimi ninavyo sembuse mzee mzima unayekaribia ku expire kweli, pole hii kitu itakukula then mkeo ndo wa kuja kukulea so hyo kujenga sio viwanja watu wengi Wanavyo, so usione kuandika hivo eti mie nitaona wivu kwa kipi hasa shaaaaa in maasai voice.
Wewe tuliza mshono wako bwana ur not exceptional watu Wana wake wengi na hawajilizi Hadi sasa kuhangaika na mchepuko ni kwamba huna amani
Wangekuelewa wasingekulaumu

Jicontrol
 
Mzee... vipi yule binti wa form 4? Bado unaendelea kula tunda kimasikhara ama imekuaje?

Ni upweke wa MCHEPUKO umekupelekea uhamie kwa dent ama kuna kingine?

Kama gharama unaina zinakuzidia inakuaje unaenda kimpangia makazi? Bado hujajifunza tuu na drammar yote hii?
Na stress.zote hizi kweli mzee wangu?
Unajua maradhi yapo? Huogipi? Na endapo ukarudi kwa mke.. plz pima afya yako.
Kwanini usiache huu uzinzi kwa huo umri? At ur age kwa mama yangu ni bibi ana mjukuu
Sijajua kama unao ama lah. Nadhan ni muda muafaka wa wewe kutulia na familia yako. Hao watoto achana nao. Usije kufia kifuani .

Hii tabia ya kuwa na kila aina ya mwanamke malipo yake makubwa sana. Pata picha kila mchepuko ukuloge, na mke nae ukute anakuloga.. si utakua kichaa? Nakushauri tulia...
 
Mi naomba niulize hivi bi mkubwa huwa unamuachaje unapokuwa unashinda huko nyumba ndogo mbona kama unaishi kwa bi mdogo sana
Mbona kama mkeo anajua tayari kwa jinsi wanawake tulivyo kweli asiwe amehisi chochote
emoji848.png

Mimi nimeuliza, yaani kwa wanawake walivyo wiki mbili nyingi.
 
Sijafikiria kuwa single mother mkuu, na hata nikiamua kuzaa sijali maneno ya wajinga sio single mother Mimi ka mwanamke nilipewa kei nizae hzo single mother mnazosema huwa ni maneno ya wanaume machoko wa JF. How can you insult someone coz of giving birth,[emoji1][emoji1][emoji1] hilo sio tusi na hata kuwa mchepuko sio dhambi ka nyie mnachepuka hamna akili mnalia Lia humu baada ya kupigwa matukio na mnazeeka wenyewe ka wachawi
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]imebdi nicheeeke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma hadi sehemu ya 21
Itoshe kusema utavuna ulichopanda.
Mnatega wenyewe mabomu yakianza kuwalipukia mnalia.
Hii iwe fundisho na kwa wanaume wengine wenye macho juujuu natamaa za kijinga..badala kukaa na familia zao wanaenda hangaika nje..na mtakufa siku si zenu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Utaingizwa kwenye kundi letu acha nilale mie
 
Kuhusu mimi nimeshaamua huyu mwanamke simtaki lakini wasiwasi wangu ni hii nyumba?
Niifanyeje

Mambo ya polisi na ustawi wa jamii nataka kuyaepuka mapema sana,

Ingawa binafsi ningejua hatma ya nyumba,
Ingependeza kama ningeimalzia vizuri,

Niongeze vyumba kama 15 vya wapangaji, ili niipige bei nzuri

Uhakika baada ya hapo hapo 300 m
Nitakunja
Hakuna jinsi hiyo nyumba huyo mwanamke ana sehemu yake. Na inaonekana hana sehemu ya kuishi hapa mjini. Kama alivyoshauri mtu hapo juu, kata viwanja uza, ila Mimi nitaongeza kidogo, kaa chini uzungumze nae. Mfanye tathmini ya thamani ya nyumba Kisha mgawane nusu kwa nusu. Mlipe nusu yake kisheria au kwa mkataba utakaomfunga kutokusumbua wewe ubaki na nyumba. Kumbuka kwamba hiyo nyumba pia warithi wake ni wanao ambao tayari wameegamia kwa mama yao . Usijali wajengee future yao na usiwategemee kwamba watakusaidia! Wameshalishwa sumu na mama yao ambaye anafanya mocking ya makusudi ili uonekane unamnyanyasa au kumtesa mama yao.

Cha msingi ni kuachana naye, ameshaharibu maisha na mtazamo wa watoto juu yako lakini atafanya Kila jitihada aharibu taswira yako. kwa ndugu,jirani na rafiki zako.

Yupo kwenye mapenzi mapya na huyo jamaa na hisia zinamuendesha na sio akili. Hatojali kwa sababu hana cha kupoteza. Piga chini kistaarabu acha ahangaike na Dunia.
 
Mzee... vipi yule binti wa form 4? Bado unaendelea kula tunda kimasikhara ama imekuaje?

Ni upweke wa MCHEPUKO umekupelekea uhamie kwa dent ama kuna kingine?

Kama gharama unaina zinakuzidia inakuaje unaenda kimpangia makazi? Bado hujajifunza tuu na drammar yote hii?
Na stress.zote hizi kweli mzee wangu?
Unajua maradhi yapo? Huogipi? Na endapo ukarudi kwa mke.. plz pima afya yako.
Kwanini usiache huu uzinzi kwa huo umri? At ur age kwa mama yangu ni bibi ana mjukuu
Sijajua kama unao ama lah. Nadhan ni muda muafaka wa wewe kutulia na familia yako. Hao watoto achana nao. Usije kufia kifuani .

Hii tabia ya kuwa na kila aina ya mwanamke malipo yake makubwa sana. Pata picha kila mchepuko ukuloge, na mke nae ukute anakuloga.. si utakua kichaa? Nakushauri tulia...
Umemfukunyua wapi tena, sasa kwa stress hizi asipopata wa kumpetpet pengine asingelikuwapo, tuwe wa kweli hakuna mtu asiyependa kupetiwa basi tu ikitokea ukakosa unavumilia bila chuki lakini🤭 Ila kama binti ni underage sasa hapo hatari
 
Mi naona baba yangu ujisalimishe kwa mke mkubwa tu maana unakoelekea siko kuzuri mamdogo hana mpango na wewe ila mali zako, pole lakini kwanini unamng'ang'ania hivyo licha ya matukio aliyokufanyia?

Mshirikishe hata Yule rafiki wako anaweza kukuelewa akushauri nini ufanye

Hii inataka iwe Stockholm syndrome
 
Back
Top Bottom